PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI NDANI YA FAREWELL PARTY DBICT 2 - 2014 FROM MUCCoBS UNIVERSTY

 ilikuwa full vinywaji ndani ya farewell party kama jinsi inavyooneka hapo
 kama inavyoonekana hapo ni the blogger Mr. Phars nae akuwa mbalimbali akijumuika kupa mahanjumati
 hata kujiachia kwa kumshika yule aliyekuwepo ndani ya party ilikuwa ruksa
 Mr. Boniface nae alikuwa akijiachia kivyake kama anavyoonekama
 ilifika ule muda wakutakiana amani, furaha na upendo ndani ya party
 pamoja cna ndio msemo uliokuwa unaongelewa na Masai Pamoja na Chuga
 kula tano ndio ujumbe aliotowa CR kwa wajumbe wote


Hii ndio crew nzima ya wataalam wa IT wa DBICT 2 kama wanavyoonekana wakiwa na furaha zaidi ndani ya party ya farewell
 Tingisha kama imeisha ongeza ingine



 Ulifika ule muda sasa wa kujiachia kutoka kwenye viti na kuanza kusasambua kama unavyoona


 vijana wakiendelea kuponda raha kwa kwenda mbele ndani ya party

 ni safari ndefu hivyo ndio walivyokuwa wakisema vijana wakati wakiserebuka kwa namna moja au ingine
BOFYA LIKE KATIKA UKURASA WA FACEBOOK ILIKUPATA HABARI KILA SIKU

Comments

Popular posts from this blog