Posts

"NAPENDA KUNYONYA ( I LOVE SU**KING )"...HUDDAH

Image
Wengi tumeshajua Huddah Manroe   ni  nani (hasa kwa wale mnaofuatilia mitandao ya kijamii) she is a star, na  kila linapotokea tukio la kumhusu mara nyingi huwa linazua gumzo. Huddah kupitia akaunti yake ya twitter amepost video yenye heading ‘Huddah loves su**king things’ , na katika video hiyo mtoto huyo mzuri na aliyekuwa mshiriki wa Kenya katika The Chase anaonekana anailamba lollipop (kimtego sana) na kurudia mara nyingi kuwa anapenda kunyonya vitu. Akiwa mbele ya kamera Huddah kaanza kwa kucheka kisha akajitambulisha na kusema anapenda kunyonya vitu kama hiyo lollipop aliyoishika…. Wengi tumeshajua Huddah Manroe   ni  nani (hasa kwa wale mnaofuatilia mitandao ya kijamii) she is a star, na  kila linapotokea tukio la kumhusu mara nyingi huwa linazua gumzo. Huddah kupitia akaunti yake ya twitter amepost video yenye heading ‘Huddah loves su**king things’ , na katika video hiyo mtoto huyo mzuri na aliyekuwa mshiriki wa Kenya katika The Chase

SINTAH "SISI MASTAA WENYE MASTERS DEGREE HATUWEZI PIGIZANA KELELE NA MASHOROKO MEGENI

Image
Sintah leo kaja na haya : jisomee mwenyewe "Ukifungua gazeti la babkubwa toleo jipya ,kurasa ya katikati shurti utakutana na kichwa cha habari MASTAA Ambao shule imelala kichwani, seriously kuna siku mdau alinitumia comment maana mimi na magazeti ni hasi na chanya,  kilichoandikwa ni ukweli mutupu jamani khaaa sasa mtu mwenye MA apigizane kelele na mashoroko mageni aaaah wapiii?? though babkubwa mmejichanganya sana maana mmeandika ndivyo sivyo one n only CEO anayetambulika ana MA International Relations and Diplomacy naomba ieleweke hivyo, sijui kwa wengine mliowaja kama ni sawa ama ila me mmenimixia sana na ma post graduate ya nini mieee?  CEO's  MA International Relations n Diplomacy BA Public Administration and Management  (kwa wale ambao mme cram  BA hamkawii kusema Business Admin khaaaa ni Bachelor of Arts in PAM muelewe sasa. hope tumeelewana ila sivibaya nikawataja na wenzangu ambao tuna hadhi ya kipekee (sio mchezo,, sonyaa, kwa

JOHARI AVAA PETE YA NDOA,IRENE UWOYA AMPONGEZA

Image
MSANII wa filamu za Bongo, Irene Uwoya amempongeza staa mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kutumbukiza picha kwenye Instagram ikimuonesha amevaa pete ya ndoa kwenye kidole husika.   Uwoya, baada ya kuona picha hiyo akatupia ujumbe wake akisema: Hongera mama kwa kupata mwenzako…maaama h. Wadau mbalimbali nao walimpongeza Johari kwa hatua hiyo huku wengine wakihoji imekuwaje kimyakimya? Maswali na pongezi hizo za wadau zilijibiwa na Johari mwenyewe ambaye aliandika:  ‘Thanx ndo maisha yanachange’ (yaani asante ndiyo maisha yanabadilika). Alipopigiwa simu juzi na kuulizwa kama amefunga ndoa kwa siri, staa huo alicheka na kusema: “Hakuna kitu kama hicho jamani.”

AIBUUU TENA....MWANAMKE MWINGINE WA KITANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA ZIMBABWE

Image
A 34–year–old Tanzanian woman was last week arrested at the Harare International Airport after she was found in possession of an illicit drug with a street value of $45 000 upon arrival from India. SENIOR REPORTER Demu mwingine wa Ktz anaeishi South Africa kwa Jina la Jackline Mollel akamatwa na madawa ya kulevya nchini Zimbabwe......... Duh,,,,, hivi hii kitu ya madawa imeingia kama fashion ya nguo  eeeh??? Hivi how desparate do you have to be to do this???? AU Niseme how stupid does one need to be kufanya hii kitu?? Soma kilichoandikwa na Website Maarufu Zimbabwe hapa chini: A 34–year–old Tanzanian woman was last week arrested at the Harare International Airport after she was found in possession of an illicit drug with a street value of $45 000 upon arrival from India. SENIOR REPORTER Mollel Jackline Richard, who stays in South Africa, was not asked to plead when she appeared before Harare magistrate Donald Ndirowei yesterday. She w

RAIS KIKWETE AMJIBU KAGAME KATIKA HOTUBA YEKE YA MWISHO WA MWEZI JULY

Image
Hii  ni  sehemu  ya  hotuba  yake  ambapo  mheshimiwa Rais  amezungumzia  uhusiano  wa  Tanzania  na  Rwanda..... Hotuba  kamili  imepachikwa  hapo  chini  baada  ya  nukuu hii. -------------- Uhusiano na Nchi ya Rwanda Ndugu wananchi; Katika kipindi cha miezi miwili sasa hususan tangu mwishoni mwa mwezi Mei, 2013, uhusiano baina ya nchi yetu na Rwanda unapitia katika wakati mgumu. Kauli za viongozi wa Rwanda dhidi yangu na nchi yetu ni ushahidi wa kuwepo hali hiyo.  Napenda kuwahakikishia Watanzania wenzangu na ndugu zetu wa Rwanda kuwa mimi, Serikali ninayoiongoza na wananchi wa Tanzania tunapenda kuwa na uhusiano mzuri na ushirikiano wa karibu na Rwanda kama ilivyo kwa nchi zote jirani. Kama majirani kila mmoja anamuhitaji mwenzake, hivyo lazima tuwe na uhusiano mwema na ushirikiano mzuri. Napenda kusisitiza kuwa mimi na Serikali ninayoiongoza tutakuwa wa mwisho kufanya kitendo au vitendo vibaya dhidi ya Rwanda au nchi yo yote jirani au yo yote dun

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI NDANI YA FAREWELL PARTY DBICT 2 - 2014 FROM MUCCoBS UNIVERSTY

Image
  ilikuwa full vinywaji ndani ya farewell party kama jinsi inavyooneka hapo   kama inavyoonekana hapo ni the blogger Mr. Phars nae akuwa mbalimbali akijumuika kupa mahanjumati   hata kujiachia kwa kumshika yule aliyekuwepo ndani ya party ilikuwa ruksa  Mr. Boniface nae alikuwa akijiachia kivyake kama anavyoonekama  ilifika ule muda wakutakiana amani, furaha na upendo ndani ya party  pamoja cna ndio msemo uliokuwa unaongelewa na Masai Pamoja na Chuga   kula tano ndio ujumbe aliotowa CR kwa wajumbe wote Hii ndio crew nzima ya wataalam wa IT wa DBICT 2 kama wanavyoonekana wakiwa na furaha zaidi ndani ya party ya farewell   Tingisha kama imeisha ongeza ingine   Ulifika ule muda sasa wa kujiachia kutoka kwenye viti na kuanza kusasambua kama unavyoona   vijana wakiendelea kuponda raha kwa kwenda mbele ndani ya party   ni safari ndefu hivyo ndio walivyokuwa wakisema vijana wakati wakiserebuka kwa namna moja au ingine BOFYA LIKE KAT

PICHA ZA FAREWELL PARTY DBICT 2 - 2014 ..........................................

Image
Ilikuwa ni usiku mnene na wa shangwe kwa wataalum wa IT tokaa Chuo kikuu cha Biashara na Ushirika(MUCCoBS)Walipokutana na kuamua kula bata kwa pamoja kama furaha ya kumaliza mitihani na hatimaye kuhitimu masomo yao,kama jinsi picha zinavyoonesha na haitakaa ikarudiwa katika historia hiyo ya pekee  MR. ANDREW WITH MR. MBONDE IN THE PARTY   MR. BONIFACE AKIFANYA MAMBO YAKE NDANI YA FAREWELL PARTY   CHUGA IN THE PARTY MASAI SHOO WITH CHUGA IN THE PARTY MR GODILOVE LEMA WITH MISS IN THE PARTY LEMA AKIFANYA YAKE YALE YANAYOMHUSU IN THE PARTY k   IPE ROHO KILE INACHOTAKA ndivyo alivyokuwa akijiachia Miss Eliza RAPHAEL, NELLSON NA ANDREW LUCAS AIKAWA AMEJIACHIA NDANI YA FAREWELL PARTY AKIWAQ NA CHUGA ANDREW AKIWA ANATETA JAMBO NA MASAI NDANI YA PARTY     MR. ULOMI a.k.a Prof akiwa amemshirikilia mtoto Jack wakati wakisakata RUMBA ndani ya party

MBINU ZA KUPANGA JINSIA YA MTOTO WA KUZAA ( MVULANA AU MSICHANA ) KABLA MKEO HAJASHIKA MIMBA

Image
Mpendwa  msomaji  wa  JUKWAA  LA  WAKUBWA, Maada  yetu  ya  leo  ni  mbinu za kupanga  jinsia  ya  mtoto  wa  kuzaa  kabla  mkeo  hajashika  mimba.... Siku  hizi  ulimwengu  umeendelea  sana, matatizo  mengi  yanatibika  kwa  msaada  wa  wataalamu...Hakuna   tena  haja  ya  kupigana  na  kupeana  talaka  kisa  jinsia  ya  mtoto... Somo  letu  ni  lefu  sana, hivyo  tunaomba  uwe  mvumilivu.Kutokana  na  utefu  wa  somo  hili, tutaandika  sehemu  fupi  katika  mtandao  huu  na  sehemu  nyingie  itawekwa  katika  JUKWAA  LA  WAKUBWA  ambako  kutakuwa  na  majadiliano  ya  wazi  miongoni  mwa  wasomaji  wetu.... Aidha, somo  la  leo  litajikita  zaidi  katika  mbinu  za  kuzaa  mtoto  wa  kike. Ni vipi jinsia ya mtoto huainishwa? Kinyume na wengi wanavyofikiria kwamba mwanamke au mwili wa mwanamke ndio wenye jukumu la kuainisha jinsia ya mtoto kwa kuwa yeye ndiye anayebeba mimba, uhakika wa mambo ni kuwa mwanamume ndie mwenye uwezo wa kuainisha jinsia.  Kila

WAZIRI MKUU WA TANZANIA ASHITAKIWA RASMI....MAWAKILI 19 WAJITOA MHANGA

Image
Kituo cha Sheria na Utetezi wa Haki za Binadamu (LHRC) na Chama Cha Wanasheria Tanzanyika vimefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, vikiomba mahakama hiyo itoe tafsiri za kisheria katika baadhi ya Ibara. Kesi hiyo ya Kikatiba ambayo imepewa namba 24 ya mwaka huu, na ambayo bado haijapangiwa jaji, wadaiwa ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Taasisi hizo ambazo zinatetewa na mawakili wa kujitegemea Harold Sungusia, Francis Stolla na wengine 17, kwa mujibu wa hati yao ya madai, walalamikaji hao wamewasilisha jumla ya maombi mawili ambayo wanaomba mahakama itoe tafsiri ya kisheria katika Ibara hizo kwa kuwa wamewasilisha kesi hiyo ya Kikatiba chini ya sehemu ya Tatu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  ya mwaka 1977, ambayo  inaainisha  Haki na Wajibu Muhimu. Wakili Sungusia alilitaja ombi la kwanza kuwa, wanaiomba mahakama hiyo itamke kuwa ibara ya 100(1) ya Katiba ya nchi inayotoa  uhur

HIVI NDIVYO MPIGA PICHA WA NEW HABARI ALIVYO FANYWA WAKATI WA MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU WA THAILAND UWANJA WA NDEGE DAR

Image
  Mpigapicha wa New Habari Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa Idara ya Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu wa ...Thailand Yungluck Shinawatra baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa JNIA. Cha ajabu ni kwanba wakati vyombo vya habari vijinyanyapaliwa na kukosa kufanya kazi yake kwa uhuru na uzarendo ndani ya nche yake zawa wanahabari wengine wakigeni walipewa ushirikiano kana kwamba ni miungu na kufanya kazi zao bila bughuza kwa kupiga picha hadi uvunguni kwa waziri mkuu huyo kutoka kwa wakulima mpunga Thailand. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

AGNESS MASOGANGE AMPONZA MADEE NA KUSABABSHA AVULIWE NGUO AIRPORT

Image
Kwenye Exclusive interview na millardayo , Madee amehadithia kila kitu kilichomtokea wakati anaingia tu Afrika Kusini siku kadhaa zilizopita ambapo hii imetokea kutokana na ukubwa wa habari, uzito wa tukio la wale Watanzania wawili wasichana (Akina Masogange )  waliokamatwa kwenye kiwanja cha ndege Johannesburg wakiwa na dawa za kulevya wakitokea Tanzania. Madee anakwambia alipotua kwenye kiwanja cha ndege, kawaida huwa kuna utaratibu wa kuchekiwa hati ya kusafiria na ukaguzi mwingine ambao hufanywa na mitambo maalum kwa kila abiria anaeingia Afrika kusini, ni ukaguzi ambao unafanywa Airport kabla ya abiria kuruhusiwa kuingia kwenye nchi yenyewe. Kilichomfanya Madee kusachiwa na kuhojiwa karibu dakika 60 ni pale tu aliposema anatokea Tanzania, kuna wazungu wawili wenye sare tofauti za kipolisi wakaanza kumsachi mpaka kufikia kumwambia avue t shirt yake, alivua t shirt na kubakiwa na nguo nyepesi ya ndani wakati huo abiria wenzake aliokwenda nao walikua wamer

"SIJUTII KUTIMULIWA BIG BROTHER, NAAMINI HAIKUWA RIZIKI YANGU"...NANDO

Image
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Ammy Nando amesema hana majuto yoyote  baada ya kuondolewa kwenye shindano hilo. Nando ambaye aliondolewa wiki iliyopita kwa kuvunja  sheria za shindano hilo ,  leo amefunguka  kwa  mara  ya  kwanza ndani  ya  kipindi cha XXL cha Clouds FM. “I live my life with no regrets,” alisema Nando  na  kuongeza: “Sitaki kufikiria  matatizo wala nini, kilichotokea ndio kimetokea... "Najipanga upya ili  niendelee na maisha mengine. Vingapi vizuri  vimetokea nyuma ?  "Tokea  nilipokuwa mtoto mdogo nani alikuwa ananijua? Sasa hivi nipo peace , nashukuru kwamba mmenipokea vizuri.  "Naendelea na maisha, uzuri nimepata platform ya kutengezeza jina langu, kwahiyo naenda hivyo hivyo mpaka huko ntakapofika.”

MADENI YAMUUMBUA MSANII WA BONGO MOVIE....

Image
STAA wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ kwa mara nyingine tena amekumbwa na tuhuma za kukwepa kulipa deni la shilingi 400,000 analodaiwa na staa mwenzake, Husna Iddi ‘Sajenti’.. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Koleta alikopa nguo kwenye duka la Sajenti kwa maelezo kwamba angelipa jioni ya siku hiyo lakini mpaka sasa ni miezi saba imepita bila msanii huyo kulipa deni hilo. Ikazidi kudaiwa kuwa hata Sajenti anapompigia simu Koleta ili kumuulizia kuhusu deni hilo, msanii huyo hapokei simu, hali inayotoa tafsiri kwamba anataka kumdhulumu. Mwandishi  wetu alimtafuta Sajenti ili kupata uhakika kama kweli anamdai Koleta ambapo alifunguka kama ifuatavyo:   “Sijawahi kumuona mtu msumbufu kama Koleta na sasa naanza kuamini maneno ya watu kwamba ana asili ya utapeli,” alisema Sajenti. Akaongeza kuwa anamdai  Koleta tangu mwaka jana na imefikia hatua sasa hapokei simu yake.    “Kinachoniuma ni pale anaposhindwa kupokea simu yangu, nikitumia simu asiyoijua anapok

MASAA 48 WALIYOPEWA WAASI WA M23 YAKO UKINGONI.....KICHAPO KITAANZA MUDA WOWOTE

Image
Muda wa saa 48 wa kusalimisha silaha kwa waasi wa March 23(M23), Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umemalizika na wakati wowote mapigano yanaweza kuanza. Misheni ya Kutuliza Amani ya Umoja wa Mataifa(Monusco) , ilitoa saa hizo zinazomalizika leo na Jeshi la UN litaanza kutumia nguvu kunyang’anya silaha waasi hao. Taarifa ya  Monusco iliyotolewa na Msimamizi wa Misheni hiyo, Luteni Jenerali Carlos Alberto dos Santos Cruz na kusambazwa na Idara ya Mawasiliano ya Umoja wa Mataifa jana, inaeleza kwamba, watu binafsi katika eneo la Kivu ya Magharibi ambalo linajumisha Goma na Sake na ambao hawahusiki na vyombo vya usalama wamepewa saa 48 kuanzia saa kumi jana (juzi) kwa saa za Goma (Jumanne) kuzisalimisha silaha zao. Taarifa ilisema, “Baada ya saa 10 jioni ya Alhamisi, Agosti Mosi, wale wote ambao watakuwa hawajasalimisha silaha zao watachukul

KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA...........: KANSA YA NGOZI YAMHARIBU MTOTO WA MIAKA 7....BABA AMWAGA MACHOZI AKIOMBA MSAADA

Image
MTOTO Ashura Mustapha (7) mkazi wa Mwandege, wilayani  Mkuranga, Pwani anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya ngozi tangu akiwa na mwaka mmoja. Akizungumza na mwandishi wetu, baba mzazi wa mtoto huyo, Mustapha Makombe alisema: “Mwanangu anateseka sana jamani, ugonjwa ulianza kama malengelenge akiwa na umri wa mwaka mmoja tukawa tunakwenda hospitali ndogondogo lakini baadaye tukaamua kumpeleka Muhimbili ambapo tulipewa barua ya kutuelekeza kwenda CCBRT, kule ndipo wakagundua mwanangu ana kansa ya ngozi steji ya nne. “Baada ya kuhangaika katika hospitali nyingi bila mafanikio, nikaamua kwenda Hospitali ya Regency (Dar) kuomba msaada wa kwenda kutibiwa India. “Pale waliniambia nichangie shilingi milioni moja na laki tano kwa ajili ya tiketi na viza ili mwanangu akatibiwe India, hizo hela mimi sina. Naomba Watanzania mnisaidie hata kwa fedha za mitandao kwa namba 0769 517765 na 0715 424697 ili niweze kumpeleka mwanangu India akatibiwe,” alisema baba mzazi.

CHUMBA ALICHOPELEKWA ROSE NDAUKA CHAKUTWA NA KONDOMU TANO ZILIZOTUMIKA

Image
  Chumba cha hoteli ambacho Rose Ndauka  alinaswa  akiingia  na  dogo  Nasry  ambaye  ni  msanii  wa  bongo  fleva, kimekutwa  na  kondomu  tano  zilizotumia... Rose  Ndauka  ambaye  ni  mchumba  wa  Malik  Bandawe,wiki  iliyopita  alinaswa  akiingizwa  katika  chuba  hicho na  msanii Nassoro Ayoub  "Nasry".     Kwa  msaada  wa  wafanya  usafi  wa  hoteli  hiyo  iliyoko  maeneo  ya  kinondoni  jijini  Dar,wawili  hao  waliingia  katika  chumba  namba G17   cha  hoteli  hiyo  na  kutumia  masaa  takribani  matatu  huku  chumba  kikiwa  kimefungwa  na  walipotoka  chumba kilikuwa  hoi  bin  taaban.... "Mimi  ndiye  niliyefanya  usafi  chumba  namba  G17  siku  hiyo  na  nilikuta  kondomu tano  zilizotumika  huku  shuka  zikiwa  zimevurugika  kabisa.".. Alifunguka  mfanya  usafi  huyo Tukio  la  binti  huyu  kunaswa  akiingizwa  hotelini  na  dogo  Nasry  linatia  shaka  uchumba  wake  na  Malik Bandawe  ambaye  kwa  kipindi  kirefu  wam