RAIS KIKWETE LEO AKUATANA NA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU
RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MPITO WA WA MADAGASCAR IKULU Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa serikali ya mpito ya Madagascar Mhe Andy Rajoelina Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa serikali ya mpito ya Madagascar Mhe Andy Rajoelina baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo . RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA LEO IKULU Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha mandhari mbalimbali Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe.