RAIS KIKWETE LEO AKUATANA NA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU
- Get link
- X
- Other Apps
RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA LEO IKULU
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha mandhari mbalimbali Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair na mkewe Cherie Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo..PICHA ZOTE NA IKULU |
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment