AIBU! KIJANA HUYU KANASWA AKIIBA MSIKITINI

Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya waumini wa msikiti wa Mwenge baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini.

Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba znazoonekana mwishoni kulia.

Comments

Popular posts from this blog