WANANCHI WAFUNGA BARABARA YA MBEYA CHUNYA BAADA YA MWENZAO KUKAMATWA / MTUHUMIWA AKIMBIA NA PINGU ZA POLISI
Mkuu wa wilaya ya Chunya Deotatus Kinawiro akihutubia wananchi wa Chalangwa |
Mkuu wa wilaya ya Chunya Deotatus Kinawiro akipokea nyaraka toka kwa afisa mpelelezi wilaya ya Chunya |
Moja ya nyaraka |
Wananchi wakisoma baadhi ya nyaraka kwa mkuu wa wilaya Chunya |
Wananchi wakimsikiliza mkuu wa wilaya Chunya |
Askari wakidhibiti hali ya usalama eneo la mkutano |
Mohammed Katembo akitokea mafichoni baada ya kuwakimbia Polisi |
Comments
Post a Comment