KABLA YA KUJICHORA TATTOO MUWE MNAFIKIRIA ONA MAJANGA YA HUYU DADA.
Mwandada anekwenda kwa jina la Torz Reynold mwenye umri wa miaka 26 anetokea nchini Uingereza ametoa kali ya mwaka baada ya kulipiza kisasi baada ya kugundua boyfriend wake amekuwa akimcheat.
Torz alikuwa amejichora tattoo yene jina la mpenzi wake huyo mkononi na ndipo alipo amua kuuimenya sehemu hiyo ya ngozi yake na kuiweka kwenye chupa na kuifunga kama zawadi na kumtumia huyo jamaa yake posta.
Inasemekana huyo bwana alimuwaga mpenzi wake kwamba amepata kazi Alaska na akaondoka huku mpenzi wake huyo alimsindikiza airport. Baada ya muda akisikia kutoka kwa marafiki zake kwamba huyo bwana yuko nchini UK anaishi na mwanamke mwingine.
Mkono wa Torz ukiwa na tattoo yenye jina la ex wake 'Chopper'SOMA ZAIDI
Torz akionyesha kifaa alicho tumia kumenyea ngozi yake hiyo
Torz akionyesha mkono wake baada ya shughul hiyo na kipande cha ngozi alicho menya
Kipande cha ngozi kikiwa kwenye chupa tayari kupelekwa posta
Alama iliyo bakia baada ya kutoka kipande cha ngozi kilicho kuwa na jina la 'Chopper'
Majanga
Huyu ndiye bwana aliyetumia zawadi ya kipande cha ngozi chen |
Comments
Post a Comment