JE WAJUA NI NINI CHA SIRI SIRI KINAENDELEA KATI YA DIVA WA CLOUDS FM NA RAPA KING CRAZY GK?? TEAM CHAGGA BEYB YAFICHUA, UKWELI MZIMA SOMA HAPA


UJUMBE UNASOMEKA HIVI...
Bongo mmeaka? wenzenu ndio kwanza kwa habari moto moto napenda kuwafichulia penzi la siri la muda mrefu  na binti wa clouds fm diva, mtajaza wenyewe huyo wa pembeni wa kuitwa AY  ni shemej wake diva , huyo wapembeni wa kuitwa MwanaFA ni shemeji yake diva ...huyo wa katika mfalme ndio kampa umalkia dada yetu diva, kutoka  kwa mnyetishaji wetu aishie maeneo ya upanga mashariki anasema toka mwaka jana katikati wawili hao wamekuwa kama vifaranga, diva amekuwa akionekana  mara kwa mara nyumbani kwa kina rapper  huyo na wako karibu muda wote  maswali mengi yapo nayo majibu dada wetu wa clouds fm anaye unguruma kila siku  radioni kwa habari Bongo five na ma blog mengine kama Angaza Tz  watajua kwa kupata ukweli, shuzi hilo nim,e lishusha la kuaminika...
Diva na akajibu hayo hapo chni


Comments

Popular posts from this blog