HUYU HAPA NDIO DEMU WA MR. BLUE ALIYEZAA NAE .... MR BLUE AMWAGA YOTE KUHUSU WAO LIVE

da9d65ca5f0411e39dc812f864d4b6c0_8




Mr Blue na mwanae Sameer


Hitmaker wa Pesa, Mr Blue aka Kabayser amesema tangu awe baba, maisha yake yamebadilika na haishi kama zamani tena“Nafikiri kwa mimi imenikuza zaidi,” Blue aliiambia tovutui hii.Hata hivyo amesema pamoja na kuwa baba, majukumu aliyonayo hayajabadilika sana japo kwa sasa amekuwa yeye binafsi na familia yake. “Kilichobadilika kwangu ni bidii kuongezeka inabidi niangalie familia yangu iandaje.”

f33b6dfc5f6d11e3948f0a4825b4191e_8

Wahyda (mchumba wake na Blue) akiwa na mwanae Sameer

“Ni mtu kwakweli kama baba yake na mimi nafurahi,” Blue amemuongea mwanae huyo wa kiume aitwaye Sameer. “Inabidi amrithi baba yake tu kwa uchakarikaji na kila kitu.”


da9d65ca5f0411e39dc812f864d4b6c0_8Wahyda

Katika hatua nyingine Mr Blue amesema tayari amemalizia mjengo wake na anatarajia kuhamia tarehe 1 January 2014

Comments

Popular posts from this blog