MALIKIA LEILA RASHID AKIWADATISHA MASHABIKI WA DAR LIVE...!


Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab ambaye pia ni mke wa Mzee Yusuf, Leila Rashid akiwapagawisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live usiku huu.
Mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live leo.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA / GPL)

Comments

Popular posts from this blog