TUFUNGE MWAKA KWA KUJUMUIKA KATIKA MKUTANO MKUU WA MIUJIZA YA BARAKA KATIKA VIWANJA VYA USHIRIKA-MOSHI

Kanisa la CHRIST EMBASSAY MOSHI linapenda kuwaaalika watu wote kujumuika kufunga mwaka kwa Mkutano mkuu  kwa kupokea miujiza ya baraka kutoka kwa wahubiri mashuhuri na kwaya mbalimbali toka ndani na nje ya nchi. kumbuka kuja na ndugu,jamaa, marafikina watu wote katika Viwanja vya ushirika Moshi kuanzia saa 12:00 Asbh mpk 2:00 usiku tarehe 28/12/2013.
 WATU WOTE MNAKARIBISHWA KWANI HAKUTAKUWA NA KIINGILIO CHOCHOTE.

KARIBUNI TUMSIFU MUNGU KWA SALA NA NYIMBO.

Comments

Popular posts from this blog