HUU NDIO UTUMBO WA MOVIE YA RAY IITWAYO ''TWISTED''.........HABARI YA MUJINI BLOG MPYA INAYOUMBUA MAKOSA YA MOVIE
kwenye scene hii anaonekana camera man kwa mbali ukiangalia kwenye viio vya nyumba io ni baada tu ya wazee wao kurudi kutoka zanzibar....
Wakati ray anaongea na mpenzi wake wa siri wakati mpenzi wake huyo akiogelea huku akimueleza ray historia yakeya maisha kwa ufupi.....
Wakati ray amepigiwa simu na mwanasheria wake kwamba anatakiwa aende ili aelezwe jambo fulani alilolifanya mama yake..... picha ya upande wa kulia inaonesha ray akiongea..... na kwa nje utaona ukuta mrefu na mweupe lakini shot ya pili yani baada ya sekunde tu inaonesha yupo sehemu nyingine kabisa lakini akiendeleza mazungumzo yale yale.......
Comments
Post a Comment