SIMBA SC ILIVYOONYESHA LEO KWAMBA IKO TAYARI KUBEBA MWALI LIGI KUU BARA MSIMU MPYA

Kiungo wa Simba SC, Amei Kiemba akikokota mpira dhidi ya mchezaji wa SC Villa ya Uganda katika mchezo wa leo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 4-1.

Betram Mombeki kulia

Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo akipongezana na wachezaji wake

Amri Kiemba vipi hapa

Betram Mombeki akipambana

Betram ni mpiganaji

Issa Rashid 'Baba Ubara' anaosha

Haruna Chanongo anamtoka mtu

Ramadhan Chombo 'Redondo' anafanya vitu

Kutoka kulia, Meneja, Nico Nyagawa, Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo, na Kocha Mkuu Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden'

Mashabiki

Simba SC leo

SC Villa

Furaha ya mabao
source BIN ZUBEIRY

Comments

Popular posts from this blog