Posts

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image

Utafiti : MIMBA HUBADILISHA UBONGO WA MWANAMKE

Image
Watafiti wanasema mwanamke anapokuwa na mimba, kiwango cha homoni ya oestrogen huongezeka sana na pia mwili wake kubadilika hata hivyo, si wataalamu wengi walikuwa wamechunguza mabadiliko kwenye ubongo. Watafiti kutoka vyuo vikuu vya Universitat Autonoma de Barcelona na Leidenwalichunguza ubongo wa wanawake kabla ya kushika mimba, muda mfupi baada ya kujifungua na miaka miwili baadaye kuangalia mabadiliko kwenye ubongo. Matokeo ya utafiti wao yamechapishwa kwenye jarida la Nature Neuroscience. Wanasayansi hao wanasema ujauzito hupunguza seli za ubongo katika baadhi ya sehemu za ubongo wa mwanamke ili kumuwezesha kuhusiana vyema zaidi na mtoto na kujiandaa kwa majukumu yake kama mama ambapo hubadilisha ubongo wa mwanamke kwa kipindi cha hadi miaka miwili. Uchunguzi ulifanywa kwa wanawake 25 waliokuwa wameshika mimba kwa mara ya kwanza ulionyesha mabadiliko hayo kwenye ubongo hudumu kwa hadi miaka miwili baada ya mwanamke kujifungua. Watafti hao wanasema vipimo

RAIS MAGUFULI ATUMBUA VIGOGO 300 KWA UOZO NDANI YA SERIKALI

Image
RAIS Dk. John Magufuli anaelekea kufunga mwaka huku akiwa amesafisha Serikali yake ya awamu ya tano kwa kuwatumbua watendaji zaidi ya 300 tangu alipoapishwa Novemba 5, mwaka jana. Hatua hiyo imekuja baada ya kubainika uozo ndani ya Serikali, huku baadhi ya watendaji wa ngazi za juu wakihusishwa na tuhuma mbalimbali, ikiwamo za matumizi mabaya ya ofisi na ufisadi. Hatua hiyo inaelezwa ni miongoni mwa mkakati wa kuzika mfumo wa Serikali ya awamu ya nne ambao baadhi ya vigogo walikuwa wakifanya mambo holela na kusahau wajibu wao kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Uchukuaji huo wa nidhamu kwa idadi kubwa ya watumishi wa Serikali, inaonyesha kuwa kila siku kuna wastani wa kigogo mmoja mtendaji wa juu ambaye amejikuta akifutwa kazi kwa sababu mbalimbali, ikiwamo kutumia madaraka vibaya na kuisababishia hasara Serikali. Fagio hilo linajumuisha watumishi wa Serikali waliosimamishwa kazi kutoka taasisi mbalimbali na wajumbe wa bodi ambazo zimevunjwa. Asilimia kub

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 19.12.2016

Image
   

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image
 

Breaking News….Darassa Apata Ajali Kahama Mkoani Shinyanga

Image
Muonekano wa gari alilopata nalo ajali ainaya Toyota Harrier Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwanamuziki wa Hip Hop Bongo ambaye anasumbua na ngoma yake kali ya Muziki, Sharrif  Thabit ‘Darassa’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali mbaya maeneo ya Ntobo barabara ya kuelekea Mgodi wa Bullyanhulu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Habari zimeeleza kuwa ndani ya gari hilo aina ya Toyota Harrier  ambalo dereva hajajulikana, Darassa alikuwa ameambatana na director wake, Hanscana pamoja na producer wake, Abba Process na wote wametoka salama. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Darassa amethibitisha kupata ajali hiyo na alipopigiwa simu na Global Publishers  alisema hawezi kuongea kwa sasa hivyo atafutwe baadaye.