Posts
Exclusive: Vijana Waiba Baraghashia ya Mzee Akilimali, Achimba Mkwara Mzito
- Get link
- X
- Other Apps
Mzee Ibrahim Akilimali maarufu kwa jina la Mzee Akilimali. Taarifa zilizotufikia ni kuwa Mzee Ibrahim Akilimali maarufu kwa jina la Mzee Akilimali ambaye ni katibu wa Baraza la Wazee wa Klabu ya Yanga, amelalamika kuwa kofia yake aina ya baraghashia imeibiwa na mtu ambaye hajajulikana. Baada ya kuibiwa Mzee Akilimali ametoa mkwara mzito kwa yeyote ambaye amehusika kuiiba kofia hiyo ambayo muda wote amekuwa akionekana hadharani ameivaa. Mtu wa karibu wa Mzee Akilimali amesema kuwa mzee huyo alikutwa na mkasa huo jana alipokuwa ameenda kumtembelea mzee mwenzake aliyemtambulisha kwa jina la Mzee Mwika. “Sasa alipofika pale wakawa wamekaa wanapiga soka za hapa na pale, baada ya muda wakatengewa chain a vitumbua lakini Mzee Akilimali yeye huwa anapendelea mihogo na siyo mlaji wa vitumbua, akiwa amevua kofa yake, akaenda jirani kununua mihogo,” alisema mtu huyo wa karibu na mzee huyo. Mtu huyo wa karibu akaendelea kusimulia kuwa: “Aliporejea hakuikuta kofia yake hata
Prof. Lipumba Akana Kuhusika na Vurugu Mkutano wa CUF
- Get link
- X
- Other Apps
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa hausiki na vurugu zilizoibuka katika mkutano mkuu wa chama hicho uliovunjika juzi Jumapili, Agosti 21, wakati wa uchaguzi wa kujaza nafasi zilizo wazi. Akieleza hayo jana Jijini Dar es Salaam, Prof. Lipumba amekiri kuwa hakualikwa katika mkutano huo lakini aliombwa na baadhi ya wajumbe kwenda kutoa maelezo ya kwanini aliachia nafasi hiyo ya uenyekiti jambo ambalo viongozi waliokuwepo ukumbini hapo hawakulitaka. Prof. Lipumba amesema kuwa anaheshimu maamuzi ya pande zote mbili kwa wanaomtaka arejee nafasi ya uenyekiti lakini pia maamuzi ya chama endapo utaratibu utafuatwa kwa kufuata katiba ya chama na demokrasia ya kweli ndani ya chama hicho. Prof. Lipumba amekataa kuhusika na kukana kutumika na kisiasa na baadhi ya watu ili kukivuruga chama hicho na kusema kuwa viongozi wa chama hicho waepuke maneno ambayo yataweza kukigawanya chama hicho na badala yake wajikite katika kudumi
Mghwira wa ACT-Wazalendo Azindua ‘Tanzania Role Model’
- Get link
- X
- Other Apps
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazarendo, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo, Anna Mghwira, akizindua mashindano hayo. …Akifafanua jambo mbele ya warembo wanaoshiriki shindano. Mratibu wa mashindano hayo, Samweli Charles (wa kwanza kushoto) akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mghwira. Viongozi wakifuatilia nyendo za warembo waliokuwa wakipita mbele yao. Baadhi ya washiriki wa Tanzania Role Model wakifanya vitu vyao mbele ya mgeni rasmi. Baadhi ya ‘manjonjo’ yaliyoonyeshwa na warembohao. Washiriki wakitambulishwa mbele ya mgeni rasmi. Mshereheshaji ‘MC’ wa hafla hiyo, Sufian Juma (wa kwanza kushoto) akizungumza jambo baada ya shindano kuzinduliwa. MWENYEKITI wa ACT-Wazalendo na aliyekuwa mgombea urais kupitia chama hicho, Mama Anna Mghwira, jana alizindua shindano lijulikanalo kama ‘Tanzania Role Model’ lililoandaliwa na kampuni ya Mass Television Company (MTV) chini ya mkurugenzi wake, Samweli Charles. Uzinduzi huo ulifanyika katika
Beki Simba aanguka bafuni, apasuka kichwani
- Get link
- X
- Other Apps
Mchezaji wa Coastal Union,Hamad Juma akiwa ameanguka chini huku mchezaji wa Simba, Hassan Kessy (kulia) akichanja mbuga kuelekea golini kwao mechi ya Ligi Kuu msimu uliopita. Wilbert Molandi, Dar es Salaam BEKI mpya wa kulia wa Simba, Hamad Juma, jana asubuhi alianguka bafuni akiwa nyumbani kwake na kusababisha achanike kisogoni kwake. Juma alijiunga na Simba msimu huu wa Ligi Kuu Bara akisaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea Coastal Union baada ya mkataba wake kumalizika. Kwa mujibu wa taarifa ambazo Championi Jumatatu limezipata jana jioni na kuthibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara, tukio hilo lilitokea nyumbani kwake kabla ya kukimbizwa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam alipokwenda kulazwa. Manara alisema, beki huyo mara baada ya kufikishwa hospitalini hapo, madaktari walishauri alazwe kutokana na damu nyingi zilizokuwa zinamtoka. “Hamad ameanguka na amepoteza damu nyingi sana, alipata matatizo hayo akiwa ny
Askari wa Upelelezi Mwanza Auawa Club Akidai Laptop
- Get link
- X
- Other Apps
Tarehe 21.08.2016 majira ya 10:00 usiku katika eneo la Club ya Villa Park Resort Kata ya Kirumba Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza, askari namba g.5092 PC John Nyange wa Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai Mkoa wa Mwanza (RCP), aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali eneo la shingoni na mtu aliyekuwa anaugomvi nae. Inadaiwa kuwa marehemu alikua na ugomvi wa muda mrefu na mtu aliyejulikana kwa jina Magina Hussein miaka [27] fundi computer Msukuma na mkazi wa Mtaa wa Kigoto, ambapo marehemu alikuwa akimdai Bwana Magina Hussein computer aina ya laptop. Ndipo usiku wa leo majira tajwa hapo juu walikutana eneo la club ya Villa Park huku mtuhumiwa wa mauaji hayo ikisemekana kuwa alikuwa na wenzake watano ndipo walimvamia na kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni na kufariki dunia njiani wakati akipelekwa hospitali. Marehemu kwa sasa alikuwa ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi Memorial University College cha Mjini Moshi, alikuwa anas
Jeshi la Polisi Likifanya Mazoezi ya Utayari wa Kukabiliana na Uhalifu
- Get link
- X
- Other Apps
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia. Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo mbalimbali. Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali. Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu. Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Lindi wakifanya mazoezi magumu ya kijiweka tayari kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza ikiwemo watu wasiotii amri za Jeshi la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria za nchi. Askari Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa ya Lindi,
RAIS OBAMA AFUNGUKA KUHUSU TABIA YA MWANAE
- Get link
- X
- Other Apps
Kama inavyotegemewa kwa baba yeyote duniani, tabia ya binti yake, Malia imemkasirisha vibaya Rais wa Marekani, Barack Obama. Hivi karibuni, Malia alionekana akivuta bangi kwenye tamasha moja maarufu. Kwa mujibu wa tovuti ya RadarOnline, vitendo vya hivi karibuni vya Malia vimemsononesha sana Obama anayemaliza muda wake mwaka huu kama rais wa Marekani. Awali, video ilisambaa mtandaoni ikimuonesha Malia Obama, 18, akionekana kuvuta bangi kwenye tamasha la Lollapalooza huko Chicago mwezi uliopita. Kisha Malia alihudhuria kwenye party iliyopo kwenye kisiwa ambacho familia yake ipo mapumzikoni iliyofungwa na polisi. Malia alihitimu mwaka huu kwenye shule maalum ya Sidwell Friends ya Washington, DC, na anatarajiwa kujiunga na chuo kikuu cha Harvard mwaka 2017
MANCHESTER UNITED WAITANDIKA SOUTHAMPTON
- Get link
- X
- Other Apps
There may have been a moment, after referee Anthony Taylor pointed to the spot, when Wayne Rooney fondly imagined he might still be Manchester United's penalty taker. He eyed the target happily. Here we go. Game over. Manchester United goal No 247, coming right up. And then a giant man with a top-knot calmly collected the ball and placed it on the penalty spot. Rooney lives in Zlatan's world now. And in Zlatan's world only one man gets to take the penalties. Here's a clue: it's not Wayne Rooney. So Zlatan Ibrahimovic stepped up and stuck the ball, smartly, low to Fraser Forster's right. It was his second goal of the night and Manchester United were 2-0 up. Meaning all was right in Zlatan's world. Zlatan Ibrahimovic rises high to meet Wayne Rooney's superb cross sending a thunderous header towards goal +21 Ibrahimovic and Pogba watch on as the former PSG striker's bullet header heads for the bott