Posts

Diamond na Kampuni yake ya Music WCB Yamzawadia Gari Jipya Harmonize

Image
WCB imemzawadia gari jipya msanii wake, Harmonize. Bosi wake, Diamond, ameandika kwenye Instagram: Kama nikusiivyo siku zote ni juhudi na nidhamu yako ndio itayokufanya upate matunda ya kazi yako….. Usiache unyenyekevu, kuheshimu mkubwa na mdogo, kumuomba na kumshukuru Mwenyez Mungu kwa kila hatua ndogo Uipigayo…. Congrats kwa your New Ride.” Naye Harmonize hakuacha kuonesha furaha yake. “Nichukue fursa fupi kuushukuru uongozi wangu mzima wa @wcb_wasafi @mkubwafella @babutale @sallam_sk @ricardomomo @diamondplatnumz kwa kunijali na kunithamini kijana wao wakanizawadia gari daaaaah furaha niliyo nayo haielezeki,” ameandika msanii huyo. “Kwakweli nina furaha na ninashukuru sanaa nina mengi ya kuongea lakini sizani kama nikianza kuandika nitamaliza kubwa ni kwamba namshukuru m/mungu nashukuru kwa kurudia tena uongozi wangu @wcb_wasafi kwa zawadi lakini nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipo washukuru wazazi wangu walio nizaa na kunilea hadi nikafikia hapa na shukrani za

HUYU NDO TRAFIKI ANAYE ONGOZA KWA VITUKO KWA STYLE YAKE YA KUONGOZA MAGARI

Image
HUYU ASKARI ANAITWA CONSTABLE ASHRAF …AMEKUWA KIVUTIO KIKUBWA KWA JINSI ANAVYO KUWA ANAONGOZA MAGARI KWA KUTUKIA INSHARA MBALIMBALI AMBAZO NDO HUWAVUTIA WATU WENGI WANAO PITA NJIA HIYO…YEYE HUPATIKANA BARABARA YA HASSAN MWINYI MAENEO YA KIJITONYAMA SAYANSI.

List ya Wanawake Wanaomiliki ndege zao yani....Private Jet zao Binafsi Hawa Hapa

Image
Kwa takwimu zilizofanyiwa uchunguzi zinasema kuwa Nigeria ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na wamiliki wa ndege binafsi almaarufu kama private jet ambazo ziko zaidi ya ndege 177 ambazo zinamilikiwa na matajiri kama Aliko Dangote pamoja na David Oyedepo ambao ni kawaida kwa matajiri kumiliki vitu vya thamani kama hivi sasa nimekuletea list ya wanawake kutoka barani Africa wakiwa wanamiliki ndege zao binafsi hawa hapa 1.Anajulikana kwa jina la  Folorunsho Alakija ameolewa pia ni mfanyabiahara na mjasiriamali kutoka Nigeria  2. Diezani Alison-Madueke akiwa ni Waziri wa petrol kutoka Nigeria mafanya biashara wa mafuta kutoka Nigeria 3. Bola Shagaya huyu ni mwasiasa lakin pia anajishughulisha na biashara za mafuta kutoka Nigeria amenunua ndege yake siku za karibuni kabisa  4. Daisy Danjuma huyu ni mke wa Billionea Theophilus Danjuma ambapo amepewa ndege binafsi na mumewe kama zawadi katika siku yake ya kuzaliwa kutoka kwa mumewe

HII NDO SHERIA MPYA YA GUEST HOUSE DAR…Kabla ya kupewa chumba mnapigwa picha?

Image
Ijumaa ya May 6 2016 kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii hususani Whatsapp najua utakuwa ulipokea ujumbe ambao ulikuwa unaripotiwa kuwa umetoka kwa meya  wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita, ujumbe uliokuwa umeenea ulikuwa unahusisha kuwa meya wa Dar es Salaam Isaya Mwita ametangaza sheria mpya. Meya Isaya Mwita ameeleza kuwa ujumbe unaoenea kuwa ametangaza sheria mpya Dar es Salaam sio wa kweli na umetungwa na watu ambao wanapanga kumchafulia jina lake. Ujumbe wa uongo ambao ulisambazwa leo May 6 2016 na kudaiwa umetoka kwa meya wa Dar es Salaam “Sio kweli kuwa kuna sehemu nimetoa statement ya namna hiyo ila huyo atakayekuwa ameandika atakuwa na lengo tofauti, kwa hiyo naomba wananchi wapuuze hiyo statement ambayo imekuwa ikisambaa, bahati mbaya sikuwahi kupata mtu akiuliza maoni yoyote kuhusiana na tukio hilo la Kimara ila kwa upande wangu sijatoa tamko lolote”

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 07.05.2016

Image

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Image

11 Certain Signs He’s Ready For A Serious Relationship.

Image
The beginning of a relationship can be a cloudy thing – it’s hard to determine if someone is just playing you and feeding you words you want to hear, or if they’re sincere and really care about you. Here’s a guide to weeding out the bad guys from the good ones, and seeing who’s willing to go past the casual phase and dive into something real. 1. He’s stopped seeing other people and wants to be exclusive. He wants to see you on Friday and Saturday. He’s so into you, he can’t even think about other girls, because you’re the only one that really makes him happy. He knows building a real foundation with you means getting serious with exclusivity, and he’s into it. 2. He’s starting using the we word. That means he visualizes himself with you, and wants to get serious with you. He wants to make more memories with you, and wouldn’t use that word if he couldn’t see himself with you.  3. He’s open about his insecurities with you. He talks about his struggles, with confide

Mama Salma Kikwete afunguka maisha yake kama mama

Image
Mke wa rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete amevitaja vitu anavyovipenda kufanya akiwa nyumbani. Mama Salma Kikwete ni msimamizi mkuu wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, inayowasaidia kuwasomesha watoto wa kike wanaoishi kwenye mazingira magumu na hatarishi. Akifanya mahojiano na waandishi wa habari wa Clouds Media waliomtembelea nyumbani kwake kuelekea siku ya mama duniani, siku ya Jumapili, Mei 8, amesema, “Mimi ni mama wa watoto tisa, kulea watoto tisa haikuwa shughuli ndogo lakini nashukuru Mungu kwa baraka ya kuwapata watoto wangu. Watoto wangu wamekuwa wakisaidiana sana wakati wa kuleana na kushirikiana katika kila jambo. Ukiacha hao tisa nina watoto wengine ninaowasomesha nina watoto wengi sana, nawapenda sana wanangu naamini hata wao wananipenda pia.” Aidha Mama Salma aliongeza, “ninapoona wanangu wanaandikwa vibaya kwenye magazeti, nachukizwa na jambo hilo kama mzazi, lakini natambua haya yanatokana na maisha tuliy

Walimu wapewa kichapo

Image
Bariadi. Walimu watano wamepigwa na kung’olewa mazao yao mashambani na wanakijiji kwa madai  ya kuwazuia kuchungia mifugo katika maeneo ya shule. Katibu wa Chama cha Walimu nchini (CWT) wilayani hapa, Baraka Owawa amewaambia waandishi wa habari baada ya kutokea tukio la kati shule za msingi Giriku, Nkindwabiye, Sapiwi na Nyamikoma. Owawa amewataja walimu waliopigwa na wananchi kwa madai ya kuzuia mifungo kufanya malisho katika maeneo ya shule kuwa ni Masumbuko Jackson, George Mwakanusya, Joseph Marco, Zacharia Jeremiah na Hipolitus Domisian ambao walilazimika kukimbia vituo vyao vya kazi. Amesema licha ya kupigwa, walimu hao wamepewa vitisho na wanakijiji wanaojiita wazawa kuwa wanaweza kusingiziwa kuwabaka wanafunzi au kutembea na wake za watu ili kuhalalishiwa tuhuma za kuwapiga.

TAMKO LA WIZARA KULAANI MAUAJI YA MAMA NA MTOTO, B/MOYO

Image
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto inasikitishwa na inalaani vikali tukio la kuuawa kwa kuchinjwa, mwanamke Oliver Erasto (23) na mtoto wake Emmanuel (3), wakazi wa eneo la Zinga, kata ya Dunda, wilayani Bagamoyo, kutokana na wivu wa kimapenzi. Wizara inakemea maauji hayo, yanayodaiwa kutekelezwa na Frowin Mbwale mkazi wa Kawe, Dar es salaam, ambaye ni mme wa marehemu, kwani yamesababisha kukatisha maisha ya mama na mtoto, katika kipindi ambacho Taifa linahimiza uzingatiaji wa mchango na haki za wanawake katika maendeleo ya taifa, na mwitikio wa haki ya kuishi ya Mtoto katika mipango na programu za maendeleo endelevu. Wizara inasisitiza kutambua kuwa jukumu la ulinzi na usalama wa wanafamilia liko mikononi mwa kila mwananchi, hivyo jamii inawajibu wa kusaidia udhibiti wa ukatili na mauaji katika familia na jamii zetu. Jamii ikiwa na uelewa wa pamoja katika haki za wanawake na watoto katika jamii, itawezesha kuwekeza katika haki ya k

TRA KUGAWA EFD’S 5700 KWA WAFANYABIASHARA

Image
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata  akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mwenendo wa makusanyo ya mapato nchini kulia ni Kamishna wa kodi za ndani Bw. Yusufu Salum. (Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO) Na Lilian Lundo MAELEZO Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) imejipanga kugawa jumla ya mashine 5700 za (Electronic Fiscal Devices) EFD’s kwa wafanyabiashara wadogo wadogo nchini ikiwa ni jitihada za Serikali katika kukusanya mapato nchini. Akizungumzia mipango hiyo leo, Jijini Dar es Salaam, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Alphayo Kidata amesema wameamua kuanza kugawa mashine hizo kwa wafanyabiashara wadogowadogo ambao wengi wao hawana uwezo wa kugharamia manunuzi ya mashine hizo. “ Mamlaka imeona changamoto wanayoipata wafanyabiashara wadogo hivyo imeamua kuanza kugawa mashine hizi ili kuondokana na tatizo la kutotoa risiti za mauzo kwa wafanyabiashara hao ambao walio wengi walikuwa na kisingizio

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANACHI MKOANI MANYARA ALIPOKUWA SAFARINI KUTOKEA DODOMA KUELEKEA ARUSHA.

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha sehemu mbalimbali wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha kwa njia ya barabara leo Mei 6, 2016. PICHA NA IKULU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua karanga kutoka kwa mjasiriamali mara baada ya kuwahutubia mamia ya wakazi wa Babati mkoani Manyara waliojitokeza katika eneo la Stendi ya Mabasi ya Babati Mkoani Manyara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Magug