Posts

LINAH: NAJUTA KUMUANIKA MPENZI WANGU

Image
  STAA wa Muziki wa Kizazi Kipya, Estelina Sanga ‘Ndege Mnana’ amefunguka ya moyoni kuwa, kamwe hawezi kurudia kosa la kumuanika mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii au kwa watu na kukiri kuwa ndiyo sababu kubwa iliyochangia kuachana na mpenzi wake, William Bugeme. Akizungumza na Showbiz kwa hisia kali msanii huyo anayebamba na Ngoma ya No Stress alisema, hakuwa akijua kama kuanika uhusiano wake kwenye mitandao ya kijamii kutamletea majanga. “Mimi tena kumuonesha mpenzi wangu nimekoma, najutaaa! Maana kwanza wakimjua wengine watajipendekeza na kumchukua na wengine watampelekea maneno ili tugombane  hivyo bora nikae kimya labda wamjue siku ya harusi tu nimejifunza,” alisema Linah.

HUYU NDO Bilionea Mtanzania Anaetaka Kuinunua BENKI ya BARCLAYS Tanzania!

Image
Inabidi ujue Tanzania inao watu wenye pesa zao na wanayo malengo au mipango mikubwa zaidi ya kibiashara ambayo kama ikienda inavyotakiwa wanaweza kuifanya nchi hii kutajwa zaidi kuwa na matajiri miongoni mwa nchi zenye Mabilionea Afrika. Kituo cha Television cha Marekani CNN kilimuhoji Mtanzania huyu na kikaweka kichwa cha habari ‘kutana na Bilionea mwenye umri mdogo Afrika‘ ni Mohammed Dewji ambaye ameajiri watu karibu elfu ishirini na nane kutokana na viwanda na biashara zake. Mbunge huyu wa zamani wa Singida mjini amesema ‘nimekua nikitaka kununua Benki kwa miaka minne mitano iliyopita, sasa hivi nimeamua nataka kuanzisha Benki yangu kabisa japokuwa hii ishu ya Benki ya Barclays Afrika kuuzwa imekuja na nashawishika japo sijajua kama wanataka mnunuzi atakaeichukua Afrika nzima‘ ‘Nimeshawishika kuinunua Barclays upande wa Afrika Mashariki na ninayo pesa tayari, sijajua wanaiuzaje lakini sina mpango wa kuichukua Barclays yote kwa Afrika,

BREAKING NEWZZ.....KUANZIA SASA WASOMI WENYE CHETI ZAIDI YA KIMOJA KUTO PATA KAZI SERIKALINI,NI WALE WALIO RISIT KWA KUTAFUTA CREDIT.

Image
KUNA TAARIFA ZINAENEA KWA KASI MITANDAONI KUHUSU SERIKALI KUTO KUWAPOKEA WASOMI WENYE CHETI ZAIDI YA KIMOJA KATIKA AJIRA..UJUMBE WENYEWE UNAMUHUSISHA WAZIRI SIMBA CHAWENE NA UKISOMEKA HIVI:- Wazir Simba chawene ametoa tamko la serikali kuwa , serikali ya Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania haiko tayari kuajiri wasomi wenye vyeti vya baraza la mitihani kuanzia vyeti viwili na kuendelea,watakaopata ajira yoyote ile ya moja kwa moja serikalini ni wasomi wenye cheti kimoja tu,.Wale waliosoma kwa kuunga unga ,mara kutafta credit,mara kurudia mitihan watafte ajira kwa mashirika binafsi.Serikali inataka kuwaajiri wasomi wenye cheti kimoja tu waliosoma moja k wa moja.System hii itaanza kwenye ajira za walim za mwaka huu 2016 zinazoenda kutangazwa mda c mrefu mwezi wa nne mwanzoni.simba chawene ameyasema hayo akiwa na waandishi wa habar pale jijin Dar leo majira ya asubuh ili kuwajuza watanzania kuwa ni tamko la serikali. Rai kwa weny vyeti vingi,mtakua mnaomba ajira kivy

BREAKING NEWZZ.. ZAIDI YA WAFANYAKAZI 400 KUPOTEZA AJIRA TTCL

Image
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ipo kwenye maandalizi ya kupunguza wafanyakazi wasiohitajika kwa sasa kutokana na kasi ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia. TTCL inayotoa huduma za simu na pia kutoa mitandao kwa kampuni zilizo na leseni ya huduma hizo, itapunguza wafanyakazi 400 ili kuongeza ufanisi na hivyo kumudu ushindani katika sekta ya mawasiliano dhidi ya kampuni binafsi. Mapema mwaka jana, Serikali iliamua kununua asilimia 35 ya hisa za TTCL zinazoshikiliwa na kampuni kubwa ya huduma za simu nchini India, Bharti Airtel na baadaye mwezi Mei, 2015 aliyekuwa Naibu Waziri wa Sayansi na Mawasiliano, January Makamba aliliambia Bunge kuwa Serikali iko katika maandalizi ya mwisho ya kumiliki hisa zote za kampuni hiyo kubwa kwa huduma za simu za mezani nchini. Chanzo cha habari kutoka ndani ya kampuni hiyo kinaeleza kuwa kati ya wafanyakazi 1,500 wa TTCL, zaidi ya 400 watapoteza ajira katika mpango huo wa kudhibiti gharama za uendeshaji. “TTCL itaomba fedha ili kuwalipa

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 29/03/2016

Image

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MKOA MPYA WA SONGWE MHE. CHIKU GALLAWA IKULU DAR ES SALAAM

Image
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshuhudia Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akiweka sahihi katika hati ya kiapo mara baada ya kuapa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisaini hati ya kiapo cha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa  mara baada ya kumuapisha  kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi  Luteni Mstaafu Chiku Gallawa  mara baada ya kumuapisha  kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

ALICHO ANDIKA MH. ZITTO KABWE BAADA YA KUPITA KWENYE DARAJA LA KIGAMBONI

Image
Naona Kigamboni ikibadilika kabisa. Inapaswa kuweka mipango Miji bora kuendana na uwekezaji huu wa Daraja. Haya ndio Maendeleo. Vitu vinaonekana badala ya porojo tu.   Barabara zinazotoka na kwenda darajani ziboreshwe sasa. Vinginevyo itakuwa white elephant shuhudia muonekano wa daraja hapa

RAIS MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI KUTOKA KWA MKAGUZI NA MDIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG) IKULU DAR ES SALAAM LEO

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakipitia Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali iliyokabidhiwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na watendaji wakuu  wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkafuzi Mkuu wa hesabu za serikali  baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Professa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 201

BREAKING NEWZZZ......RAILA ODINGA ADONDOKA NA JUKWAA WAKATI AKIHUTUBIA JIJINI MOMBASA ..TAZAMA VIDEO

Image
Hii imetokea leo. What does this mean? Cord leader Raila Odinga is reportedly nursing injuries after he was injured during a recent trip to Mombasa County. Odinga was addressing his supporters when a dais he was speaking on collapsed and leaders .blogspo

WANAWAKE WA DODOMA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHANGAMKIA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOKA MANJANO FOUNDATION

Image
   Wanawake wa Mkoa wa Dodoma  wanaonufaika na Mradi wa Manjano Dream Makers wakikisikiliza kwa Makini Mada Kuhusu Elimu ya Biashara  na namna ya kuendesha Ujasiriamali Kwenye Mafunzo Yanayoendelea Mkoani Dodoma . Mafunzo ya kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano yameanza mkoani Dododma. Jumla ya Washiriki 30 wamechaguliwa katika fursa hiyo na wanajulikana kama Manjano Dream Makers. Mafunzo hayo yamegawanyika katika awamu mbili. Awamu ya kwanza wanawake hao kutoka Manispaa ya Dodoma watapatiwa elimu kuhusu sifa za ujasiriamali, changamoto zake na namna ya kukuza na kuendesha biashara ikiwa pamoja na nidhamu ya kutunza pesa na mahesabu yaani 'Financial literacy'. Pia washiriki watanufaika namna ya kutoa huduma nzuri na bora kwa wateja na kujua mbinu zipi watumie kujiwekea akiba.    Afisa Mtendaji Mkuu wa Shera Illusions Africa na Mkurugenzi wa Manjano Foundation Mama Shekha Nasser  Akieleza Machache leo wakati wa Mafunzo y

Kamati ya bunge wa miondombinu yatembelea miradi mbalimbali

Image
Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yatembelea miradi mbalimbali inayotelezwa na taasisi zilizo chini ya kamati ambapo Mo Blog imekuandalia habari picha za jinsi ziara hiyo ilivyokuwa. Makamu Mwenyekiti wa Kamatiya  Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso (Mb), akisalimiana na uongozi wa Kampuni ya SMH Rail inayounda upya vichwa vya treni katika karakana ya reli iliyoko mkoani Morogoro, ambapo kamati hiyo iliyotembelea hivi karibuni kuona maendeleo ya uundwaji upya wa vichwa vya treni. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Seleman Kakoso (Mb) (wa pili kutoka kushoto), akipata maelezo ya namna kichwa kilichoundwa upya kinavyofanyakazi kutoka kwa mtaalam wa Kampuniya SMH Rail inayounda upya vichwa vya treni katika karakana ya reli iliyopo mkoani Morogoro, wakati kamati hiyo ilitembelea karakana hiyo hi

SAKATA LA WASTARA KUPEWA TALAKA LACHUKUA SURA MPYA.WASTARA JUMA ATOROSHWA HOSPITALINI,

Image
Taarifa mbaya! Staa wa Bongo Muvi, Wastara Juma ambaye mapema wiki iliyopita alidai kupewa talaka la mumewe, Sadifa Khamis Juma, Mbunge wa Donge, Zanzibar, anadaiwa kutoroshwa hospitalini kisha kupelekwa hoteli ya mafichoni huku akiendelea na matibabu. Kwa mujibu wa chanzo makini, Wastara aliyekuwa amelazwa kwenye Hospitali ya Misheni ya St. Herry Health Center iliyopo mjini hapa, aliondolewa wodini hapa usiku mnene huku akiwa bado hali yake ya kiafya haijatengamaa tangu alipolazwa mapema wiki iliyopita akisumbuliwa na presha na kisukari na baadaye kupoteza fahamu. Wikienda lilifika hospitalini hapo Jumamosi iliyopita na kuthibitishiwa kuondolewa kwa msanii huyo na mtu aliyedai kuwa ni babu yake aliyetajwa kwa jina la Abdulaziz Babu. Kwa mujibu wa mmoja wa wahudumu waliokuwa zamu walioomba hifadhi ya majina, jamaa huyo alidai kuwa Wastara aruhusiwe kwani alihofia usalama wake na kwamba sehemu aliyopanga kumpeleka ni salama zaidi. Baada ya kunusa ‘ubuyu’ huo hospita

Mkurugenzi wa Hanang asimamishwa akihusishwa na ubadhirifu wa Mil. 82

Image
Baraza maalumu la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara limewasimamisha kazi watumishi wanne wa Halmashauri hiyo, akiwemo mweka hazina wa Halmashauri hiyo kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Halmashauri ya wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara. Aidha katika maamuzi yake Baraza hilo pia limeazimia kwa kauli moja kwamba halina imani na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Bwana Felix Mabula kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 wa shilingi 82,873,000 na hivyo kupendekeza kwenye mamlaka zinazohusika kumsimamisha kazi mkurugenzi huyo kupisha uchunguzi zaidi wa tuhuma zinazomkabili. Akifunga mkutano wa Baraza hilo maalumu,Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo,Bwana George Bajuta amewataja watumishi waliosimamishwakazi kuwa ni pamoja na mweka hazina wa Halmashauri Mazengo Matonya, mhasibu msaidizi Marseli