Posts

WEMA, AUNT KIMENUKA KISA ZARI

Image
KIMENUKA! Mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar wikiendi iliyopita. Mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti tangazo hilo akiwalaumu watu wa mtandao wa huduma za simu waliomtumia ndipo Wema akaona na kuja juu. Ilielezwa kwamba baada ya Aunt kutupia picha ya tangazo hilo, Wema alichukizwa na kitendo hicho huku akimuona Aunt kuwa amemsaliti. Aunt Ezekiel Grayson. Ilisemekana kwamba katika utetezi wake, Aunt hakupendezwa na tangazo hilo alilotumiwa na mtandao huo wa simu. “Wema alivyoona alichukia na kusema Aunt alikuwa akimsaliti na

SALMAN KHAN WA BOLLYWOOD AHUKUMIWA JELA MIAKA 5 KWA MAUAJI

Image
Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan. Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi alipokuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa mjini Mumbai. Khan alikuwa ameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia baada ya kuelekeza gari lake kwenye kundi la watu waliokuwa wamelala kwenye njia kando ya barabara mwaka 2002. Mmoja kati ya watu hao Noor Ullah Khan alikufa katika ajali hiyo. Khan amedai kuwa dereva wake ndiye anayepaswa kulaumiwa lakini mashuhuda wanasema mwigizaji huo ndiye aliyekuwa kwenye usukani na alikimbia baada ya kutokea kwa ajali hiyo. Kwa mujibu wa Jaji wa mahakama hiyo, Khan anaweza kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo. NA BBC

WEMA SEPETU NA PICHA ZA INSTAGRAM PARTY JEMBE BEACH MWANZA

Image
Picha za Instagram party ya Wema Sepetu iliyofanyika Mwanza. Mambo ya Instagram party ya Wema Sepetu Mwanza Picha kwa hisani ya G Sengo Blog

President Kikwete meets President Museveni in New York

Image
 President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and the UN Secretary General Ban ki Moon during the first meeting of the High Level Panel on The Global Response to Health Crisis held at the UN Headquarters in New York this afternoon. President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and Ugandan President Yoweri Kaguta Museveni meet in New York this evening(photo by Freddy Maro)

MAGAZETI LEO JUMATANO TAREHE 6.5.2O15

Image
.   MAGAZETI YA UDAKU LEO   MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

DC MAKONDA NA MBOWE WAMALIZA MGOMOWA MADAREVA,MBOWE AMFUNDISHA KAZI PINDA,

Image
Add caption PICHANI NI MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOKRSIA NA MAENDELEO FREEMAN BOWE AKIZUNGUMZA NA MADEREVA MBALIMBALI UBUNGO LEO Mwenyekiti wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA mh FREMAN MBOWE amewasili leo katika stend ya mabas ubungo kuzungumza na madereva ambao walikuwa wakiendeah mgomo wa kuwataka serikali iwasikilize shida zao.mh Mbowe ambaye aliwasili hapa majira ya saa nne kasoroo asubuhi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi kumshangilia kwa nguvu huku wengine wakifuta barabara ili gari yake ipite huku nyimbo zza ukawa zikiimbwa,jambo ambalo lilizua taharuki katika eneo hilo.Mh mbowe alipata nafasi ya kuzungumza na viongozi wa madereva hao.aidha viongozi kadhaa wa serikali waliokuwa katika eneo hilo walionekana kuzomewa na kutokuaminika na madereva hao. Kuhusu mgomo huo Mkuu wa wilaya ya kinondoni mh PAUL MAKONDA amewaomba madereva hao kuendelea na kazi na ndani ya siku saba serikali itakua tayari imeshatoa tamko. Madereva hao

JINSI YA KUPUNGUZA ULAJI SUKARI

Image
Ulaji wa sukari kupita kiasi unahusishwa na kuongezeka kwa unene, uzito kupita kiasi, ugonjwa wa kisukari cha ukubwani (aina ya pili), magonjwa ya moyo, baadhi ya saratani, kuoza kwa meno na ugonjwa wa ini.  Katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, siyo rahisi kufanya tafiti zinazoonyesha kiasi cha sukari anacho kula mtu kwa siku. Kwa hiyo, hatuna budi kutumia takwimu za nchi zilizoendelea kama Marekani na ulaji wa watu wake haupishani sana na baadhi ya Watanzania wanaoishi mijini. Baadhi ya tafiti za miaka ya 2008-2009 zinaonyesha kuwa nchini Marekani mtu mzima kwa wastani anakula sukari vijiko vya chai 22 kutoka katika vyakula vilivyosindikwa kiwandani. Kwa mujibu wa Taasisi ya Kimarekani ya Mambo ya Moyo (Aha), kwa watu wazima, wanawake, matumizi yao ya sukari inayotokana na vyakula vilivyosindikwa kiwandani, yasizidi vijiko sita vya chai kwa siku. Kwa wanaume wasizidishe vijiko tisa kwa siku. Watu wafahamu kila gramu nne za sukari ni sawa na sukari iliyojaa katika kijiko