Posts

FLOYD MAYWEATHER AMEMTAJA BONDIA ANAEMTAKA ULINGONI BAADA YA MANNY PACQUIAO

Image
Baada ya pambano la karne kufanyika na matokea kuwa mazuri kwa Floyd Mayweather swali aliloulizwa baada ya pambano ni kwamba atakua na pambano lingine akasema yes, mwezi wa tisa ana pambano.Baada ya hapo alivyokua kwenye press conference alivyoulizwa nani utamtaka kwa ajili ya pambano lako la mwisho mwezi wa tisa. Mayweather alijibu kwa kifupi “Khan”. Amir Khan ni bondia kutoka England ambae na yeye ni bondia maarufu na mara nyingi amehusishwa kuhusu pambano kati yake na Mayweather. Pambano hilo ndio litakua la mwisho kwa Money Money. “Baada ya pambano langu la mwezi wa tisa nita staafu kucheza tena boxing”.

WATU MAARUFU WALIO-BET KWENYE PAMBANO YA MAYPAC

Image
Floyd Mayweather ndie mtu aliyepata pesa nyingi baada ya pambano lakini sio mtu pakee aliyepata pesa baada ya pambano hilo kuisha. Najua hata mtaani kwenye kuna watu waliweka mizigo na kushinda kiasi cha pesa.Sasa kwa upande wa kimataifa kuna mtu kama 50 Cent ambae ni rafiki wa Floyd Mayweather aliweka kiasi cha dola milioni 1.4 na kashinda kwasababu aliweka upande wa The Money Team. Davido kutoka Nigeria ali-spend time yake akiwa Las Vegas na yeye aliweka dola 20,ooo kwa upande wa Floyd Mayweather bila kumsahau original Bad Boy P Diddy aliweka dola 250,000 . Hawa ni baadhi ya watu tu waliotangaza na wengine hawajatangaza mizigo waliyoweka, vipi kwa upande wako.

MGOMO WA MABASI, DALADALA WAZIDI KUTIKISA DAR

Image
Polisi wakiwa wametanda eneo la Stendi ya Ubungo kuhakikisha hali ya usalama. Wananchi wakiwa wametaharuki katika eneo la Ubungo kutokana na mgomo unaoendelea. Polisi wakijaribu kuwasihi baadhi ya madereva kuacha mgomo. Mabasi yakiwa yamepaki ndani ya Kituo cha Mabasi Ubungo. Baadhi ya abiria wakionekana kutafakari juu ya safari yao katika Stendi ya Ubungo. Baadhi ya abiria wakiwa wamekata tamaa ya safari na kuamua kurudi nyumbani. Hali halisi ya Stendi ya Ubungo. Taswira nzima ya mabasi yaendayo mikoani katika Stendi ya Ubungo. Elisha Waziri, mkazi wa Kimara-Mwisho akizungumza na mwanahabari wa Global TV Online, Melkiadi Oreje. Mmoja wa abiria akilazimika kupanda Bajaj ili kumfikisha eneo lake la kazi. KWA mara nyingine mgomo wa mabasi yaendayo mikoani na mabasi madogo (daladala) jijini Dar umeibuka na kuwafanya wananchi watumiao usafiri huo kubaki katika hali ya sintofahamu kwa kushindwa kufanya shughuli zao za kila siku. Mgomo huo umechukua sura mp

Faiza Ally Aongelea Vazi Alilovaa Zari White Party na Wanaomponda "SASA nawataarifu ndio nimeamua na sio shati tu nikijisikia ntavaa hata gunia ni vile ambavyo najisikia"

Image
faiza_ally "Hahahaaa unajua nini kuna comment nyingi sana za kuponda vazi langu la shati ambalo binafsi nimelipenda sana na nilikua nafurahia toka nilipo waza tu kulivaa yaani mpaka nikalinunua na siku ikafika nikavaa na nikajisikia vile ambavyo nilivyo taka kujiskia- special #simple #happy ️SASA ajabu inakuja ambavyo mnaponda na ukiangalia asilimia 95 ya wanawake walio kuwepo walivaa nguo fupi wengine zaidi hata ya shati langu mfano mzuri hata mtangazani alie nihoji amavaa nguo fupi yaani tofauti yeye ni gauni mimi shati- vimini vigauni vilikua ufupi wake sawa na shati lkn kwa akili zenu fupi kama mazoe mkaona shati tu na hii yote kwa sababu mmekariri vitu mlivyo zoea kuona na mkiona kitu tofauti hamkubali - oyaa acheni upumbavu angalieni picha za watu walio hizuria nguo zao na shati langu kama lina hiyo tofauti ktk ufupi ambao mpaka una sababisha kunikashfu! SASA nawataarifu ndio nimeamua na sio shati tu nikijisikia ntavaa hata gunia ni vile ambavyo najisikia#

ZARI WHITE PARTY YAZUA KIZAZA,TEAM WEMA WAMJIA JUU KAJALA KISA KWANINI ALIENDA

Image
Kajala is pissed off by Team Wema!.......yesterday the actress attended Zari's All White Party at Mlimani City but as usual Team Wema started attacking her on Instagram and remember today Wema has instagram party in Mwanza and pre-party was yesterday. Wema didn't attend Zari's party. So it seems Team Wema wants to control Kajala's life just because Wema saved her from jail by paying Tsh.13 million as fine to save her .And we all know Wema and Kajala became best friends but their friendship later on went kaput. So after dissing her , Kajala had to react by posting the below message.... "If someone isn't what others want them to be, the others become angry. everyone seems to have a clear idea on how other people should lead their lives,but none about his or her own, Life Is about Choice... ONLY GOD CAN JUDGE ME......." wrote Kajala and added another one below...........   BOFYA KUONA VIDEO KAJALA AKIFUNGUKA MAZITO

WEMA SEPETU Alivyonoga Usiku Wa Kuamkia Leo Jijini Mwanza Katika Instagram Party!

Image
Yesterday Wema Sepetu was in Mwanza for instagram party and here was what she wore, she chossed black color and may be it was the event's theme.

WAFILIPINO WALIVYOMUUNGA MKONO PACQUIAO WAKATI AKIPAMBANA NA MAYWEATHER

Image
  Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia pambano la ngumi za kulipwa kati ya Floyd Mayweather na Mfilipino, Manny Pacquiao. Mashabiki kutoka sehemu mbalimbali nchini Ufilipino waliacha kazi zao kwa ajili ya kushuhudia pambano hilo lililokuwa likipigwa Las Vegas nchini Marekani. Kutokana na tofauti ya muda, wakati Las Vegas ilikuwa usiku, Ufilipino ilikuwa ni mchana jua kali na mashabiki waliacha kazi zao ili washuhudie pambano hilo katika sehemu mbalimbali za wazi. Wengi walikuwa wakishangilia kwa nguvu, lengo likiwa ni kuona Pacquiao anashinda. Hata hivyo, mwisho shujaa wao ambaye ni mmoja wa wanasiasa wanaopendwa nchini humo, alipoteza kwa pointi.

FLOYD MAYWEATHER AMTANDIKA MANNY PACQUIAO

Image
Najua watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana, pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao. Points tayari zimeamua, pambano limeenda kwa round 12, Floyd Mayweatherkamshinda Pacquiao kwa points sita tu.. Floyd ana points 117 na Pacquiao ana points 111. BOFYA KUONA VIDEO YA PAMBANO HILO>>

How to Survive After Breakup

Image
Breaking up is always tough, no matter the situation. One day you and your soul-mate are dreaming about your summer vacations and then the next thing you know that you won’t see each other again. Everything you have known and counted on and your whole world has suddenly vanished. There are no plans, hopes and dreams left. It feels as if a part of you is utterly lost. Instead of your Prince Charming there is only your broken heart and a gaping huge hole left in your life. You feel like you’ve been shattered to bits and you won’t find enough strength to survive. Bet it was one more trial that you have to endure, an experience that will make you wiser and stronger. Feeling depressed vulnerable and lonely you’ll want things to go back to what they were and you’ll try to do whatever it takes to get your ex back. If he is worth it – go for it. But if you know that something better awaits, try to follow these tips and get through your breakup like a queen. As they say “A brea

MAN PACYAO AKIJIANDAA KWA AJILI YA PAMBANO LA LEO.

Image

phars.blogspot.com: BREAKING NEWZZ......MSANII ALI KIBA AVAMIWA NA NA ...

phars.blogspot.com: BREAKING NEWZZ......MSANII ALI KIBA AVAMIWA NA NA ... : Hivi punde tumepokea habari ya kusikitisha na kushtusha, msanii wa Bongo Fleva @officialalikiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kw...

phars.blogspot.com: HUYU NDO MSANII ALIYEWASHANGAZA WENGI KWA VAZI LAK...

phars.blogspot.com: HUYU NDO MSANII ALIYEWASHANGAZA WENGI KWA VAZI LAK... : We all know when actress Faiza Ally decides something it must be .....and this is what she wore to Zari's All White Party at Mlim...

phars.blogspot.com: DIAMOND, SHETTA, NAY, KHADIJA KOPA WALIVYOACHA HIS...

phars.blogspot.com: DIAMOND, SHETTA, NAY, KHADIJA KOPA WALIVYOACHA HIS... : Diamond akiwachengua mashabiki kwa wimbo wake wa Nasema Nawe aliomshirikisha Malkia wa Taarab, Khadija Kopa. Malkia wa Taarab nchini, ...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: HAKIKA HUYU JAMAA NDIYE ALIKUWA GUMZO JANA KILA MT...

phars.blogspot.com: PICHA ZOTE za kilichojiri kwenye part ya Zari na D...

phars.blogspot.com: PICHA ZOTE za kilichojiri kwenye part ya Zari na D... : Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika ...

phars.blogspot.com: Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali ...

phars.blogspot.com: Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali ... : RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na...

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi

Image
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi. Kauli hiyo aliitoa  jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake. Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo "Mimi msafiri bado niko njiani sijui lini nitafika... naulizia watu kule ninakokwenda....”   na kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki wa dansi waliomshangilia ambapo alijiamba kuwa na sauti ya mauzo. “Mmesikia sauti yangu si mbaya sana,  hakika nisingekuwa Rais wa Nchi hii basi nigekuwa msanii wa bongo fleva kama akina Ali Kiba, Diamond na wasanii wengine wakali nikiuza album zangu kwani ningekuwa tishio  kwa kuimba...” alisema. Rais pia alimpongeza msanii maaruf

PICHA ZOTE za kilichojiri kwenye part ya Zari na Diamond Mlimani city jana

Image
Diamond Platnumz akimbusu mpenzi wake Zari katika usiku wa Zari All White Party ndani ya Mlimani City usiku huu. Zari na Diamond katika pozi ndani ya Mlimani City. Zari na Diamond wakati wakiingia ukumbini usiku huu. Wasanii wa Yamoto Band wakiwa wametulia tayari kwa shoo ya usiku wa leo. Mpiga Picha Mkuu wa Global Publishers, Richard Bukos (kati) akipozi na watangazaji Sauda Mwilima wa Star TV(kulia) na Khadija Shaibu 'Dida' wa Times FM. Wanausalama wakiwaondoa baadhi ya watu waliokosa tiketi. Baadhi ya mabango waliyokuwa nayo mashabiki wa Diamond.