Posts

Online Dating: Is it just for losers?

Image
Online dating used to be this scary and shameful thing when it just started.You know, back in the day, when people thought that internet is for porn and creepy perverts only. People used to have this weird idea that only creeps and losers would stoop so low as to try and find love on the internet. Thank god it’s all in the past and everyone knows that internet is awesome and serves many purposes. The truth is, nowadays you spend most of your day on the internet. We’re all constantly on Twitter, Facebook, Instagram, Pinterest, Youtube. That’s how we make friends. That’s how we work, shop, watch movies. So why not find love the same way? And yet, the last few, lets call them “oldfashioned” people who still don’t believe in online dating and think it’s a horrid idea. Well, let’s see how it really is and shun those ideas once and for all. First and foremost it’s important to state that 1 in 5 relationships starts online these days. Be it specific online dating services, or

WOLEPR ALEWA AZIMA, WEMA SEPETU NA MWANAUME SHOGA PATASHIKA! A-Z IPO HAPA MDAU...!

Image
Masistaduu wawili kunako gemu la Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe wakipiga mtungi usiku mnene. ENEO LA TUKIO Hatari! Masistaduu wawili kunako gemu la Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo, Risasi Jumamosi linafunguka. Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri hivi karibuni, usiku mnene kwenye pati ya kuzaliwa (birthday) ya meneja wa kampuni ya Wema ya Endless Fame almaarufu Petit Man iliyofanyika kwenye nyumba ya jamaa mmoja maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa kibao. Katika pati hiyo ambayo mbali na mastaa ilihudhuriwa na watoto wa mjini, watu waligonga msosi wa kufa mtu kisha vikafuata vinywaji. Tofauti na ‘maraia’ wengine, Wema na Wolper walikuwa wakigonga vinywaji vikali hadi wakawa tilalila na kuanza kufanya vituko, jambo ambalo liliwashangaza wengi.Kadiri muda ulivyokuwa unasonga ndivy

MAMBO 10 ALIYOSEMA WEMA KATIKA MAISHA BAADA YA KUACHANA NA DIAMOND

Image
Ijumaa hii Wema Sepetu alikuwa mgeni kwenye kipindi cha Ubaoni cha EFM. Miongoni mwa mambo aliyoulizwa ni pamoja maisha baada ya kuachana na Diamond Platnumz.   Haya ni mambo 10 aliyosema: 1. Maisha yake bila Diamond yako poa tu japo mazoea yaliyokuwa yamezidi kati yao yanamfanya wakati mwingine kummiss! 2. Ameshakubali ukweli kwamba yuko mbali na Diamond 3. Anaamini kuwa Diamond anammiss pia kutokana mazoea waliyokuwa nayo 4. Wema na Diamond sio marafiki 5. Hana  kinyongo na Diamond ila anaamini kuwa Diamond bado ana kinyongo naye 6. Ni shabiki na ataendelea kuwa shabiki wa nyimbo za Diamond 7. Hawajahi kukutana na Diamond tangu waachane 8. Hajawahi kumpigia simu 9. Aliwahi kumtumia meseji Diamond kumpa pole kwa kuuguliwa na mama yake 10. Bado hajapata mwanaume mwingine

HIZI NDIO TAARIFA ZENYE UHAKIKA KUHUSU ALIYEKUWA MPENZI WAKE LULU MICHAEL

Image
Mitandao ya kijamii kuanzia kwenye Whatsapp mpaka twitter, Facebook na Instagram siku hizi imekua na nguvu kubwa na ndio maana hata taarifa zinaenea kwa kiasi kikubwa sana siku hizi bila kungoja Magazeti, Radio au TV. Najua kama unafatilia habari zinazoendelea mjini utakua umekutana na voicenote au taarifa ya kifo cha huyu ndugu yetu inaweza kuwa imekufikia lakini sio kwa usahihi, au chanzo cha kifo kinaweza kuwa kimepotoshwa.   Sasa familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga ( Secky ) imekanusha taarifa zinazoendelea kusambazwa kupitia voice note na kwenye mitandao kuhusu chanzo cha kifo chake na kwamba alikwenda kwenye birthday,  "ukweli ni kwamba aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba mtoto wake nyumbani kwake, akapelekwa hospitali na baadae akafariki akiwa Hospitali, hakuna kingine zaidi ya hapo". Secky alikua rafiki wa watu wote wakiwemo wasanii wengi wa bongofleva na hata bongomovie pia ndio maana msiba huu umewagusa kutokana

Majibu ya Amanda Kuhusu Madai ya Kutumia ARV

Image
Staa wa Bongo Movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi. Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha ya Amanda akipima ugonjwa ambao haukujulikana ndipo kijana huyo alipokomenti kwamba eti msanii huyo ana ngoma.Akizungumza na Ijumaa, Amanda alisema amechoshwa na watu wanaomkashifu mtandaoni wakidhani kila msanii ni mhuni. “Nimeona nimtolee uvivu kwani asifikirie Bongo Muvi wote tunatumia ARV, mimi nimepima mara ya mwisho juzi na najiamini najua ninachokifanya, alinikera sana yule kijana ndiyo maana nikampa makavu,” alisema Amanda.

AJALI MBAYA YATOKEA KIWIRA MKOANI MBEYA YAUWA WATU 18 ASUBUHI HI!!

Image
Habari zaidi zitawajia punde tutakapozipata

IRENE UWOYA ANA MIMBA YA PILI?! SOMA ALICHOKIANDIKA NA TAZAMA PICHAZ HAPA...

Image
Staa mrembo wa Bongo, Irene Uwoya amewaacha njia panda mashabiki wake baada ya kubandika picha mtandaoni akionekana yupo bafuni akiwa amejishika tumbo na kuiandikia maneno akiwatata mashabiki wamtajiae majina mazuri ya kike. “Ntajie majina mazuri yakike unayoyapenda.....”- Uwoya aliandika. Kauli hii ilizua maswali mengi kutoka kwa mashabiki wakioji kama mrembo ambae ni mama wa mtoto mmoja kama anaujamzito au la, wengine walienda mbali zaidi wakisema kuwa inawezekana akawa ni mjauzito na anatarajia kujifungua mtoto wa kike. Mbali komenti nyingi kumtaka atoe maelezo zaidi juu ya hili, Uwoya hakujitokeza kusema lolote hivyo hadi sasa mashabiki wake wapo njia panda wakijiuliza, …ana ujauzito au hana? Swaga kama hizi ya mtandaoni huwa mara nyingi zina maaanisha picha picha za tumbo zimekuwa nyingi sana kutoka kwa mrembo huyo. ngoja tuendelee kusubiri kwani hili ni jambo la kheri. Mzee wa Ubuyu

HALI ILIVYOKUWA NYUMBANI KWA GWAJIMA LEO

Image
Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima. Makamanda wa polisi wakiwa tayari kwa lolote. Gari lililombeba Gwajima likitoka ndani ya nyumba yake kuelekea kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano. Mawakili wa Gwajima wakisalimiana na mmoja wa maofisa wa polisi mara baada ya kufika eneo la tukio. Waandishi wa habari wakiwa eneo la tukio. Waumini wa Gwajima wakiwa wamezunguka nyumba wa askofu wao.  Kundi la wafuasi wa Gwajima wakifika nyumbani kwake mara baada ya polisi kuondoka eneo la tukio.  Baadhi ya watu waliokuwemo ndani ya nyumba ya Gwajima wakichungulia dirishani.  Baadhi ya waumini wa Gwajima wakifuatilia kwa makini hali iliyokuwapo.  Baadhi ya waumini wakiwa mbele ya nyumba ya Gwajima. Gari la polisi likiondoka eneo la tukio. Hapa wakishangilia ushindi baada ya polisi kuondoka eneo la tukio. WAKATI taarifa zikisambaa kwa kasi kwenye mitandao ya jamii kuwa nyumba ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, imezingirwa na polisi, habari kamili n

TAARIFA KAMILI KUHUSU WALIOFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI SHINYANGA!

Image
Eneo la machimbo ya madogo ya dhahabu ya kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.  Mpaka sasa inadaiwa wachimbaji wadogo wadogo 20 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia wa mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo katika machimbo madogo ya dhahabu ya kijiji cha Kalole kata ya Runguya tarafa ya Msalala wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha amesema waliofariki dunia ni watu 19 ambapo usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya uchimbaji kutokana na machimbo hayo kuonekana kutokuwa imara na mvua iliyokuwa ikinyesha ndipo mashimo hayo yakabomoka na kuwafukia na kusababisha vifo vyao. Baadhi ya duara ya simo la kuchimba dhahabu katika kijiji cha Kalole wilayani Kahama mkoani Shinyanga.

HAWAENDANI LAKINI NDO HIVYO TENA,SOMA HAPA

Image
  Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. NImtazamo wa wengi kuwa baadhi ya mastaa ambao wapo kwenye uhusiano hawaendani kabisa kutokana na muonekano wao, tabia zao na hata fani zao kuwa tofauti. Kuna mastaa wa Bongo na wa Mamtoni ambao mapenzi yao yalivyoanza yaliwashtua watu mbalimbali na wengine kudai hayafiki mbali huku wale wanaotazamiwa kuendana kwa kila kitu wakimwagana vibaya mfano, Diamond Platnumz na Wema Sepetu, Rihanna na Chris Brown na wengineo wengi. AUNT EZEKIEL NA MOSE IYOBO Aunt Ezekiel ambaye ni staa wa Bongo Muvi alidai ‘kudate’ na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, hiyo ilijulikana mwishoni mwa mwaka jana baada ya Aunt Ezekiel kudai kuwa mimba hiyo ni ya dansa huyo. Uhusiano huo uliwashtua mashabiki wengi wa staa huyo ambapo mpaka sasa hawakubaliani na uhusiano huo wakidai kuwa kuna mtu nyuma ya Mose ambaye ndiye muhusika wa mimba ya Aunt kwa kigezo kuwa Mose hana jeuri ya pesa ya kuweza kumuweka Aunt mjini. .NAY WA MITEGO NA SHAMSA FORD Huu ni moja tu ya mfano wa map

SAKATA LA MTOTO WA NAY:MAJIBU DNA YATOKA!!,SOMA NDANI KUHUSU HATIMA YA NAY WA MITEGO

Image
  Baada ya utata mzito kutawala kwenye vyombo vya habari juu ya uhalali wa mtoto wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kwa mzazi mwenzake Siwema Edson, hatimaye kipimo cha vinasaba (DNA) kimetoka na kumaliza ubishi kwamba mtoto huyo aitwaye Curtis ni damu halisi ya msanii huyo. Hivi karibuni, Nay na Siwema ambao walikuwa wapenzi kisha kumwagana, waligombana na kila mmoja kuzungumza lake juu ya mtoto wao huyo ambapo Siwema alidai si damu ya Nay wakati msanii huyo alisema ni damu yake. Licha ya kupokea majibu hayo mazuri kwake, Nay aliyachukua majibu hayo kwa kuangua kilio cha furaha huku akieleza ya moyoni kuhusiana na sakata hilo. “Hili ni swala ambalo lilikuwa linaniumiza kichwa kila kukicha. Unajua kama mwanaume, mtu akwambie mtoto si wako unadhani ni maumivu kiasi gani utayapata? Inauma sana, mtu umelea kuanzia mimba hadi mtoto amezaliwa, si kitu kidogo. “Namshukuru Mungu kwa majibu kwamba ni damu yangu. Mashabiki wangu watambue tu kwamba, Curtis ni mwanangu asilim

WATU 10 WAKAMATWA MSIKITINI MOROGORO WAKIJIANDAA NA SHAMBULIZI LA UGAIDI

Image
Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini Somalia. Katika tukio hilo, mmoja anayesadikiwa kuhusiana na watu hao waliokamatwa aliuawa na wananchi wenye hasira baada ya kumjeruhi kwa panga askari polisi aliyekuwa akipambana naye. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo limetokea jana (Aprili 14 mwaka huu) majira ya saa 3.30 usiku katika kitongoji cha Nyandero, tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero. Kamanda Paul alimtaja mtu aliyefariki kuwa ni Hamad Makwendo ambaye umri wake haujafahamika ambaye ni mkazi Manyasini Ruaha wilayani Kilombero. Aidha alisema siku ya tukio polisi walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu watu hao na kwamba walitaarifiwa kuwa wanajihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu na polisi waliamua kufatilia nyendo zao. Akisimulia

SHUHUDIA ANACHOKIFANYA ZITTO HAPA

Image

MASHINE ZA BVR AWAMU YA PILI KUPELEKWA MIKOA SABA

Image
 Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini Tanzania itaanza kusambaza mashine za BVR 248 katika mikoa saba nchni Tanzania Kuanzia katikati mwa wiki ijayo. Mikoa iliyopangwa kuanza kupokea mashine hizi ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, Wakati zozi likianza mikoa hiyo nyingine zitakuwa zinapelekwa katika mikoa ya Katavi, Mbeya na Dodoma. Mikoa mimgine ni Singida Tabora Geita na Kigoma. Mkuu wa kitengo cha Ufundi wa idara ya Daftrari/ICT wa NEC Dr Sisit Cariah, Akizungumza na mwandishi wetu amesema kwamba mpaka sasa wanachi wa mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvumna na Iringa wakae tayari kwani muda wowote watatangaziwa vituo vya kujiandikisha.  Pamoja na mshine hizo 248 Tume ya taifa ya uchaguzi imewaandaa wataalamu 248 ambao watakuwa na jukumu la kutoa elimu kwa wataalamu wengine 50 kwa kila mmoja nchi nzima kwa ajili ya kuharakisha uandikishaji kwa mfumo wa BVR. Dr Sisit Ameeleza kwamba wamefanikiwa kufanya maboresho makubwa katika mashine hizi ikiwa ni pamoja na kubadi

WATU 9 WAKAMATWA MORO WAKIWA NA MILIPUKO MIKUBWA PAMOJA NA SILAHA NZITO KATIKA MSIKITI

Image

8 Certain Signs You’re With the Man You Should Marrys

Image
Hello my Dear Friends You’ve survived a long-distance relationship This is great challenge for any couple. You love each other very much and believe everything is possible. You both are ready for necessary sacrifices, knowing everything will be ok when you get back together.Are you dating the right guy? It’s hard to tell, especially when you’re stuck in relationships and don’t know what you want from your man. What are you looking for in your partner? Does he want to be with you forever and ever? Most women can’t find the right answers. But there are some tricks to tell if you’re ready to marry a certain guy. Here is a list of qualities that you should pay attention on. These signs will help you to find out if you two are bound for life.   1. He’s a good teammate Fighting for something together is always good than fighting with each other. You both can improve and inspire each other achieving your dreams. If you are a good team – be sure, he will be there for you when