Posts

UWANJA WA CCM KAMBARAGE WAJAA MAJI NA HIVYO MECHI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA FC IMEAHIRISHWA

Image
Mchezo wa ligi kuu Vodacoma Tanzania bara baina ya Kagera Sugar na Simba SC uliotakiwa kufanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga umeahirishwa jioni hii kutokana na uwanja wa kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Shinyanga. Uongozi wa Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Shinyanga umesema hali ya hewa nzuri hivyo mchezo huo utafanyika kesho kutwa siku ya Jumatatu. Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa miguu mkoa wa Shinyanga Benister Lugola amesema mchezo utafanyika Hata hivyo pamoja na maji kujaa katika uwanja huo hususani upande wa magoli ,mashabiki wa mpira wa miguu hawajajitokeza kwa wingi hivyo hali ambayo inatajwa kuwa imechangia kwa kiasi kikubwa kuahirishwa kwa mechi hiyo ingawa timu zote zilikuwa tayari kucheza,huku timu ya Simba ikipiga kelele zaidi kwani wanatumia gharama kubwa kutokana na kwamba kesho walitakiwa kuondoka mkoani Shinyanga.  Wakizungumza na Malunde1 blog Mashabiki wamelalamikia kitendo cha me...

LIGI KUU ENGLAND : MANCHESTER UNITED WAITANDIKA ASTON IVILA 3

Image
Wayne Rooney (centre) scored a stunning half-volley as Manchester United beat Aston Villa 3-1 in the Premier League on Saturday Rooney put United 2-0 ahead on 79 minutes as he crashed home the Red Devils' second with his right-footed strike United's No 10 celebrates his stunning effort at Old Trafford - his sixth goal in eight games for the club since being moved back up front Rooney (centre right) is mobbed by his team-mates after his wonderful goal gives them a 2-0 lead against lowly Villa Villa manager Tim Sherwood (right) shakes the hand of his United counterpart Louis van Gaal before Saturday's encounter United felt they should have had a penalty in the opening minutes of the match at Old Trafford when Rooney (left) fell in the box The United skipper appeals to the officials after being denied a penalty during the opening exchanges at Old Trafford United midfielder Marouane Fellaini (right) challenges for the ball against Villa ...

DIAMOND PLATINUM NA ZARI THE BIG BOSS RASMI,PARTY YAO HAIJAWAI KUTOKEA TANZANIA

Image
    NI KWELI diamondplatnumz WAMEFUNGA NDOA??  UNAKUPA UBUYU KIDOGO -----Kwa imani ya watu wengi, huenda kuanzia Ijumaa ya jana, Zari ni Mrs Naseeb rasmi! Apparenty wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya ama kuchumbiana – ofcourse kwa mujibu wa picha aliyopost Diamond kwenye Instagram usiku wa jana..na kucaption hivi--- “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi. Alhamdulillahemoji (Sometimes Privacy has more Blessings… Thank you so Much God,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo. So ni ndoa ama ni engagement tu? Kila mtu anaweza kuwa na jibu lake kwakuwa Diamond hajasema chochote zaidi ya kuandika ujumbe wa kawaida unaoweza kuashiria kitu chochote! Hajasema wamefunga ndoa si ndio? Japo uwezekano wa kitu kama hicho si mgumu kwao, makubwahaya.com tunakupa majibu tofauti! mambo ya ndoa bado,lakin engagement ilisha fanyika kimya kinya.Sasa Okay, ngoja tukuamshe! Unakumbuka kuwa Zari atakuwa na show ya Ciroc Allwhite Party May 1, Mlimani City? Well, huend...

MENGI NA MKEWE KYLN WALIVYO FUNGA NDOA YA KIHISTORIA

Image
Mr and Mrs Mengi wakiwa na furaha siku ya Ndoa yao Mimi Dr. Reginald Mengi naahidi kumpenda Jacqueline Ntuyabaliwe katika shida na raha hadi kifo kitutenganishe Ilikuwa ni furaha, upendo wa dhati na shangwe pomoni. Baada ya miaka kadhaa ya uhusiano thabiti na uliokuwa umetawaliwa na upendo usio kifani, Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited, Dr. Reginald Mengi na Miss Tanzania, 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe wamefunga ndoaWawili hao wamebahatika kupata watoto wawili mapacha pamoja. Watoto hao wa kiume nao waliungana na wazazi wao kushuhudia wazazi wao wakibadilisha viapo vya ndoa. Watoto mapacha wa Dr. Mengi na K-Lynn wakiwa wamebeba pambo maalum lililoandikwa maneno ya Kiingereza yanayomaanisha ‘Karibu Bibi Harusi’ Dr. Mengi na Jacqueline anayefahamika pia kwa jina la K-Lynn, walifunga ndoa mwishoni mwa mwezi uliopita katika harusi iliyofanyika nchini Mauritius. Bibi Harusi Jacqueline Ntuyabaliwe akitembea kwa hatua za kinyonga kujongea mbele ya mashahidi na tayari kwa kus...

ALIYOJIRI BAADA YA ASKOFU GWAJIMA KUPEWA DHAMANA Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia habari hiyo. Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao baada ya kupatiwa dhamana waumini hao wakiwa kituoni hapo. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema yesu yesu baada ya kupewa dhamana katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo mchana. Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua Askofu Gwajima.

Image
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana. Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana Wanahabari wakitoka kituo cha polisi Oysterbay kufuatilia  habari hiyo. Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao  baada ya kupatiwa dhamana waumini hao wakiwa kituoni hapo. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wakiwa wamelizonga gari lililombena Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Josephat Gwajima, huku wakishangilia kwa kusema yesu yesu baada ya kupewa dhamana katika Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo mchana. Waumini hao wakilipungia mkono gari lililomchukua  Askofu Gwajima.  (Imeandaliwa na mtandao ...

BREAKING NEWS-KIKAO CHA BUNGE CHAVUNJIKA,NI KUHUSU KURA YA MAONI Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana. Hali likuwa hivi: Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

Image
Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana. Hali likuwa hivi: Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

MAGUFULI AFANYA UKAGUZI WA MV DAR ES SALAAM Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam. Kivuko cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamanda wa Navy, Meja Jenerali Rogastian Laswai kabla ya kuanza safari na Kivuko cha MV Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi kushoto wakiwa safarini kuelekea Bagamoyo Mkoani Pwani.

Image
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam. Kivuko cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamanda wa Navy, Meja Jenerali Rogastian Laswai kabla ya kuanza safari na Kivuko cha MV Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi kushoto wakiwa safarini kuelekea Bagamoyo Mkoani Pwani.Credit:Father Kidev