BREAKING NEWS-KIKAO CHA BUNGE CHAVUNJIKA,NI KUHUSU KURA YA MAONI Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana. Hali likuwa hivi: Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

Kikao kimevunjika muda mfupi uliopita baada ya kutokea vurugu za maneno kufuatia wapinzani kutaka waziri mkuu atoe taarufa juu ya mwenendo wa kura ya maoni ya katiba mpya april 30,2015.kutokana na vurugu hizo za dakika kama 10 hivi spika anna makinda amesitisha gafla shughuli za bunge hadi mchana.
Hali likuwa hivi:
Mnyika: Nimesimama kupata idhini kwa mujibu wa kanuni ili shughuli za bunge zisitishwe badala yake tujadili zoezi la uandikishaji nchi nzima, mpaka sasa zoezi halijakamilika hata kwa mkoa mmoja tu wa Njome, jambo hili ni la dharura na ilishatolewa na ukaagiza kamati ishughulikie, majibu tupate kikao hiki na leo tunafunga mkutano hamna kitu.

Comments

Popular posts from this blog