UWANJA WA CCM KAMBARAGE WAJAA MAJI NA HIVYO MECHI YA KAGERA SUGAR NA SIMBA FC IMEAHIRISHWA
Mchezo wa
ligi kuu Vodacoma Tanzania bara baina ya Kagera Sugar na Simba SC
uliotakiwa kufanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga
umeahirishwa jioni hii kutokana na uwanja wa kujaa maji kutokana na mvua
zinazoendelea kunyesha mkoani Shinyanga.
Uongozi
wa Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Shinyanga umesema hali ya hewa nzuri
hivyo mchezo huo utafanyika kesho kutwa siku ya Jumatatu.
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa miguu mkoa wa Shinyanga Benister Lugola amesema mchezo utafanyika
Hata
hivyo pamoja na maji kujaa katika uwanja huo hususani upande wa magoli
,mashabiki wa mpira wa miguu hawajajitokeza kwa wingi hivyo hali ambayo
inatajwa kuwa imechangia kwa kiasi kikubwa kuahirishwa kwa mechi hiyo
ingawa timu zote zilikuwa tayari kucheza,huku timu ya Simba ikipiga
kelele zaidi kwani wanatumia gharama kubwa kutokana na kwamba kesho
walitakiwa kuondoka mkoani Shinyanga.
Wakizungumza
na Malunde1 blog Mashabiki wamelalamikia kitendo cha mechi kuahirishwa
kwani wengi wao wametoka nje ya mkoa wa Shinyanga huku wakidai kuwa
maji yalikuwa ya kawaida tu tena sehemu za magoli tu kwa maana hiyo
hapakuwa na sababu ya kuahirisha na kuongeza kuwa tatizo ni maslahi
kwani majukwaa hayakuwa na watu wa kutosha uwanjani hapo.
"Ukweli
ni kwamba maji hayakuwa mengi sana,hapa wametafuta tu kisingizio,kwanza
mvua ilikuwa imekatika,kwanini waahirishe mechi kirahisi rahisi tu
hivi?",alifoka mmoja wa mashabiki ha

Comments
Post a Comment