Posts

UVUMILIVU NI SOMO LA MAISHA, UPO TAYARI KUJIFUNZA?

Image
Kuna mtu mmoja alishawahi kusema hivi, “Mwonekano wako ni halisi unapojionyesha wakati wa mambo magumu, huwezi kuwa zaidi ya hivyo katika utu wako”. Ukiendelea kuwahukumu watu wengine kutokana na tabia zao huwezi ukaona kitu kizuri ndani yao. Badala ya kumwona mfanyakazi mwenzako ni mtata, msumbufu, katili , hana utu, jaribu kumwona mtu huyo kama mwema na anahitaji kueleweka. Tafuta kitu kizuri ndani yake na uweze kwenda naye kwa hicho kizuri. Ingawa mambo kama hayo yamejengeka kwa muda mrefu kutokana na wapi mtu huyo alizaliwa, maisha gani amepitia na mambo gani yameikabili familia yake akiwa mtoto, kama wazazi kupigana, kutoonyeshwa upendo kwa wazazi wake mwenyewe hivyo kuathirika na vitu vingi. Unapojaribu kuchukuliana na udhaifu wa mtu mwingine na jinsi alivyo unahitaji uvumilivu. Fikiria kwamba kuna mfanyakazi unataka abadiLike kutokana na tabia zake, je yuko hapo kukufundisha nini? je wanakupa mwangaza gani na wewe kujiona kwenye kioo? Mara nyingine ni

MAISHA MAZURI NI NINI? NINI TAFSIRI YA MAISHA BORA?

Image
Tunapoutizama ulimwengu, kila mtu anataka maisha mazuri na wakati mwingine unakaa kujiuliza maisha hayo mazuri ni yapi? Katika Tanzania hii tumechanganya maisha mazuri na kuwa na fedha nyingi au utajiri. Na imetupelekea vijana wengi tukaanza kufanya vitu vya ajabu ili tuwe na maisha mazuri bila kujua hayo maisha mazuri ni yapi? Inategea na uelewa wako wa mambo na sehemu ambayo ulilelewa. Maisha mazuri ni pale ambapo unaridhika na kile ulichonacho,kupata mahitaji ya msingi ya kibinadamu kulingana na eneo ulilopo. Mfumo wa maisha unabadilika kila siku, na tumekuwa na tafsiri tofauti tofauti kuhusu maisha mazuri bali ukweli wa mambo ni kwamba ukishindwa kuridhika na kufuruahia ulichonacho sasa itakuwa ngumu kujua kama unamaisha mazuri. tatizo litakuja pale unapotaka kujilinganisha na watu wengine au marafiki zako na unajikuta unaanza kuishi kulingana na watu wengine au marafiki zako wanavyotaka au kuelezea maisha mazuri. Kuna watu walifikiri watu wenye ma

MPENZI WA CHRISTAN RONALDO AAMBULIA MATUSI MAZITO NA KUSHAMBULIWA NA MASHABIKI BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA UTUPU NA BANGO LILILOANDIKWA "BRING BACK OUR GIRLS

Image
  Tangu wasichana 276 wa Nigeria walipotekwa nyara na kundi la Boko Haram, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our Girls’, ikimaanisha wanajiunga na kampeni ya raia wa Nigeria.   Mwana mitindo Irina Shayk ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa mpira wa miguu Christian Ronaldo yeye amepost picha kwenye twitter na Instagram akiwa amepoz mtupu huku akiwa ameshikilia bango linaloonesha amejiunga na kampeni hiyo, na bango hilo ndilo lililofunika kifua chake. Hata hivyo kitendo chake hakikuungwa mkono na baadhi ya followers wake ambao walionesha moja kwa moja hisia kwa kumshambulia kuwa ameenda kinyume na maadili. “Pretty tasteless and disrespectful. No class. This is exactly the justification terrorists are probably using to prevent women from receiving 'western education.”  Aliandika mtu mmoja. Mwingine aliona kama amefanya dharau kwa kuwa tatizo hilo sio la nchi kubwa

BAADA YA WAFANYA KAZI WA SAMSUNG KUPATA KANSA, HATIMAYE KULIPWA NA KAMPUNI

Image
Kampuni kubwa duniani ya vifaa vye elektroniki, Samsung inasema kuwa itawalipa fidia wafanyakazi wake waliougua Saratani kutokana na kufanya kazi katika viwanda vyake. Kampuni hiyo iliomba radhi kwa kesi ya muda mrefu kati yake na wafanyakazi hao waliokuwa wanadai fidia na badala yake kukubali kujiondoa katika kesi hiyo huku ikikubali kuwalipa fidia wagonjwa hao. Hatua ya Samsung kukubali kuwalipa wafanyakazi hao inaleta matumaini katika kukamilika kwa mvutano huo ambao ulionekana kukwama kwa muda mrefu Lakini afisa mkuu mtendaji wa kampuni hiyo, Kwon Oh-hyun nusura kukiri kuwa kulikuwa sababu ya wafanyakazi hao kupatwa na Saratni ilichangiwa na wao kufanya kazi katika kiwanda cha Samsung. Wengi walipata Saratani ya damu au Leukaemia. Bwana Kwon alisema wafanyakazi kadhaa katika viwanda vyetu walipatwa na Saratani ya damu na kuugua magonjwa mengine yasiyokuwa na tiba ambayo yalisababisha baadhi yao kufariki.''   tulipaswa kumaliza

MTOTO WA MWAKA MMOJA AANGUKA KUTOKA GHOROFA YA 11 NA KUNUSURIKA KIFO

Image
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja amenusurika kifo baada ya kuanguka kutoka orofa ya 11 ya jengo moja mjini Minnesota Marekani. Vyombo vya habari katika jimbo hilo vimeripoti kuwa Musa Dayib, amevunjika mkono mara mbili na kwa sasa anapumua kwa usaidizi wa mashine japo madaktari wanamtarajia kuishi. Musa aliteleza katikati ya mianya inayozingira sebule yao katika orofa ya 11 ya mjengo huo wenye nyumba na makazi ya watu. Muuguzi mkuu katika zahanati aliyolazwa amesema kuwa Musa anatarajiwa kuishi baada ya kuanguka katika eneo lisilo kavu sana. Jamaa na marafiki wa familia hiyo ya kisomali wamepigwa na butwaa kutokana na tukio hilo. Tukio hilo lilizua mjadala kama ni muujiza au la kuwa amenusurika kifo lakini watafiti wameelezea kuwa mtoto ananafasi nzuri zaidi ya kuishi hata baada ya kuanguka ama kupatwa na janga lolote lile kwani mwili wao bado ni mwororo na mifupa ya mtoto huwa bado ni laini kinyume na mtu mzima ambaye tayari mifupa yake ni kavu n

ANGALIA PICHA ZA VURUGU ZILIZOTOKEA KWENYE MKUTANO WA UKAWA MOROGORO

Image
Kijana  mmoja amepigwakutoka kwa wafuasi wa Ukawa waliokuwa na mkutano mkoani Morogoro jioni hii baada ya kudaiwa kuwa miongoni mwa waliomteka Mbunge Rose Kamli wakati wa uchaguzi mdogo jimboni Kalenga, mkoani Iringa. Njemba huyo akipokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Ukawa mkoani Morogoro na baadaye kuokolewa na polisi. Mwenyekiti wa Bavicha, John Heche akithibitisha kumtambua kijana huyo anayedaiwa kushiriki kumteka mbunge wao kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Jimbo la Kalenga, lringa. Mmoja wa viongozi wa Chadema mkoa wa Morogoro, lnnocent Zawadi ambaye alikuwepo jimboni Kalenga naye akithibitihsa pia kumtambua kijana huyo. Njemba huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliangushiwa kipigo baada ya kuibuka na kuanza kumpiga picha Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John Heche. Baada ya kipigo cha nguvu, njemba huyo alinusuriwa na polisi waliomchukua kumtoa mikononi mwa wafuasi hao. Mwenyekiti huyo wa Bavicha akithibitisha kumtambua kijana huy

WASTARA AVISHWA PETE HUKO UK...!!! TAZAMA PICHA ZOTE HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI..!!!

Image
    Wastara akivishwa pete ya uchumba From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya. Star mwenzake pia Riyama Ally ambaye wapo wote huko London nae aliandika "Ama kweli Mungu akitaka kukupa haandiki barua......, kila la kheri mama huu mwanzo mzuri kwako". Baada ya kuona picha hizo haraka sana Swahiliworldplanet ilimuendea hewani Wastara akiwa huko huko London na kumuuliza kama ni movie au ni kweli, tofauti na siku zote ambapo kama ni movie Star huyo huweka kweupe lakini safari hii alionekana hana la kusema pengine kwa furaha na kuishia kujibu kwa ufupi kwa kusema "No comment" alipododoswa tena alijibu hivyo hivyo tena "No comment". Wastara Monalisa, Riyama Ally na Cloud ni takribani wiki tatu

ZIJUE DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOTAKA KUFIKA KILELENI

Image
Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha.   1 . Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ya k

AFYA: DALILI ZA KUSAMBAA KWA KANSA YA MATITI

Image
 leo tunaelezea dalili za kusambaa kwa saratani hii mwilini.Kitendo cha kansa kusambaa mwilini kupitia mkondo wa damu na limfu huitwa metastasis.   Kusambaa kwa saratani hadi kwenye viungo na tishu muhimu kama vile ubongo, ini, mifupa au mapafu  bado kunaufanya ugonjwa huo kuwa hatari. Dalili za saratani kusambaa mwilini ni maumivu ya mifupa, maumivu kwenye titi, vidonda kwenye ngozi, kuvimba mkono karibu na eneo la saratani na kupungua uzito. Pia mgonjwa huweza kuhisi dalili tofauti kwa kutegemea saratani ya matiti imesambaa kwenye kiungo gani mwilini. Kwa mfano saratani ya matiti iliyosambaa kwenye ini inaweza kusababisha mwili kuwa manjano, kuongezea kiwango cha enzymes katika ini, kukosa hamu ya kula, kichefuchefu na kutapika.  Takwimu zinaonyesha kuwa, asilimia 70 ya wagonjwa wenye kusumbuliwa na saratani ya matiti, hupatwa na saratani iliyosambaa kwenye mifupa. Hii ni katika hali ambayo asilimia 10 huweza kupata saratani ya matiti il

A young male lion caught in a snare which slowly tightened around his neck

Image
A young male lion caught in a snare which slowly tightened around his neck as he grew older survived for three years as the siblings in his pride kept him alive by bringing him back prey they had hunted. The lion was first spotted trapped in the snare in Mikumi National park in Tanzania back in 2009 but about seven attempts of vets to tranquilise and rescue him failed.   After three years, the cord had become so tightly wrapped around the lion's neck that he was left unable to hunt and his gaping wound attracted flies and infection. But, eventually the lion was found by park rangers in August and vets managed to sedate him and cut away the electrical wire snare. According to William Mwakilema, Chief Park Warden in Mikumi National Park, by the time he was found he was so weak he was unable to hunt. He said that it's unusual situation because it is natural for pride to kill weak male lions instead of keeping him alive by sharing the food.

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ALBINO AUAWA KINYAMA SIMIYU,AKATWA VIDOLE NA MGUU

Image
  MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu. Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana. Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.

DUNIA IMEKWISHA NJEMBA AFUMWA NA DENTI WA KIUME GESTI

Image
ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika nyumba ya kulala wageni (gesti) akiwa na dogo wa kiume aliyedaiwa kuwa ni denti wa sekondari. Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb akiwa amepigw pingu baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kiume gesti. Aibu hiyo ya karne ilijiri juzi Jumatatu kwenye gesti hiyo (jina linahifadhiwa) iliyopo maeneo ya Manzese, Dar ambapo jamaa huyo alikutwa chumbani na denti huyo aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 14. Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoitonya Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, njemba huyo amekuwa na ‘katabia kachafu kakuwafanyia usodoma’ watoto wa kiume.Habari hizo zilidai kuwa ishu hiyo iliwakera wakazi wa eneo hilo waliokuwa wakimfuatilia kwa muda mrefu ndipo wakaamua kumfungia kazi baada ya kudaiwa kuwa na mtoto huyo chumbani usiku kucha. Kwa mujibu wa meneja wa gesti hiyo (aligoma kuta jina) amba

ANGALIA PICHA ZA KICHANGA KILICHOTUPWA MTO MWANANYAMALA

Image
Wakazi wa Mwananyamala wakiwa eneo la mto Ng'ombe kushuhudia tukio hilo. MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na siku mbili umeokotwa ukiwa umetupwa eneo la mto Ng'ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini Dar.   Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kichanga hicho cha kiume kimekutwa eneo hilo leo asubuhi kikiwa kwenye mfuko wa Rambo.  Mtandao huu ulifanikiwa kuongea na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho, Bi. Husna aliyetoa rai kwa wananchi wa eneo lake kutojihusisha na vitendo viovu kama hiki, huku akiwasihi kutumia njia za uzazi wa mpango kujikinga na matatizo kama hayo.  "Nina masikitiko makubwa kwa kitendo hiki, ni bora kichanga hiki kingeletwa serikalini tukilee kuliko kutupwa eneo hili. Kama wananchi mkishindwa kuvumilia bora mtumie uzazi wa mpango," alisema Bi. Husna huku akiahidi kufanya uchunguzi wa kina kumtafuta muhusika! -GPL

MWANAMKE AUAWA KIKATILI KWA KUCHOMWA MOTO HADI AKAFA, NAOMBA RADHI KWA PICHA HII

Image
Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana.  Mwanamke huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alianza kupigwa na baadaye wananchi hao wakamuua kwa kumchoma moto.  Inadaiwa kuwa mwanamke huyu alikutwa na watoto wawili wa kike ambao ni wanafunzi, akiongozana nao na ndipo wananchi walipompiga  na hatimaye kumchoma moto hadi akaf a

TRAFIKI AFA GHAFLA AKIWA NDANI YA DALADALA ALILOLIKAMATA HUKO MOSHI

Image
Moshi. Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata. Hata hivyo, haikujulikana mara moja iwapo trafiki huyo alifariki dunia akiwa njiani kulipeleka gari hilo kituo cha polisi, alifariki muda mfupi baada ya kufika kituoni au wakati anapelekwa hospitali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema polisi huyo alikufa ghafla akiwa kazini lakini alikataa kuingia kwa undani wa tukio hilo lilitokea Ijumaa kati ya saa 5:00 asubuhi na saa 6:00 mchana, baada ya trafiki huyo kukamata daladala linalofanya kazi zake kati ya Kiborloni na katikati ya mji. Mmoja wa mashuhuda alisema “Baada ya kuikamata hiyo Hiace (Toyota) pale Kiborloni aliingia kwenye hiyo gari na kukaa kiti cha mbele pembeni ya dereva na kumwamuru kulipeleka kituoni. “Wakati wakiwa njiani kuelekea kituoni ghafla yule trafiki akawa haongei na akawa anamwege

KANISA KATOLIKI LAFUNGISHA NDOA YA AJABU,WAUMINI NAO WAJAA KANISANI BILA YA KUALIKWA!!!

Image
KANISA la Romani Katoliki Tanzania Jimbo Kuu la Morogoro, Jumamosi iliyopita lilifungisha ndoa iliyotafsiriwa na watu kuwa ni ya ajabu kufuatia bi harusi  kuwa na matatizo ya wazi ya akili, Bibi na bwana harusi wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa. Bi harusi huyo anaitwa Maria Omar (25) baada ya kubatizwa siku hiyohiyo ya ndoa. Awali aliitwa Jamini. Bwana harusi anaitwa Adrian Octavian (53). Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa lililopo kwenye  Kituo cha Kulea Wasiojiweza cha Amani kilichopo Chamwino, mjini hapa na mfungishaji alikuwa mtumishi wa Mungu, Padri Beatus Sewando. HISTORIA YA BI HARUSI Habari zilizowazi zinaonesha kuwa, bi harusi huyo amekulia katika kituo hicho ambacho hulea watu wenye matatizo mbalimbali, wakiwemo wenye mtindio wa ubongo kama alivyo bi harusi huyo. Alipelekwa kwenye kituo hicho akiwa na miaka sita baada ya wazazi wake kujiridhisha kwamba alikuwa mgonjwa wa akili. Maria Omar katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha. K