Posts
MWIGULU NCHEMBA ALIVYOITIKISA CHALINZE HII LEO,RIDHIWANI ASILIMIA 99 ATASHINDA UBUNGE
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu Katibu Mkuu CCM_Bara Mh:Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombe wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete hii leo wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Lala Salama Kata ya Pera.Uchaguzi Unategemewa Kufanyikwa Tar.06/04/2014 kumpata Mbunge wa Jimbo hilo,CUF na CHADEMA pia Wamesimamisha Wagombea kwenye Kinyang'anyiro hicho cha Ubunge. Ushindi ni Umoja,Mh:Mwigulu Nchemba ambaye amekuwa akiongoza Kampeni mbalimbali,Hapa akiwa na Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa na Mbunge Mtarajiwa wa Chalinze Ridhiwani Kikwete.Wameshikana Mikono kuamaanisha "UMOJA NI USHINDI" "Tumewamaliza"
PICHA ZA IRENE UWOYA AKIMPAPASA BABA HAJI NYETI ZAWA GUMZO .....
- Get link
- X
- Other Apps
HIZI NDIO SABABU ZA WANAUME WENGI KUKIMBIWA NA WANAWAKE?? FANYA NJIA HIZI SAHIHI ILI USIKIMBIWE TENA..
- Get link
- X
- Other Apps
WEWE MWANAUME UNAYESOMA HAPA, JIULIZE; HUWA UNADUMU NA MWENZI WAKO? UNAACHWA AU KUKIMBIWA BAADA YA MUDA MFUPI? KAMA JIBU NI NDIYO, HAPA UTAPATA TIBA. SIKIA NIKUAMBIE, WAPO WENGI AMBAO KILA WAKIANZISHA UHUSIANO, SIKU MBILI TATU, MWANAMKE ANAMKIMBIA. Anampenda sana, anamfanyia kila kitu ambacho yeye anaamini kinakidhi kwa mwanamke wake, lakini baada ya muda mfupi sana, anaachwa! Anabaki kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Rafiki yangu, lazima ujue kwamba pamoja na kuwa mapenzi hayana kanuni za moja kwa moja, zipo ndogo ndogo ambazo zikifuatwa, mateso kwako yatakuwa ni kitendawili. Huwezi kukimbiwa na wanawake bila sababu za msingi, lazima kuna kitu kinachosababisha uachwe. Hapo sasa hakuna sababu moja, wewe ukiachwa kwa sababu hii, mwingine atakimbiwa kwa sababu ile. Katika darasa hili, ukijifunza kwa umakini utaweza kujua kasoro yako ilipokuwa na kufanya mabadiliko ili ‘usiachike’ tena! Wanaume huwa wanawalaumu zaidi wanawake kutokana na sababu za hapa
KUEPUKA MAUMIVU HAYA NDIO MAENEO YAKUMSHIKA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA NDOA
- Get link
- X
- Other Apps
MDAU: Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye process za ndoa. Tatizo mimi ni mwembamba yeye ni mnene na mboo yake ni kubwa na ndefu akitaka kuanza kuniingilia kwa ajili ya kufanya mapenzi naumia mno anaishia kuingiza kichwa tu. Hebu nisaidie nifanyeje na nakaribia kuingia kwenye ndoa. Pili nataka kujua sehemu zipi nimshike ili apate raha. ****************************** Mwangaza: Kwanini unasema "tatizo nimepata mchumba"? Inamaana haukotayari kuolewa nae? Kwanini udhanie kuwa na mchumba ni tatizo? Wembamba wako hauna uhusiano wowote na unene wake kwenye suala la kufanya mapenzi. Kwa kawaida kuingiliwa kwa mara ya kwanza (tolewa Bikira) kunauma na sio wanawake wote wanaotolewa Bikira siku ya kwanza kwani hushindwa kuvumilia maumivu na hujawa na Uogoa hivyo misuli ya uke inashindwa kujiachia(relax). Ndio maana zamani wakati Mabinti wanaolewa na Bikira walikuwa wanakaa nda
ANGALIA NAFASI YA KAZI KUTOKA TIGO
- Get link
- X
- Other Apps
Head of Targeted Sales at Tigo Tanzania Role Purpose Responsible for the full operation of the Targeted Sales department, from the identification and testing of targeted offers to the scale up and execution of the campaigns across multiple channels. This includes managing a pipeline of offer ideas for testing, the set-up and execution of test offers, prioritization and execution of roll out offers and the evaluation of test and roll-out campaigns. It also includes building capabilities in terms of campaign management systems, their integrations with other mobile platforms to improve offer implementation and execution, and the analytics/targeting capabilities of the team. This role is also responsible for defining and managing the department’s financial objectives and budget, and for the training and personal development of the Targeted Sales team, including the Tele Marketing (call center) team. Key Responsibilities • Define, together with the Head of Commercial
PRESIDENT KIKWETE MEETS NETHERLANDS PRIME MINISTER IN BRUSSELS
- Get link
- X
- Other Apps
HOW ONE BOY LOST A LEG TO FIND HIS FEET
- Get link
- X
- Other Apps
Learning to walk: Hamisi and his prosthesis. What happens when a community pulls together to help one of their own? MOblog has followed the remarkable story of a young Tanzanian boy called Hamisi. Hamisi is a young Tanzanian boy who has suffered for a long time from Plexiform Neurofibromatosis, a disease which causes large and restricting tumors. Hamisi developed an enormous growth on his right leg which was incredibly heavy. Due to the weight he was unable to walk and had to crawl on all fours and drag his heavy leg behind him. His leg which grew to a monstrous size, weighed the young boy down, preventing him from playing and enjoying a normal childhood. Hamisi’s leg before the operation Hamisi grew up in Tanzania with his father. Despite the desire, his father was unable to afford the expensive healthcare to ease Hamisi’s suffering. But through the kindness of others the community rallied together and through their efforts they were able to raise enough money t
MEZA YA MAGAZETI YETU YA LEO IJUMAA TAREHE 04.04.2014
- Get link
- X
- Other Apps
KUSAIDIA JAMII KWAMPA CHETI CHA HESHIMA MAMA KIKWETE
- Get link
- X
- Other Apps
Na Anna Nkinda – Brussels, Ubelgiji Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amepewa cheti na Umoja wa wake wa Mabalozi wa Afrika waishio katika nchi za Jumuia ya Ulaya kwa kutambua na kuthamini mchango wake na kazi anazozifanya za kuwasaidia wanawake, wasichana na watoto wa Tanzania. Cheti hicho amekabidhiwa jana katika hafla fupi ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na wake hao wa mabalozi katika ukumbi wa mikutano uliopo Hoteli ya Sheraton mjini Brussels. Mama Kikwete ni mmoja kati ya wake wa Marais wa tano wa Afrika waliokabidhiwa vyeti hivyo vya heshima kutokana na kazi zao wanazozifanya za kuisaidia jamii na kuhakikisha kuwa inapata mahitaji ya muhimu kama huduma ya afya na elimu. Akiongea kabla ya kuwakabidhi wake hao wa marais vyeti hivyo Mke wa Balozi wa Equatorial Guinea ambaye pia ni rais wa umoja huo Mama Mangue de Nvono Nca alisema nia ya kuanzishwa kwa umoja wao ni kulitambulisha bara la Afrika ambalo linajulikana kuwa na changamoto za nja