KUEPUKA MAUMIVU HAYA NDIO MAENEO YAKUMSHIKA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA NDOA

MDAU:

Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye process za ndoa.



Tatizo mimi ni mwembamba yeye ni mnene na mboo yake ni kubwa na ndefu akitaka kuanza kuniingilia kwa ajili ya kufanya mapenzi naumia mno anaishia kuingiza kichwa tu.
Hebu nisaidie nifanyeje na nakaribia kuingia kwenye ndoa. Pili nataka kujua sehemu zipi nimshike ili apate raha.
******************************

Mwangaza:
Kwanini unasema "tatizo nimepata mchumba"? Inamaana haukotayari kuolewa nae? Kwanini udhanie kuwa na mchumba ni tatizo?
Wembamba wako hauna uhusiano wowote na unene wake kwenye suala la kufanya mapenzi.
Kwa kawaida kuingiliwa kwa mara ya kwanza (tolewa Bikira) kunauma na sio wanawake wote wanaotolewa Bikira siku ya kwanza kwani hushindwa kuvumilia maumivu na hujawa na Uogoa hivyo misuli ya uke inashindwa kujiachia(relax).
Ndio maana zamani wakati Mabinti wanaolewa na Bikira walikuwa wanakaa ndani siku Saba, Usiku wa ndoa Bikira inatolea na siku saba baada ya hapo mwanamke "anazoeleshwa" uume(kuingiliwa ukeni) na yeye kuonyesha mambo mengine ya kimapenzi aliyofundwa kwao.
Ikiwa Mchumba wako amefanikiwa kuingiza kichwa ni wazi kuwa wewe sio Bikira tena, isipokuwa Uke wako haujazoea kuingiliwa na kitu kinene na kigumu + hofu ya kuumia.
Vilevile kichwa cha uume huwa kikubwa kiasi kuliko sehemu ya nyuma ya Uume, ikiwa kichwa kinaingia ni vema kama utavumilia ili aendelee kuingia taratibu na kwa hatua, sio anaingia moja kwa moja na kwanguvu na shauku zake zote....utaumia na kumchukia!!
Weka uaminifu kwa Mchumba wako na muombe aingie taratibu-taratibu, usiwe na haraka ya kuzoea leo au kesho! Unaweza kusubiri mpaka mtakapofunga ndoa na kwenye Fungate ndio mkazoeshane.
Wanaume tunatofautiana hivyo siwezi kusema umshike wapi ili afurahie kwani mie simjui(sijawahi kuwa nae hehehehehe)....anyway! Kuna maeneo ambayo ni General na mengine jaribu kubahatisha au kutafuta jinsi mnavyozidi kuzoeana.
1--Kubusu shingo katika mtindo wa kuuma kwa mbaaali

2--Busu au papasa juu ya Kinena(sehemu inayoota mavuzi) au niseme kiunoni kwa mbele hivi kama unaelekea chini ila usifike kwenye uume.
3--Lamba katika mtindo wa kunyonya Chuchu, hakikisha unazinyonya kwa kupokezana, usibaki kwenye chuchu moja kwa muda mrefu kwani utampoteza "msisimko".
4--Masikio, unaweza kuwa ni sehemu ya chini, kwa nyuma au kwa ndani kama sio sikio lote. Tumia midomo yako kulamba, busu, hemea na nong'oneza maneno matamu kumfanya Mchumba wako asikie raha na kuelewa hisia zako kwake.
5--Busu katika mtindo wa kulamba sehemu ya ndani ya mapaja yake, pia busu sehemu ya nyuma ya kiuno(juu kidogo ya makalio yake).
6--Shika Kende zake na kuzichezea(taratibu usimuumize) na tumia midomo yako kutumbukiza pumbu na kuzitoa kama vile unapuliza ki-slow-mo.

Comments

Popular posts from this blog