Posts

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI

Image
1 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/G/09 01 Aprili, 2014 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8  ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo: MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE. i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania. ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa. iii. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingili

ANGALIA NAFASI MPYA YA KAZI KUTOKA CRDB

Image

YULE MTOTO SATRINE AONDOLEWA RISASI KICHWANI

Image
Kakake Satrine akimpakata Satrine hospitalini kabla ya kufanyiwa upasuaji Nairobi Madaktari katika hospitali kubwa zaidi ya umma nchini Kenya,Kenyatta, wamefanikiwa kuondoa risasi iliyokuwa imekwama katika ubongo wa mtoto Satrine Osinya mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu. Risasi hiyo iliyomuingia mtoto Satrine kichwani ndiyo iliyomuua mamake. Mamake Satrine alikuwa amempakata mtoto wake ili kumlinda kutokana na magaidi waliovamia kanisa walimokuwa wiki moja iliyopita katika mtaa wa Likoni mjini Mombasa. Lakini walimpiga risasi mama huyo na kumuua papo hapo huku risasi iliyomuua mama huyo ikiingia kichwani mwa Satrine na kukwama kwenye ubongo wake. Satrine alipelekwa Nairobi kwa matibabu maalum kutoka Mombasa kutokana na ukosefu wa wataalamu wa upasuaji wa ubongo mjini humo. Shughuli ya kuondoa risasi hiyo ilichukua saa tatu na ilifanywa na madaktari watatu wakiongozwa Daktari Mwangi Gichuru ambaye ni mkuu wa kitengo cha upasuaji wa n

APONDWA MAWE NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUKUTWA NA PIKIPIKI YA WIZI..

Image
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25-30 ameuawa kikatili kwa kupigwa mawe kisha kuchomwa moto na wananchi waliojichukulia sheria mkononi baada ya kukamatwa na pikipiki ya wizi Katika kijiji cha Kagongwa Wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Tukio hilo limetokea jana majira ya saa nane mchana mara baada ya marehemu kuiba Pikipiki hiyo yenye no T634 CNK Aina ya SanLG mali ya Patrick Seba mkazi wa Nyahanga Mjini Kahama ambayo imeibiwa jana asubuhi Maeneo ya shule ya Kahama Muslim ikiwa imeegeshwa na dereva wake aitwaye Shija Zacharia. Kwa mujibu wa Mmiliki wa pikipiki hiyo Bwana Seba Ameiambia redio Kahama fm Kuwa alipewa taarifa na dereva wake ambapo aliamua kutoa taarifa ya kupoteza pikipiki hiyo kwa waendesha bodaboda wa mjini Kahama na Kagongwa.Amesema wakati anatoka Kagongwa kutoa taarifa ndipo akakutana na vijana wawili ambao waliokuwa wanaiendesha pikipiki hiyo kuelekea Kagongwa ambapo aliamua kuwafuatilia na kwamba aliwapata katika

MWALIMU AMVUNJA MGUU MWANAFUNZI KISA MAPENZI

Image
Mwanafunzi wa Darasa la saba katika Shule ya Msingi Bangwe Kata ya Bangwe kwenye Manispaa ya kigoma Ujiji mkoani hapo amepigwa na mwalimu wake katika maeneo mbalimbali ya mwili wake na kumvunja mguu wa kulia baada ya kumkatalia kumpa penzi.Akizungumza na mwandishi wetu jana wodi namba 5 katika hospitali ya Rufaa ya Maweni mwanafunzi huyo aliyetambuliwa kwa jina la Zubeda Athuman (14) alisema chanzo cha mwalimu huyo kumchukia na hatimaye kufikia hatua ya kumpiga na kumvunja mguu ni wivu wa kukataliwa kupewa penzi ,hali iliyomfanya mwalimu huyo kumpa adhabu za hapa na pale kila aendapo shule.Hali hiyo ilimfanya mwanafunzi huyo kuwadokeza wazazi wake ambapo walimwambia avumilie,ndipo jumatano ya wiki hii mwalimu alimpa adhabu ya kuchimba shimo na alikataa kufanya hivyo baada ya kuona hana kosa la msingi la kumpa adhabu hiyo. Mwalimu huyo alifikia hatua ya kumfuata nyumbani kwao machi,22,2014 saa 12.30 jioni hali iliyowashtua wazazi na kumuhoji mtoto juu ya hilo ndipo

LIGI YA MABINGWA : MAN UTD WALAZIMISHWA SARE NA BAYERN MUNICH

Image
Manchester United will take a 1-1 draw to the Allianz Arena in the quarter-finals of the Champions League. On target: Bastian Schweinsteiger finishes a fine Bayern Munich move to score the equalising goal at Old Trafford Heavens above: David De Gea looks toward the skies after conceding in the second half Net gains: Nemanja Vidic angles his header towards the Bayern Munich goal and past Manuel Neuer Head of the pack: Vidic celebrates with Phil Jones after netting the first goal of the night at Old Trafford Time to celebrate: The Old Trafford crowd revel in Vidic's opening goal in their tie against Bayern Munich Moment of madness? Welbeck attempts to chip Manuel Neuer in the first half at Old Trafford Perfect moment: The England international tried a delicate chip against the Munich goalkeeper Disallowed: Danny Welbeck's strike was ruled out after the United forward committ