Posts

Rais Kikwete Alipowasili Viwanja vya Bunge Dodoma na kukagua Bwaride Maalum.

Image
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Samuel John Sita akibadilishana mawazo    na Makamu Mwenyekiti wake nje wa Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma kabla ya Kuanza kwa uzinduzi wa Bunge Maalum uliofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.kushoto Katibu wacBunge Maalum Yahya Hamad Khamis. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia ndani ya Viwanja vya Bunge kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma leo. Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi lililotayarishwa na Jeshi la Polisi kabla ya kuzindua Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.( Picha na Hassan Issa wa – OMPR ) Othman Khamis Ame Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibnar Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amesema    Umma wa Watanzania utajaa matumaini endapo jukumu walilopewa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba watalizingatia

ANGALIA PICHA MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA JIWE KICHWANI HUKO TABORA

Image
Hili ndilo jiwe alilopigwa nalo mfanyabiashara  wa vipuri vya pikipiki mjini Tabora marehemu Michael  Samson  na kupasua eneo kubwa la sehemu ya kichwa na kufariki papo hapo katika Bar ya Uhuru iliyopo mtaa wa Madrasat Kata ya Kanyenye manispaa ya Tabora.   Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP SUZAN  KAGANDA akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu mauaji ya mtu mmoja ambaye alikuwa ni mfanyabiashara  wa vipuri vya pikipiki mjini Tabora marehemu Michael  Samson ambaye aliuawa usiku baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana ambapo walimpiga kwa jiwe kichwani lililosababisha kifo chake papo hapo. Kwa mujibu wa mashuhuda mmoja kati ya wauaji mara baada ya kuwaamuru walale chini wateja watano waliokutwa kwenye Bar hiyo alichukua jiwe lililokuwa umbali wa hatua kumi na kuja kumpiga nalo mara mbili  kichwani  kwa nguvu marehemu Michael hali iliyosababisha kupasuka vibaya kichwa....Hata hivyo Polisi hadi sasa wanawashikilia watu wawili kuhusiana na tukio

WASTARA KUWA REFA KWENYE NGUMI KATI YA IRENE UWOYA NA AUNT EZEKIEL TAREHE 29 MWEZI HUU CCM KIRUMBA, MWANZA

Image
Mcheza filamu mwenye jina kubwa bongo Wastara Juma anatarajia kuwa refa kwenye pambano la ngumi kati ya Irene Uwoya na Aunt Ezekiel linalofanyika mwishoni mwa mwezi huu kwenye uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza

BREAKING NEWS:. AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

Image
Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

AJALI TENA MORO : TRAFIK AGONGWA NA GARI MOROGORO.

Image
Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu  kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa. Tukio hilo lilitokea jana wakati Askari Huyo alipokuwa Eneo la Kituo cha kushusha Abiria Kwenye Shule ya Msingi Ya Mtawala Mkoani hapa Kwa sasa Afande huyo ambaye hii ni mara ya pili kugongwa na gari akiwa kazi imelazwa wodi namba moja hospiatal ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro. Endelea Kuwa Nasi kwa Taarifa zaidi..

WEZI WAMFANYIA KITU MBAYA FLORA MVUNGI

Image
Mwanadada Florah Mvungi amekumbwa na dhahama ya aina yake baada ya wezi ambao hawajapatikana mpaka sasa kuvunja kioo cha gari yake na kumuibia laptop yake na flash yake iliyokuwa na wimbo mpya wa mumewe H-Baba na kisha kuamua kuuvujisha wimbo huo kama alivyoelezea mwanadada huyo akionesha picha ya gari yake hiyo ilivyunjwa kioo hapo juu. ‘’…My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyumbo zake yaani these thieves i hate youuuuuuuu..sasa mmeiba sawa haya na inakuwaje mvujishe wimbo wa hbaba?sasa mapigo mawili kutengeneza gari na wimbo mnavujisha TUBEBANE SONG haikuwa itoke sasa ndo nini?? Why kariakoooooo lumumba jamaniiiiii my new car..’’ Pole sana dada Florah - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/wezi-wamfanyia-kitu-mbaya-flora-mvungi.html#sthash.mvIkuYwv.dpuf

MWANAUME MTUMZIMA ALIPONASWA AKIVUNJA AMRI YA 6 YA MUNGU NA STUDENT MCHANA LIVE KWENYE GARI ONA AIBUUU HII YA MTUMZIMA LIVE!!

Image
Jamani haya Magari yetu yamegeuka kuwa Gesti House siku hizi, Maana haka kamchezo kameshamiri hapa jijini Dar ...Hiki ndicho kilichomkuta njemba huyu Baada ya kunaswa akila Uroda na mwanafunzi kwenye gari yake.

UNAAMBIWA HUYU NDIYE MWANADADA MWENYE HIPS ZA KUVUTIA, YANI NI SHIDAH KINOMA

Image
mmmmmh   mwanamke mwenye biggest hips..... Kenya nzima  Corazon mmmmmh  

Scholarships for Tanzanians to Study in Russia

Image
The Government of the Russian Federation has Granted to the United Republic of Tanzania 9 (Nine) State Scholarships for the 2014/2015 Academic year. Applications are invited from qualified Tanzanians, to apply for the 9 (Nine) state scholarships in the 2014/2015 academic year. These includes 8 scholarships for undergraduate (bachelor’s, Master’s and Specialist’s degree) and 1 for postgraduate (Internship, Clinical residency, PhD) courses QUALIFICATIONS Candidates applying for scholarships must:- have Advanced Secondary Education with either, passes of “A”,”B”,”C” grades; have completed Advanced Secondary School education within 3 years; have age not more than 25 years at the time of application and not more than 35 years for postgraduates; should have undergone a thorough medical examination including a HIV/AIDS test; submit the following documents written in Russian or English: - Candidate’s application form with photo attached (a sample en

MEZA YETU YA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 21.03.2014

Image
MATUKIO NA VIJANA MAGAZETI YA UDAKU LEO MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

ANGALIA PICHA MCHAWI ALIPONASWA KANISANI ARUSHA

Image
Shabani akiwa na vitenda kazi vyake akiwa eneo la kanisa . Angalia picha za mtu aliyejitambulisha kwa jina la Shabani Hamisi alikuwa akijihusisha na vitendo vya kishirikina, akiwa chini ya wanamaombi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Arusha mara baada ya mtu huyo kukamatwa usiku wa kuamkia leo wakati wa maombi kanisani hapo ambapo ametoa maelezo mbalimbali namna alivyokuwa akishiriki katika vitendo hivyo vya kishirikina. Akiwa amevua shati huku akiwa anaombewa. Vitenda kazi vyake vikiwa vimemwagwa chini. Kazi kwelikweli. Alikosea njia meeen, akakutana na  Yesu meen. Picha kwa hisani ya Ufufuo Crew. Katika hali isiyo ya kawaida mtu huyu ajulikanaye kwa jina la Shabani Hamis amenaswa akiwa anafanya uchawi katika kanisa la Ufufuo na Uzima Arusha. Matukio ya kunaswa wachawi yamekuwa mengi kanisani hapo kutokana na uweza wa Mungu unaojidhihirisha kupitia Mchungaji Kiongozi wa kanisa hilo, Frank Andrew. Pamoja, na kukutwa bila nguo mtu huyo

ATELLITE YA AUSTRALIA YANASA MABAKI YA NDEGE KWENYE INDIAN OCEAN.

Image
  Habari kutoka Aaustralia ni kwamba  Satellite ya nchi hiyo imeweza kubaini Kuna mabaki yanayonekana katika Bahari ya Indi yanayokisiwa kuwa ni Mabaki ya ndege na hasa hasa Ndege iliopotea ya Malaysia Airlines Flight 370   .............................. Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya satelite ya nchi hiyo imenasa picha za vitu vinavyoonekana kama vifusi ambavyo huenda ni vya ndege ya Malaysia iliyopotea siku 13 zilizopita. Waziri mkuu huyo, Tony Abbott, ameambia bunge mjini Canberra kwamba picha za Satelite zimeonyesha vitu viwili vinavyofanana na vifusi vya ndege hiyo. Taarifa hii imejitokeza karibu wiki mbili baada ya ndege hiyo kutoweka na abiria zaidi ya miambili kutoka mjini Kuala Lumpur Malaysia kuelekea Beijing. Msemaji wa halmashauri ya usalama wa safari za ndege, John Young, baadaye alisema kuwa vifaa hivyo ambavyo kimoja kina ukubwa wa mita 24, vimeonekana umbali wa kilomita 2500 kusini Magharibi mwa pwani ya Australia. Alionge

Mrembo Victoria Kimani Afunguka kuhusu sakata lake la Diamond na Wema

Image
  Mwimbaji wa Kenya Victoria Kimani ambaye amekuwa Tanzania kwa siku kadhaa sasa akiutangaza muziki wake pamoja na kufanya collabo na wasanii wa Bongo, amezungumza maneno ya kuondoa ukungu wowote uliokuwepo hasa kuhusu yeye na Diamond Platnumz. Mwezi uliopita aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye BBA, Huddah Monroe na Colonel Mustafa walitangaza uhusiano wao wa kimapenzi kwenye kipindi cha ‘Kiti Moto’cha KTN.Victoria amepost picha aliyopiga na mastaa wawili Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz iliyosindikizwa na ujumbe huu: “ Mafans wangu wote, nawapenda sana sana. Nafanya kazi ya muziki kwa bidii na kwa sababu yenu. Nimepiga picha na wanamuziki wengi na wakubwa sana kote duniani. Na hiyo HAIMAANISHI KUNA MAMBO MENGINE YANAENDELEA NJE ya KAZI YA MUZIKI. Kwa hayo machache, ninafuraha sana kufanya kazi na wanamuziki wakubwa zaidi wa Bongo @ommydimpoz na @diamondplatnumz kwenye single moja. Mimi ndiye msanii wa kwanza wakike kufanya single moja na hawa wawili. Tunafocu

HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIES MZURI ZAIDI KULIKO WOTE...!!

Image
NINI MAONI / MTAZAMO WAKO ?

DHARAU ZINGINE HUWA HAZINA FAIDA..ONA HUYU DADA ALIVYOADHIRIKA

Image
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga. Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima. Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji. Mimi; Hallo habari yako Yeye; Nzuri Mimi; nani wewe Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu .... Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima) Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake? NIPE MAONI NDUGU MDAU WANGU  

BAADA YA SNURA KUNASWA KWA MGANGA NA JOGOO JEKUNDU, LEO AONEKANA TENA BAHARINI AKITUPA KITU

Image
Leo asubuhi tulikutana na kioja kingine ambacho kilinishangaza zaidi, Ilikuwa Majira ya mbili asubuhi, Paparazi wetu alikuwa anamwibukia nyumbani kwake ili aweze kufanya nae mahojiano kuhusiana na kile kitendo cha kuonekana kwa sangoma na kutaka kujua alikuwa anafanya pale na kwa ajili gani, Ila kabla majibu ya maswali hayo yakiwa bado hayajapatikana,Paparazi wetu kabla ya kufika nyumbani kwake alikutana na msanii huyo akiwa ndani ya Gari ya kukodi Namba za Usajili ...............: Masanii wa kizazi kipya snura wa majanga Ikiwa imepita siku moja tu baada ya kunaswa kwa sangoma akiwa amebeba kuku mwekundu huku akiwa ameshikilia tunguli akifanyiwa manuva,  Leo asubuhi tulikutana na kioja kingine ambacho kilinishangaza zaidi, Ilikuwa Majira ya mbili asubuhi, Paparazi wetu alikuwa anamwibukia nyumbani kwake ili aweze kufanya nae mahojiano kuhusiana na kile kitendo cha kuonekana kwa sangoma na kutaka kujua alikuwa anafanya pale na  kwa ajili