WEZI WAMFANYIA KITU MBAYA FLORA MVUNGI

INASIKITISHA...!!! Wezi wamliza florah mvungi. Hichi ndicho walichomfanyia. tazama hapa
Mwanadada Florah Mvungi amekumbwa na dhahama ya aina yake baada ya wezi ambao hawajapatikana mpaka sasa kuvunja kioo cha gari yake na kumuibia laptop yake na flash yake iliyokuwa na wimbo mpya wa mumewe H-Baba na kisha kuamua kuuvujisha wimbo huo kama alivyoelezea mwanadada huyo akionesha picha ya gari yake hiyo ilivyunjwa kioo hapo juu.





‘’…My car jamani ndo kwanza ina about a month since iingie mume wangu katoka nayo wamevunja wameiba laptop yake.flash yenye nyumbo zake yaani these thieves i hate youuuuuuuu..sasa mmeiba sawa haya na inakuwaje mvujishe wimbo wa hbaba?sasa mapigo mawili kutengeneza gari na wimbo mnavujisha TUBEBANE SONG haikuwa itoke sasa ndo nini?? Why kariakoooooo lumumba jamaniiiiii my new car..’’


Pole sana dada Florah
- See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/03/wezi-wamfanyia-kitu-mbaya-flora-mvungi.html#sthash.mvIkuYwv.dpuf

Comments

Popular posts from this blog