AKAMATWA NA MENO YA TEMBO 2 YENYE UZITO WA KILO 15 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 22
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kata vi, Dhahiri Kidavashari akionenyesha mbele ya waandishi wa habari Ofisi kwake meno ya tembo vipande 2 yenye thamani ya shilingi 22 hapo jana aliyokamatwa nayo mtuhumiwa Batromeo Mtongwa hapo machi 8 katika kijiji cha kilida katika tarafa ya mamba wilaya ya Mlele ambapo pia mtuhumiwa huyo alikamatwa na gobole 1 na risasi 14 . Mkazi wa kijiji cha mirumba kata ya kibaoni wilaya ya Mlele SAI LUPONJE (63) akiwa katika kituo cha Polisi mkoa wa katavi akielezea jinsi watoto wake wawili walivyomuua kitungulu Luhende (65) na kwisha kumtupa porini baada ya watoto wake wawili kukasirishwa na kitendo cha mama yao huyo kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kitungulu Luhende ambae alikua ni hawara yake wa muda mrefu mauaji hayo yalitokea wiki iliyopita katika kijiji cha Milumba. mkazi wa kijiji cha kilida tarafa ya mamba wilaya ya mlele Patromeo Mtongwa (58) akiwa katika kituo cha polisi cha mkoa wa Katavi baada ya kukamatwa na meno