LIGI YA MABINGWA ULAYA : ARSENAL WAAGA, WATOKA SARE NA BAYERN MUNICH
Wachezaji wa Bayern wakishangilia Mara Baada ya Kusonga hatua ya robi fainali jana usiku
Lukas Podolski akipongezwa na Alex Oxlade-Chamberlain baada ya kuisawazishia Asernal
Bastian Schweinsteiger akishangilia baada ya kuifungia Bayern bao la kuongoza
Schweinsteiger akifunga bao lake
Lukas Fabianski akiokoa penati ya Thomas Muller dakika za lala salama
Comments
Post a Comment