Posts

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA ZANTEL

Image
POSITION FUNCTION: Call Centre Manager is responsible for ensuring smooth running and delivering of professional customer care at the centre and managing the supervisors teams. PRIMARY RESPONSIBILITIES • Creating positive working environment to enable agents to meet their targets and SLAs with other departments. • Managing staff to ensure that performance requirements are met. • Ensuring that all administrative procedures are correct. • Assisting/supporting staff to deliver world class customer care/total one-stop solution to customers (that is, Products & Services Knowledge, Packages, Roaming Services, Technical Solution, etc). • Supporting team in coordinating customer’s affairs with other departments (that is, Data Centre, Sales, & Post Paid etc). • Assisting agents to provide excellent customer service through prompt response and timely complaint resolution. • Predicting and scheduling staff according to operational needs. • Suggest

KWELI KUIGIZA HOLYWOOD HAKUNA MASIHARA!! MDADA LUPITA NYONG'O AKIWA MATITI WAZI KATIKA SCENE YA MOVIE ILIYOMPA TUZO YA OSCAR...!

Image
Uigizaji kaazi kweli kweli...Unaambiwa ukienda kuigiza movie Hollywood hakuna mas i khara hata kidogo, unapoambiwa huu ni muda wa scene ya mapenzi na lazima uwe mtupu ni lazima ufanye hivyo no way out...Hivyo ndivyo ilivyomkuta star wa dunia anayetoka hapa East Africa kat i ka nchi ya Kenya mdada Lupita Nyong'o ambaye ni mshindi wa tuzo ya Oscar ambazo ndio kubwa zaidi ulimwenguni... Lupita katika scene mojawapo ndani ya mov i e iliyompa tuzo hiyo iitwayo  12 years a slave  ilimpasa acheze akiwa hajavaa kitu juu (matiti wazi) kma inavyoonekana p i chani chini...Kwa waliongalia movie hiyo watakuwa wameliona hili...   Na wewe ambaye hujaangalia bado tafadhali kuwa makini kama waangalia na watoto wadogo.... PICHA HIYO HAPA CHINI..    

KUTANA NA MTOTO WA KWANZA KUZALIWA KWA NJIA YA UPANDIKIZAJI NCHINI

Image
 Unapoingia katika nyumba ya familia ya Salehe Saidi, macho  na masikio yako hayawezi kukwepa  ucheshi wa kijana wa miaka 13, Jumbe Salehe. Ni kijana anayeipa tabasamu familia hiyo. Jumbe ni mwenye nguvu, afya, akili darasani na uchangamfu ambao kila mzazi angependa kuuona kwa kijana wake. Lakini Jumbe Salehe, hakuzaliwa kama watoto wengine. Alipatikanaji katika mchakato mrefu, uliohusisha teknolojia ya hali ya juu  na majaribio yaliyohitaji werevu. Jumbe alizaliwa kwa njia ya upandikizaji wa mbegu ambao kwa jina la kitaalamu unajulikana kama In-Vitro Fertilization (IVF). Mchakato huo ulisimamiwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake, Profesa Malise Kaisi. Kwa nini Jumbe alizaliwa kwa njia ya IVF? Mwanaidi Kombo, mama mzazi wa Jumbe, hakuwa na tatizo la uzazi hapo awali. Alifanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza mwaka 1986. Mwaka 1988 alipata ujauzito mwingine lakini kwa bahati mbaya, uliharibika na kuanzia hapo ikawa ni vigumu kwake kushika mimba nyi

Tafadhali Soma Majina 15 ya Makahaba Wanaoongoza Kujiuza Dodoma Kipindi hiki Cha Bunge la Katiba

Image
Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port . Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni: 1.    VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya. 2.    ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma. 3.    MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya. 4.    REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro. 5.    JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma. 6.   

ANGALIA PICHA ZA NDEGE MPYA YA AIR TANZANIA ILIYOFIKA JANA

Image
   Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili usiku wa jana    Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 Baada ya Kutua Jana usiku   Shangwe kutoka kwa wadau mbalimbali mara baada ya ndege kutua  Muonekano wa ndege  hiyo kwa ndani.   Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akisalimia wana-Air Tanzania waliofika kuulaki ujio huo   Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro Akishuka ndani ya ndege Hiyo   Wanafunzi wa mafunzo ya cabin crew katika chuo cha Air Tanzania nao walikuwepo uwanjani kupokea ndege hiyo Air Tanzania jana usiku wameleta ndege nyingine   5Y-WWA aina ya CRJ200 ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zao za anga nchini Tanzania

CHADEMA KUANZA KAMPENI YA CHOPA LEO KATIKA JIMBO LA KALENGA

Image
Leo ndani ya KALENGA tunaanza kampeni ya chopa, pamoja na kamanda Lema. Mpaka kieleweke. Na Peter Msigwa

SEMINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM IMEAHIRISHWA MPAKA SAA TISA MCHANA LEO

Image
Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nne  asubuhi. Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

ANGALIA PICHA ZA NESI FEKI AKAMATWA

Image
Hatari sana! Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas, mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 45 na 50, mkazi wa Tabata, Dar, ametiwa mbaroni kwa  madai ya kughushi vyeti vya unesi kisha kufanya kazi ya uuguzi katika hospitali mbalimbali, akijishughulisha na upasuaji bila kuwa na utaalamu wa taaluma hiyo. Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas ametiwa mbaroni kwa madai ya kughushi vyeti vya unesi.   Tukio hilo lililovuta hisia za wengi, lilijiri hivi karibuni maeneo ya Mwenge, Dar ambapo mtuhumiwa huyo alidakwa katika moja ya hospitali (jina tunalo) na mwenye vyeti ambaye kitaaluma ni nesi kisha kufikishwa kituo kidogo cha Polisi cha Mwenge, Dar.   ILIKUWAJE? Habari zilidai kuwa Joyce ni binamu wa mmiliki halali wa vyeti vya unesi aliyetajwa kwa jina la Mary Bora. Ilisemekana kwamba miezi kadhaa iliyopita, Joyce alifika nyumbani kwa nesi huyo na kufanikiwa kuiba vyeti hivyo. Kitambulisho feki chanye jina la Mary Peter Bura.  Habari zinadai kwamb

BREAKING NEWS: MAMA MKUBWA WA MTOTO ADOLOTEA NYAVIKE , SALOME KIEGU (35) MTOTO ALIYE UNGUA NA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.

Image
Huyu ndiye Mama Mkubwa wa Mtoto Adolotea Nyavike bi.  Salome Kiegu(35)  ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana huku wasamalia wema wakitaka kutoa misaada. MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. Katika hali ya Kutatanisha na kushangaza mama mkubwa wa Mtoto aliye ungua kwa Moto na kusababisha Shingo yake kuungana na mwili ametoweka na mtoto huyo huku wasamalia wema waliokuwa wakiendelea kutoa michango yao kwa ajili ya kumsaidia akatibiwe wanaendelea kufanya hivyo. Mama huyo alitoweka mapema alfajili jana huku asiseme ni sehemu gani alikuwa amekwenda bila hata kuaga kwa mtu yeyote yule, Kutokana na swala hili Tulikuwa tunaomba wale watu wote wanao endelea kumchangia mtoto huyo na wanaopanga kumchangia kupitia namba hii ya mama huyo   0752 986879wasitishe kufanya hivyo, na mpaka sasa namba yake haipatikani na taratibu za kumsaka zinaendelea. Tutaendelea kuwafahamisha.. Na

KAHABA ANASWA AKIJIUZA NDANI YA GESTI HUKO SINZA..ADAIWA KUPANGA CHUMBA MAALUM KWAAJIILI YA BIASHARA HIYO…!!

Image
Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi. KABANG!  Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua Maovu (OFM) ya GPL wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani. Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono. AFM Watonywa. Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake. Chanzo: Jamani OFM mpo ka- zini? …akijifunika uso kwa aibu. OFM: Tumejaa tele leta maneno. Chanzo: Mimi naitwa (anataja jina) lakini

BREAKING NEWS Ridhiwani ashinda Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

Image
Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura  , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga.Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,Ilikuwa hivi:_1.Ridhiwani Kikwete kura 758 2. Shaban Iman Madega  kura 335 3. Athuman Ramadhan Maneno  kura 206 4. Changwa Mohamed mkwazu  kura 12Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316 Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:- 1.Ndg.Ridhiwani Kikwete, 2.Shaban Iman Madega, 3.Athuman Ramadhan Maneno 4.Changwa Mohamed mkwazu Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU  Tarehe  11/3 /2014  KURUDISHA  Tarehe  15/3 /2014 UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CC M