BREAKING NEWS Ridhiwani ashinda Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze
Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga.Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,Ilikuwa hivi:_1.Ridhiwani Kikwete kura 758 2.Shaban Iman Madega kura 335 3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206 4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-1.Ndg.Ridhiwani Kikwete, 2.Shaban Iman Madega, 3.Athuman Ramadhan Maneno 4.Changwa Mohamed mkwazu

Comments
Post a Comment