Posts

KATIBU MTENDAJI WA BODI YA FILAMU NCHINI AKUTANA NA WADAU WA TASNIA YA FILAMU

Image
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo akizungumza na wadau wa Filamu Tanzania waliofika ofisini kwake kuzungumza masuala yanayohusiana na Maendeleo ya Filamu Nchini.Kualia ni Evance Stephen Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Production Ltd na Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Gideon Sangana. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo akizungumza na wadau wa Filamu Tanzania waliofika ofisini kwake kuzungumza masuala yanayohusiana na tasnia ya Filamu Nchini. Meneja Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Gideon Sangana akimueleza jambo Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo, wakati walipotembelea ofisi za bodi hiyo kuzungumza juu ya mambo yanayohusiana na Maendeleo ya Filamu. Afisa Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Moses Lupindo akiwasilisha hoja zake kwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo, wakati walipotembelea ofisi za bodi hiyo.Kushoto ni E

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI BANDARINI(TPA)-TANGA

Image
TANZANIA PORTS AUTHORITY Office of the port master Telephone: +255-27-26-43078 Fax: +255-27-264236 E-mail  pmtanga@tanzaniaports.com Bandari house, P.O.BOX443,TANGA KUMBUKUMBU: NA.TPE/2/2/05   TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zilizo tajwa hapa chini katika ajira ya mkataba usio kuwa na muda maalumu katika Bandari ya tanga. Nafasi hizo ni zifuatazo hapa chini:- 1.NAFASI:MECHANICAL EQUIPMENT OPERATOR IDADI YA NAFASI: 7 NGAZI YA MSHAHARA: TPOS 4 IDARA:UTEKELEZAJI SIFA ZINAZOHITAJIKA  i.Elimu /utaalamu ii.Cheti cha kufuzu kidato cha nne na sita iii.Cheti cha M.E. operator course (winch/crane/tractor forklift) iv.Awe na  leseni ya udereva daraja “D” v.Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka (3) vi.Aweze kutumia kompyuta MUHTASARI  WA KAZI -Ataendesha forklift na vyombo vingine vya kunyanyulia mizigo vinavyolingana navyo(light equipment) -Atapanga, kusogeza, kupakianak

NAFASI MPYA YA KAZI TANZANIA WAREHOUSE LICENSING BOARD

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF INDUSTRY AND TRADE TANZANIA WAREHOUSE LICENSING BOARD www.wrs.go.tz EMPLOYMENT OPPORTUNITY The Tanzania Warehouse Licensing Board was established following the enactment of Warehouse Receipt Act. No.10 of 2005, by the Parliament of the United Republic of Tanzania. Objectives of the Board is to lead organization of commodity procedures to formal credit and commodity marketing through the Warehouse Receipt System, to attract more smallholders producer to join the system and thereby link to buyers of commodity and to link commodity procedures to formal credit and commodity marketing using an efficient Warehouse Receipt System.  The Board Chairman invites applications from qualified Tanzanian citizens to fill the vacant post in the Tanzania Warehouse Licensing Board as follows: JOB TITLE: MANAGING DIRECTOR REPORTING TO: He/ She will be reporting to thePermanent Secretary, Ministry of Industry and Trade. QUALIF

MSANII WA BONGO MOVIE ANASWA AKIJIUZA LIVE BILA CHENGA USIKU WA MANANE

Image
Stori: Mwandishi Wetu SIKU chache baada ya msanii anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ kuingia kwenye kumi na nane za mtego wa kujiuza wa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, ameibuka na kusema, anajuta, amekoma na hatarudia tena. Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ akiwa katika ofisi za GPL akiongea na OFM. Habari ya Vai kunaswa katika mtego wa kujiuza iliripotiwa na gazeti damu moja na hili, Ijumaa toleo la wiki iliyopita, ambapo msanii huyo aliingia mkenge baada ya kukubali kukutana na ‘pedeshee’ mmoja kutoka mkoani kwa lengo la kumpa uroda kwa malipo ya shilingi 500,000. Vai alivyonaswa akiwa mawindoni. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko juzi, Jumatatu jijini Dar es Salaam, Vai alisema: “Kiukweli lile tukio lilinichanganya sana lakini pia limenipa fundisho kubwa. Nawaomba ndugu zangu na mashabiki wangu wote wanisamehe kwa dhati kabisa. Vai akificha sura yake baada ya kunaswa na OFM. “Naahidi sitar

ANGALIA PICHA ZA MADIWANI WALIONG'ATUKA CHADEMA MJINI SHINYANGA

Image
Kushoto ni aliyekuwa diwani wa kata ya Masekelo bwana Zacharia Mfuko na kulia ni bwana Sebastian Peter Mzuka aliyekuwa diwani wa kata ya Ngokolo katika manispaa ya Shinyanga ambao leo wamefanya maamuzi magumu kuachia ngazi na kubaki wanachama wa kawaida wa CHADEMA kwa kile walichodai kuchoshwa na siasa za chadema zilizojaa majungu na migogoro

HABARI KAMILI KUHUSU ISHU YA DK CHENI KUA MWANACHAMA WA FREEMASON HIZI HAPA.

Image
MINONG’ ONO na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi huru (Freemasons ), unazidi kumtesa msanii wa filamu za Kibongo , Mahsein Awadhi Said ‘Dk . Cheni ’ kwa madai ya kwamba anajisikia vibaya anaponyoshewa vidole na baadhi ya wadau wa tasnia hiyo . Dk . Cheni . Mwishoni mwa wiki iliyopita , mwandishi wetu alisikia fununu kutoka kwa wadau wengi wa filamu wakiwemo wasanii wenzake wakidai kuwa Dk . Cheni ni mwanachama halali wa taasisi hiyo ndiyo maana mambo yake ni mazuri kifedha ukilinganisha na wasanii wengine wanaoaminika kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza kuliko yeye . “ Kila dalili inaonesha kabisa Dk . Cheni ni Freemason , angalia mavazi yake mengi ni meusi , machata na alama kibao zinazohusishwa na taasisi hiyo, angali fedha aliyonayo, angalia hata gari lake lilivyojaa alama za ajabu ajabu, huyu jamaa ni Freemason kabisa , ” alisema mdau mmoja wa filamu ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini alipozungumza na mwandishi wetu .  Kau

INSTAGRAM LEO KIMENUKA BIFU ZITO KATI YA SUPER STAR WOLPER NA AGNESS MASONGANGE TIZAMA WALICHOANDIKIANA LEO LIVE!!

Image

MSANII WA MOVIE ACHARANGWA MAPANGA AKIWA LOCATION AKISHOOT FILAMU..!! TAZAMA PICHA HAPA

Image
HUYU NI MSANII KUTOKA NIGERIA ALIPOKUWA KWENYE MOJA YAUTENGENEZAJI WA MUVI YAKE ITAKAY OTOKA  HIVI KARIBUNII..

ANGALIA PICHA KIJANA AKAMATWA IKIIBA KANISANI

Image
Emmanuel baada ya kupokea kichapo cha nguvu kutoka kwa wanachuo. Kijana anayejulikana kwa jina moja la Emmanuel (30), amejikuta akipokea kipigo ‘hevi’ baada ya kukamatwa akiiba katika Chuo cha Theofilo Kisanji ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dar.   Tukio hilo lilitokea hivi karibuni kanisani hapo, mchana kweupe ambapo jamaa huyo ambaye amekuwa akifika mahali hapo mara kwa mara, alijikuta arobaini yake ikitimia na hivyo kutiwa mikononi mwa wanachuo ambao kabla ya kuhoji zaidi, walimshushia kipigo cha mbwa mwizi. Wanachuo wakikagua baadhi ya vitu alivyokutwa navyo Emmanuel.   “Huyu ndiye huwa anatuibia humu chuoni na kanisani, kila siku watu wanalalamika kuibiwa vitu vyao. Juzi tu, kuna watu waliibiwa simu, wengine fedha lakini hatukujua ni nani aliyekuwa akitufanyia hivyo, sasa huyu tutamkomesha,” alisema dada mmoja huku akiwa na furaha ya kukamatwa kwa jamaa huyo. ANGALIA PICHA ZAIDI

ANGALIA PICHA DAKTARI FEKI AKAMATWA MUHIMBILI

Image
Hospitali ya taifa ya Muhimbili imemkamata mtu mmoja anae sadikiwa kuwa daktari feki ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akitapeli wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali hiyo ya taifa kwa namna  mbalimbali  Daktari huyo aliyejulikana kwa jina la Kitano Mustafa Kitani mwenye umri miaka 51 anadaiwa kuwa alikuwa ana jitambulisha kama daktari upande wa akina mama katika hospitali ya Muhimbili. Hospitali ya taifa ya Muhimbili mbali na utaratibu wa kutumia vitambulisho kwa wafanyakazi ili kuondoa tatizo kama hili, bado tatizo hili limeendelea kujitokeza Hospitali ya Muhimbili inawataka wafanyakazi wake wanaoshirikiana na madaktari vishoka kuacha tabia hiyo yenye athari kwa wagonjwa na taifa. Chama cha Madaktari nchini kimewataka wananchi kuwa  macho na madaktari wanaojitokeza kutaka kusaidia wagonjwa. Wakati daktari huyo akidai yeye ni daktari kitaaluma, Afisa Usalama hakubaliani nae kutokana na taarifa za kiuchunguzi kuthibitisha kuwa ni feki. Hili ni

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI UDSM

Image
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following vacant posts: 1. (a) Job Title: Planning Officer I (1 post) (b) Qualifications and Experience Applicants should possess the following academic and professional qualifications. · Holder of the University Degree in any of the following:- Economics, Educational Planning, Management, Engineering Management, Statistics, Architecture, Human Resource Management, Public Administration, Systems Analysis and any other relevant field. · At least four (4) years relevant working experience serving in a similar position. (c) Main Duties: · Develops methodologies for data collection on various aspects of University operational programmes. · Designs and reviews data collection instruments. · Analyses and evaluates information gathered. · Analyses programme lo