ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI BANDARINI(TPA)-TANGA
TANZANIA PORTS AUTHORITY
Office of the port master
Telephone: +255-27-26-43078
Fax: +255-27-264236
E-mail pmtanga@tanzaniaports.com
Bandari house, P.O.BOX443,TANGA
KUMBUKUMBU: NA.TPE/2/2/05
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zilizo tajwa hapa chini katika ajira ya mkataba usio kuwa na muda maalumu katika Bandari ya tanga.
Nafasi hizo ni zifuatazo hapa chini:-
1.NAFASI:MECHANICAL EQUIPMENT OPERATOR
IDADI YA NAFASI: 7
NGAZI YA MSHAHARA: TPOS 4
IDARA:UTEKELEZAJI
SIFA ZINAZOHITAJIKA
i.Elimu /utaalamu
ii.Cheti cha kufuzu kidato cha nne na sita
iii.Cheti cha M.E. operator course (winch/crane/tractor forklift)
iv.Awe na leseni ya udereva daraja “D”
v.Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka (3)
vi.Aweze kutumia kompyuta
MUHTASARI WA KAZI
-Ataendesha forklift na vyombo vingine vya kunyanyulia mizigo vinavyolingana navyo(light equipment)
-Atapanga, kusogeza, kupakianakupakuamizigo
-Atahakikishausalamawamashinenamalianayoshughulikiaawapokazini.
-------------------------------
2.NAFASI:COXSWAIN (BOAT)
IDADI YA NAFASI:3
NGAZI YA MSHARA:TPOS 4
IDARA:UTEKELEZAJI
SIFA ZINAZO HITAJIKA: ELIMU NA UTALAAMU
-Cheti cha kufuzu kidato cha nne au cha sita
-Awe na class 3 certificate of competence/small craft navigation certificate.
-Awe na uzoefu wa kazi za kuendesha boat/vyombo vya moto vya baharini usiopungua mwaka mmoja.
-Aweze kutumia kompyuta.
MUHTASARI WA KAZI
-Kukagua usalama wa chombo kabla hujaanza safari
-Kuelekeza baharia kazi za kufanya kama kufunga kamba
-Kuongoza chombo
-------------------------------
3.NAFASI:TUG MASTER
IDADI YA NAFASI: 1
IDARA: UTEKELEAZJI
NGAZI YA MSHARA: TPOS 4
SIFA ZINAZO HITAJIKA:ELIMU NA UTALAAM
-Cheti cha kufunzu kidato cha nne au cha sita
-Awe na class iii certificate of competence, efficient deckhands and safet mandatory certificate
-Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka nne(4) katika kusimamia na kuendesha Tug(tugmate)
MUHTASARI WA KAZI
i.Kukagua Tug kuhusu usalama kabla ya kuanza kazi
ii.Kufundisha Tug Mate jinsi ya kuendesha Tug
iii.Kusimamia na kuendesha Tug katika Bandari
iv.Kusaidia kuelekeza meli baharini kwa kusukuma, kusogeza na kuelekeza meli wakati wa kuingia na kutoka bandarini kadiri atakayoelekezwa na Habour, Pilot,harbour Master kwa madhumu ni ya kutoza ushuru kwa huduma zilizotolewa kwenye meli
---------------------------------------------------
4.NAFASI:ARTIZAN 1 (WELDING) CIVIL
IDADI YA NAFASI:1
NGAZI YA MSHARA: TPOS 4
IDARA: UHANDISI
SIFA ZINAZO HITAJIKA: ELIMU NA UTALAAM
-Cheti cha kufunzu kidato cha nne au cha sita
-Awe na trade test 1 (welding ) au Full Technician Certificate
-Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
-Aweze kutumia kompyuta.
MUHTASARI WA KAZI
-kufanya matengenezo na vifaa vya kazi
-kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.
---------------------------------
5.NAFASI:HIGHER CLERICAL OFFICER
IDADI YA NAFASI:1
NGAZI YA MSHARA:TPOS 3
IDARA:TIBA
SIFA ZINAZO HITAJIKA : ELIMU NA UTALAAM
-Cheti cha kufunzukidato cha nne au cha sitA
-Awe na “Diploma in Record Management” au sifa zinazolingana nazo kutoka chuo kinachotambulika.
-Awe na uzoefu wa kazi usiopungua mwaka mmoja(1)
-Aweze kutumia kompyuta
MHITASARI WA KAZI
i.Atatunza kumbukumbu za kitabibu kulingana na taratibu zilizopo
ii.Ataandaa majarada ya wagonjwa
iii.Kupanga majarada ya wagonjwa kulingana na taratibu zilizopo
iv.Kutoa majarada ya wagonjwa pale yanapohitajika
v.Kuhakikisha taratibu za kitabibu zinahifadhiwa katika hali ya usalama na usiri
vi.Kufanya kazi zingine kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wakazi
------------------------------------------------
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Maombi yatumwe na kuambatanishwa nakala za vyeti na maelekezo binafsi (CVs) na namba ya simu kwa:
Mkuu wa Bandari
Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania
S.L.P 443,
TANGA
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10 march 2014 Tafadhari zingatia kuwa watakaoitwa kwenye usaili ni wale tu watakaotimiza vigezo.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
(F.J.LIUNDI)
KAIMU MKUU WA BANDARI
Comments
Post a Comment