MSANII WA BONGO MOVIE ANASWA AKIJIUZA LIVE BILA CHENGA USIKU WA MANANE
SIKU chache baada ya msanii anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ kuingia kwenye kumi na nane za mtego wa kujiuza wa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’, ameibuka na kusema, anajuta, amekoma na hatarudia tena.
GPL
Comments
Post a Comment