Posts

''USILIE KWA SABABU NITAKUFA, LIA KWA SABABU MWANAUME MWENZAKO AMENITENDA,

Image
Nilipoingia katika mahusiano naye nilimuamini, nikampa kila kitu nilichoweza. Nakumbuka enzi zile nyumbani tulikuwa tuna ng’ombe, niliiba maziwa kila siku na kumpelekea kwao. Akanenepa!! Penzi letu likawa huru alipoanza maisha yake mwenyewe. Sikuwa najua lolote kuhusu mapenzi. Alinifundisha. Nikaegemeza maisha yangu yote kwake.Akanifany a nikawa mtumwa wa ngono kila nikienda chumbani kwake. Kama haikutosha sasa akaanza kunifundisha kunywa pombe. Niliamini kuwa ndiye mume wangu mtarajiwa, kwa nini nikatae? Nilimkubalia kila kitu. Alinilazimisha ngono hata nilipokuwa katika siku zangu. Kweli nilikuwa msomi na niliyajua madhara ya kufanya hivyo lakini sikutaka kumuudhi huyo niliyeamini kuwa ni mume wangu. Nilipenda tututmie kinga lakini aliipinga sana. Nikapata mimba ya kwanza!! Hakuwa na pesa lakini alinilazimisha niitoe. Nikaiba pesa nyumbani nikafanyaalivyo taka. Kwa mara ya kwanza nika toa mimba. Haikuniuma sana!! Niliamini kuwa ni yeye atakuja kunioa na

HII NDO DAWA INAYO RUDISHA BIKRA KWA WANAWAKE

Image
KWA USHAURI ZAIDI TUMA MAONI USAIDIWE

ZIFAHAMU SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)

Image
  Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida... Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo ." Mwanaume utakuwa wewe!" na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo.... Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao ama kujihusisha na upigaji punyeto n.k. NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO. 1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..     Hali hii husababis

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES AT MUCCOBS

Image

ALBINO ATIKISA MIDUME

Image
 Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa! Mwanadada mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Fadhila Omary, mkazi wa Mbezi jijini Dar ametikisa midume na kuzua gumzo nchini baada ya kukamatwa mkoani Morogogo kwenye msako wa makahaba. Albino akiwa mikononi mwa polisi. KWA NINI? Unaweza ukajiuliza kwa nini amegeuka gumzo lakini jibu ni kwamba ishu hiyo imemkuta hivi karibuni ikiwa ni miezi michache baada ya Mahakama ya Jiji la Dar ‘Sokoine Drive’ kumuonya kuwa imezichoka kesi zake za kunaswa kwenye misako mbalimbali ya makahaba. MAMA WA WATOTO WAWILI Fadhila ambaye ni mama wa watoto wawili, Juni 21, mwaka jana alifikishwa kwa mara ya tatu mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Jiji la Dar ‘Sokoine Drive’, Timothy Lyon baada ya kunaswa kwenye msako wa makahaba. ...Akielekea kituoni baada ya kunaswa katika msako wa makahaba. HAKIMU MSHANGAO Baada ya Lyon kumuona alishtuka na kumuuliza ‘hivi wewe Fadhila una matatizo gani? Mimi tangu nihamie mahakama hii kutoka Mahakama ya

PICHA ZA UTUPU ZA HUYU MSANIII SUPER STAR MITANDAO YA KIJAMIII YAZUA GUMZO NA KIZAA ZAA KATIKA JAMII ONA HAPA LIVE!!

Image
SUPER STAR NEIRA OBIC

NIMEVURUGWA YA SNURA MUSHI YAPIGWA STOP KUONESHWA KWENYE TV...

Image
  BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limeifungia video ya wimbo ‘Nimevurugwa’ ya mkali wa muziki wa mduara, Snura Mushi ‘Snura’ kwa madai ya kukosa vigezo vya kimaadili kwa jamii. Akizungumza hivi karibuni, Snura alisema hajui ni sababu gani iliyofanya kazi yake kufungiwa kupigwa katika vituo vya televisheni. “Nilipigiwa simu na rafiki zangu na kuambiwa hivyo, lakini mpaka sasa sijui ni kwa sababu gani maana sioni kama nimefanya kitu cha ajabu katika video hiyo na cha kushangaza hata sijaulizwa na yeyote, ila ndiyo hivyo,” alisema. Snura alisema wakati amesambaza video ya wimbo wake ‘Majanga’, kuna baadhi ya mashabiki walimshangaa ni kwanini hajacheza katika kazi hiyo kitu kilichosababisha video ya wimbo huo kupooza na kutokuwa na mvuto kwa mashabiki wake. “Nilivyopata malalamiko hayo, nikaona nisiwaboe kwa kuendelea kutoa video ambazo sichezi. Katika wimbo uliofuata nikacheza, kumbe nilikuwa naandaa mazingira ya kufungiwa,” alisema. Snura ni k

FANYA MAMBO HAYA KUZUIA CHUNUSI NA MABAKA USONI

Image
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria.   Kwa lugha ya kidaktari chunusi huitwa Acne Vulgaris.Chunusi ndio ugonjwa wa ngozi ambao humwathiri binadamu kwa kiasi kikubwa kwa mfano nchini Marekani pekee huathiri watu zaidi ya milioni kumi na sa-ba..Chunusi huweza kujitokeza katika umri wowote lakini huathiri sana vijana hasa wa-kati wa balehe (adolescents) .   Karibu asilimia 85 ya vijana kati ya umri wa miaka 12 hadi 25 hupata chunusi na zaidi ya asilimia 20 ya wanawake wenye umri wa zaidi ya miaka ishirini hupata chunusi wakati mwingine hata watoto wadogo pia huweza kupata chunusi hii ni tofauti na watu wengi wanavyofikiria kuwa chunusi ni dalili ya balehe.   Chunusi ni ugonjwa unaoathiri vifuko au glandi za ngozi.Katika ngozi ya binadamu kuna

TAREHE/ SIKU NZURI KWA MIMBA KUWEZA KUTUNGWA.

Image
Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya  jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele (i.e fruitful/productive/fertile  day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.   Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani  idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall  kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral  cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa  vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya  siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period)  ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.   Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako ju