Posts

HAFLA FUPI YA KUWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR LEO

Image
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri Mbalimbali wapya mara baada ya kuwaapisha kwenye viwanja vya ikulu leo ambapo viongozi mbalimbali wa serikali na waalikwa wamehudhuria na kushuhudia Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na  familia yake, baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.  Picha na OMR Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri Mbalimbali wapya na wanaohamia katika wizara nyingine mara baada ya kuwaapisha kwenye viwanja vya ikulu

ANGALIA PICHA ZA MWANAJESHI FEKI ALIYEKAMATWA LEO TANGA AKIMTAPELI DC

Image
'Koplo' feki wa JWTZ akiwa ofisini kwa mkuu wa wilya.  'Koplo' feki akijiandaa kupanda  kwenye gari kupelekwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi  'Koplo' feki akiwa na pamoja na Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko Na Mashaka Mhando,TANGA VIKOSI vya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa,vinamshikilia Edwin John Mponji (31) kufuatia kwenda ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga na kujitambulisha kwamba yeye ni koplo wa jeshi la Wananchi JWTZ akitaka kijana wake afanyiwe mpango wa kuingizwa Jeshi la kujenga Taifa. "Koplo" Mponji alikwenda ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga,Halima Dendego Januari 16 mwaka huu siku ambayo Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa ilikuwa katika zoezi la kuwafanyia usaili vijana wanaotakiwa kujiunga na jeshi la kujenga Taifa (JKT). Akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya,Mponji alijitambulisha kuwa yeye ni afisa wa JWTZ ambaye kwa sasa yupo kikosi cha 36 KJ Mkoani Pwani ambapo aliambatana na k

ANGALIA PICHA YA AJALIA YA NOAH ILIYOPOTEZA MAISHA YA ABIRIA 13 SINGIDA

Image
    Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isuna tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, wakitoa miili ya abiria wa Noah T.730 BUX waliofariki baada ya gari hilo kugongwa na lori aina ya Scania T.687 AXB kwenye barabara kuu ya Singida – Dodoma leo. Noah hiyo ilikuwa ikitoea Itigi wilayani Manyoni akienda Singida mjini.(Picha na Nathaniel Limu).  Gari aina ya Noah T,730 BUX linavyoonekana baada ya kugongwa na Lori.      ABIRIA 13 wakiwemo watatu wa familia moja wamefariki dunia mkoani Singida leo, baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah T.730 BUK, kugongwa na Lori aina ya Scania. NA  MATUKIO NA VIJANA Ajali hiyo ya kusikitisha imetokea leo saa 1.32 asubuhi katika barabara kuu ya Singida-Dodoma eneo la kijiji cha Isuna tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoani Singida.  Kamanda wa polisi mkoa wa Singida,SACP ,Geofrey Kamwela, amesema gari hilo aina ya Noah lilikuwa likitokea Itigi wilaya ya Manyoni na lilikuwa na safari ya kuja Singida mji

MKE WA MTU AKUTWA NYUMBA YA KULALA WAGENI AKIFANYA BIASHARA YA KUUZA NDOA KINYUME CHA SHERIA MJINI MOROGORO. P

Image
MAKUBWA madogo yana nafuu! Kwenye kamatakamata na fumuafumua ya magenge ya biashara haramu ya ngono mjini hapa imemkumba bonge la jimama ambalo lilinaswa gesti likisubiri mteja. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni wakati vijana wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipopata mwaliko maalum kutoka jeshi la polisi Moro kwa ajili ya kufichua biashara hiyo haramu ambapo mwanamke huyo alinaswa kauchapa usingizi chumbani huku kitandani kukiwa na kondomu kibao. Hapa akiwa kitandani.  Ndani ya gesti maarufu ya Itigi iliyopo maeneo ya Msamvu, inayotumiwa zaidi na madereva wa malori ya masafa marefu ndipo alipobambwa bonge ambaye katika utetezi wake alidai kuwa ni mke wa mtu. “Naombeni mnisamehe nilikuwa najitafutia riziki, baba J akijua ataniua jamani amesafiri, akirudi nimekwisha,” alisema kwa aibu mwanamke huyo. aliyejulikana kwa jina la mama J. ... bonge akiwa katika pozi la aibu baada ya kubanwa na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Pu

HATIMAYE, MASOGANGE AMUANIKA MTU ALIYEMTUMA ABEBE MADAWA YAKE

Image
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa ni Mkongomani, Risasi Jumamosi limedondokewa na ‘kismati’. Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Katika mahojiano ‘spesho’ na gazeti hili yaliyofanyika kwenye ofisi za Global Publishers, Bamaga, Mwenge, Dar es Salaam, juzi, Masogange aliamua kumwanika kigogo huyo huku akimtaja jina bila kuuma maneno. Melisa Edward. TWENDE PAMOJA Risasi: Masogange tumekuita leo hapa kwa ajili ya mahojiano maalum. Tangu umerudi Bongo toka Afrika Kusini ulikokutwa na ule msala wako, naamini hujawahi kuzungumza na chombo chochote cha habari. Uongo, kweli? Masogange: Kweli kabisa. Risasi: Risasi linakukaribisha tuzungumze mambo muhimu, lakini kubwa kuliko yote, hebu mtaje mtu aliyekutuma kubeba ule unga ambao ulikamatwa nao Afrika Kusini. Masogange: (akionesha sura ya umak

MWASITI AANIKA MAISHA YAKE ! AZUNGUMZIA UMRI,NDOA,KUZAA NA KUANZA MAPENZI 

Image
 MKONGWE katika gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwasiti Almas amefunguka ‘exclusive’ kuhusiana na maisha yake kwa jumla ambapo kwenye masuala ya uhusiano amebainisha kuwa alimjua mwanaume mara baada ya kumaliza kidato cha nne. Mkongwe katika gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwasiti Almas. Alisema alijitunza sana akiwa shule ya msingi, akaendelea hivyo hadi alipomaliza masomo ya sekondari ndipo alipolegeza uzi na kujikuta ameanza kuvunja amri ya sita na kujua thamani ya mwanaume. “Nilikuwa muoga sana, tangu shule ya msingi hadi sekondari sikuweza kabisa kufanya mambo ya kikubwa,” alisema. Akizungumza na Weekly Star Exclusive, Mwasiti alifungukia umri wake ambapo alikiri ‘eji’ imeenda lakini suala la kuolewa ataendelea kusubiri hadi muda muafaka utakapofika. “Kuhusu umri kwa sasa nipo katikati ya 25 hadi 30, umri umeenda kidogo siyo mdogo mimi. Nitaolewa tu muda ukifika, sina haja ya kuharakisha,

MEYA WA BUKOBA AJIUZULU RASMI LEO BAADA YA RIPOTI YA CAG KUMBANA,SOMA RIPOTI HIYO HAPA

Image
Viongozi wote wako ukumbini,mbunge namuona mh mshashu,madiwani wote wapo.ukumbi umejaa,dc antangaza kwamba wananchi wake njee ni mkutano wa ndani,wanakubali,kwamba wasipige kelele,napata taarifa kwamba polisi wako nje wanalanda landa viongozi wanaingia,muda wowote watasoma,tusikilize Wabunge wanajitrambulisha na ras anatoa taarifa hii. RAS kagera mnambila, anawakaribisha naibu TAMISEMI Mwanry na mkaguzi mwenyewe utoh wako mbele. Ansema ni maelekezo ya waziri mkuu kufanya ukaguzi maalum na kupokea maelekezo yta serikali juu ya uakaguzi huo. Walioalikwa-kutoka manispaa ya bukoba na wabunge Mwanry anamwakilisha waziri mkuu, Utouh ameambatana na Bw Mero, Bi Mwadawa, Bw Nkinja, Bw Sabuni ambao wameshiriki kufanya ukaguzi bukoba mjini,hii ni taarifa inatolewa na mmoja wa maafisa,Bw rweyemamu ndiye anatoa taarifa hii. RC anamkaribisha Utoh kuongea Taarifa ya Utoh Waziri mkuu alituomba tufanye ukaguzi maalum, Mwaka 2013 tulifika bukoba na kufanya kika

Kaburi lafukuliwa, maiti aachwa mtupu

Image
Wakazi wa Kijiji cha Ilagala mkoani hapa,wamepatwa na bumbuwazi baada ya kukuta kaburi limefukuliwa na maiti ikiwa tupu bila sanda. Tukio hilo limetokea Januari 14, 2014 katika Kijiji cha Ilagala Wilaya ya Uvinza mkoani hapa ambapo wakazi hao walistaajabu baada ya kukuta maiti ikiwa haina sanda. Shuhuda wa tukio hilo Abdallah Shaban ambaye ni ndugu wa marehemu ambaye pia ni Mwenyekiti wa SACCOS ya Mwangu kijijini hapo alisema, marehemu alizikwa Januari 13, 2014 katika maeneo ya Malalo yaliyopo pembezoni mwa soko la Ilagala lakini na baada ya hapo walipoenda Januari 14, 2014 kwenye eneo hilo kwa ajili ya maziko ya marehemu mwingine walishangaa kuona kaburi limefukuliwa huku maiti akiwa mtupu. Shabani alisema, tukio hilo ni la kwanza kijijini hapo na kwamba kufukuliwa kwa kaburi hilo kunaonyesha kulifanywa na watu. Naye baba mdogo wa marehemu, Issa Salum alisema, tukio hilo ni la mwaka kijijini hapo ambapo polisi wa Kituo cha Ilagala waliamuru kuf

DIAMOND PLATINUM SASA ANA PUSH V8 KAMA LA MAWAZIRI ....

Image

MISS TZ NA DEMU WA PREZOO WACHUANA KUTUPIA PICHAZZ ZA UTUPU ... JIONEE MAJANGAZ LIVE

Image
  MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu. Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’. Huddah Menroe. Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah. Hamisa. Huddah. “Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,” alisema mmoja wa wadau wa burudani aliyejitambulisha kwa jina la Japhet. TUPIA MAONI YAKO ! USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

HIVI NDIVYO H.BABA ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA...TAZAMA MAPICHA HAPA!!!

Image
H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki.     Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake.   Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa ameshika keki ya bethidei. H.Baba akiwa na mtoto wake. Florah Mvungi akimlisha keki mtoto wake Tanzanite. Jana tarehe mtu mzima H.Baba msanii kutoka kule Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake nikimaanisha mke wake na mtoto wao mpya anaitwa Tanzanite pamoja na mama mzazi wa HBaba na wadogo zake wa mwisho.