Posts

SHIJA AMPIGA DONGO WASTARA

Image
STAA wa filamu Bongo, Deogratius Shija amesema katika maisha yake hafikirii kutoka kimapenzi na mwanamke yoyote ambaye ni msanii hususani kuingia naye katika maisha ya ndoa. Deogratius Shija. Akizungumza na paparazi wetu alisema, kamwe hawezi kukurupuka akajiingiza mkenge kumuoa msanii kwa kuwa hana imani na wasanii wa kike na hajawahi kujihusisha nao kimapenzi, kwani  mastaa wengi ni walaghai wanaumiza vichwa.   “Nawaza sana mwanamke wa kumuoa kwa sasa lakini suala la kuoa msanii halipo kabisa, nashangaa hata wale wanaonishauri nimuoe Wastara siwezi kukurupuka kiivyo simjui undani wake kikubwa ni kumuomba Mungu anipatie mke mwema,” alisema Shija.

WAHUNI WAMFANYIA KITU MBAYA SARA MVUNGI

Image
MWIMBAJI wa  nyimbo za injili nchini, Sara Mvungi amefanyiwa kitu mbaya kwa kukombwa vitu kibao kwenye bodaboda. Sara Mvungi. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi jioni maeneo ya Kwanyerere, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo Sara alikuwa kwenye bodaboda ghafla ilitokea nyingine ikiwa kwenye mwendo wa kasi na wahusika walikuwa wawili ambao walimnyang’anya pochi. Akizungumza kwa masikitiko, Sara alisema ndani ya pochi hiyo kulikuwa na simu mbili aina ya blackberry, fedha taslimu laki tatu,dola mia moja, vitambulisho na vitu vingine vingi. “Nimeumia sana moyoni jamani sijui nianzie wapi ila namshukuru Mungu sijaumia nawaomba mashabiki na jamii kwa ujumla kuwa makini kwani bodaboda siyo watu wa kuaminika na huu mwisho wa mwaka ndiyo wizi umezidi,”alisema Sara. source.GPL

TAMBO MPYA ZA NEY WA MITEGO

Image
Stori: Musa STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hivi karibuni alifunguka kuwa hakuna jambo analoepukana nalo kama kukutwa na mchumba wake, Siwema akiwa na mademu wengine maana huwa anazimia. Akipiga stori na paparazi wetu Desemba 13, mwaka huu, Nay alisema kwamba pamoja na usanii wake wote na kuwa karibu na mashabiki wa muziki wake, amekuwa akijiepusha sana kwenye suala zima la kuwa karibu na mademu kwani hapendi kumsababishia Siwema matatizo ya kuzimia. “Mchumba wangu ananipenda sana na ndiyo maana sasa ninaishi kwa tahadhari kubwa kwani sipendi kumuona Siwema wangu akizimia kwa sababu ya wivu, najitahidi kumlinda kwa kujiepusha kuwa karibu na mademu,” alisema Nay.

TAMASHA LA GURUMO KUSTAAFU MUZIKI LAFANA TCC CHANG'OMBE, DAR

Image
  Gurumo (kulia) akipagawisha huku akisindikizwa na Hafsa Kazinja na Hussein Jumbe (kushoto).   Hussein Jumbe na mcharaza gitaa maarufu, Miraj Shakashia 'Shakazulu' wakinogesha mambo. Sehemu ya mashabiki.   Mmoja wa mashabiki akimtunza Gurumo baada ya kumkoleza.   Gurumo akishindilia noti mfukoni.   Shabiki huyu inaonekana alikumbushwa mbali sana. Mashabiki hawa baada ya kunogewa walivamia jukwaa. Mpiga tarumbeta mwenye makeke, Roman Mng'ande 'Romario' akipagawisha mashabiki. Mashabiki wakiserebuka na mwanamuziki wa Msondo, Hassan Moshi. Mzee Makasi (kulia) akiburudisha mashabiki. Kushoto ni mcharaza gitaa mahiri, Hamza Kalala 'Komandoo'.   Katika tamasha hilo, Gurumo alitangaza kuwa warithi wa kazi yake ya kuimba ni hawa, Hussein Jumbe (kulia), Edo Sanga (kushoto) na Juma Katundu. WADAU wa burudani nchini usiku wa kuamkia leo walifurika kwenye

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA NELSON MANDELA, AONGEA KIJIJINI QUNU AFRIKA KUSINI

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa mazishi Baba wa Demokrasia wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela kijijni Qunu, Eastern Cape, Afrika Kusini leo Desemba 15, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) kwa hotuba ya kusisimua aliyoitoa wakati wa mazishi Baba wa Demokrasia wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela kijijni Qunu, Eastern Cape, Afrika Kusini leo Desemba 15, 2013. Kushoto ni Mwenyekiti wa SADC na Rais wa Malawi Mhe. Joyce Banda. Rais Kikwete alialikwa kuzungumzia sifa za mapambano ya ukombozi ya Mzee Madiba ambapo Tanzania ndiyo ilikuwa ni nchi yake ya kwanza kusaidia mapambano yote ya ukombozi kusini mwa Afrika. PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU

MANENO YA KUMPANDISHA STIMU YA KIMAPENZI MPENZI WAKO HAYA HAPA

Image
Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazim

MAZIKO YA NELSON MANDELA KIJIJINI QUNU

Image
  Jeneza lenye mwili wa Mandela likiwa makaburini.   Jeneza lenye mwili wa Hayati Nelson Mandela likipelekwa makaburini tayari kwa maziko.   Hapa ndipo Hayati Nelson Mandela atakapozikwa.   Oprah Winfrey naye ni miongoni mwa waombolezaji. Hapa akielekea eneo la makaburi.   Askofu Desmond Mpilo Tutu ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Mandela naye akielekea eneo la makaburi.   Jeneza baada ya kuwasili eneo la makaburi. Hapa likifunguliwa kutoka kwenye gari maalum.

ANGALIA PICHA MUME AMUUA MTOTO WA KAMBO KISA UGOMVI WA KIMAPENZI,..

Image
Mwenyekiti wa mtaa wa pangani kata ya Makorongoni mjini Iringa Salum Kibaya akiutazama mwili wa mtoto Raymond Ben Mangungu (2) aliyeuwawa kwa  kukabwa shingo na baba wa kambo wakati wa ugomvi wa kimapenzi kati ya  mwanaume huyo na mama wa mtoto huyo usiku wa leo. Askari polisi akitazama mwili wa mtoto huyo. ANGALIA PICHA ZAIDI

ANGALIA PICHA ZA AWALI KATIKA MAZISHI YA MANDELA

Image
Display: The coffin of former South African President Nelson Mandela is seen draped in a South African national flag during his funeral in his ancestral village of Qunu Respect: Candles are lit under a portrait of Nelson Mandela before his funeral. One for every year of his life Honor: A gun salute is fired as the funeral procession nears the Mandela family compound Dignitaries: Prince Charles, right, arrives for the state funeral on Sunday Historic figure: Thousands of people are paying tribute to South Africa 's first black president State funeral: Mandela's coffin is carried into the white tent for the service Support: African National Congress supporters chant before the start of the funeral Dignitaries: Anti-apartheid activist and friend Ahmed Kathrada, right, with former South Africa president Thabo Mbeki As the state