ANGALIA PICHA MUME AMUUA MTOTO WA KAMBO KISA UGOMVI WA KIMAPENZI,..

Mwenyekiti wa mtaa wa pangani kata ya Makorongoni mjini Iringa Salum Kibaya akiutazama mwili wa mtoto Raymond Ben Mangungu (2) aliyeuwawa kwa kukabwa shingo na baba wa kambo wakati wa ugomvi wa kimapenzi kati ya mwanaume huyo na mama wa mtoto huyo usiku wa leo.
Askari polisi akitazama mwili wa mtoto huyo.ANGALIA PICHA ZAIDI

Comments

Popular posts from this blog