Posts

FAT JOE ATOKA JELA

Image
Rapper Joseph Cartagena aka Fat Joe ametoka jela jana (November 28) alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi minne kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Joe (42) jana alipost video instagram akimsurprise binti yake baada ya kurejea nyumbani. Rapper huyo aliyeanza kutumikia kifungo hicho (August 26) ametolewa jela mapema zaidi baada ya kukaa ndani kwa miezi mitatu tu. Fat Joe alikuwa akituhumiwa kwa kukwepa kulipa madeni ya kodi yanayofikia $ 1 million yakiwa ni malimbikizo ya miaka miwili. Kifungo hicho cha miezi minne kiliambatana na faini ya $15,000 pamoja na usimamizi maalum wa mwaka mmoja baada ya kutoka jela.

MWANACHUO WA MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU USHIRIKA AFIRIKI DUNIA GHAFLA

Image
 Marehemu Happy Elias Kisamo   Happy E.Kisamo alikuwa mwanachuo wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kishiriki ushirika(MUCCoB's) akiwa anachukua stashahda ya masoko na fedha , Marehemu alifariki usiku wa kuamkia jana kutokana na maradhi ya tumbo yaliyokuwa yanamsumbua, Mwili wa marehemu unategemewamehagwa siku ya jumatatu na uongozi mzima pamoja na Wanachuo Wenzake na kisha kusafirishwa kuelekea kwao uko Arusha tayari kwa ajili ya mazishi. Uongozi wa Chuo Kikuu kishiriki Ushirika(MUCCoB's).unapenda kutoa pole kwa familia na Wanachuo wote kwa kufiwa na mwanachuo mwenzao, BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA

Image
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni. Kombe hilo limerejea jijini Dar es Salaam na kesho wananchi watapata fursa ya kupiganalo picha. NDUGU MDAU TUJITOKEZE TRH 30 PALE UWANJA WA TAIFA ILI TUPATE PICHA YA UKUMBUSHO

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APEWA UCHIFU WA BARIADI

Image
Mmoja wa machifu wa Kisukuma eneo la Bariadi ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge akimvika vazi la kijadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kumpa uchifu Rais Kikwete iliyofanyika mjini Bariadi,Mkoa mpya wa Simiyu leo.Rais Kikwete alipewa jina la kisukuma la Chifu Ng’humbu Banhu lenye maana ya Anayekumbuka na kuthamini Watu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amekalia kigoda cha Uchifu wa Bariadi baada ya kuwa Chifu Ng’humbu Banhu mjini Bariadi Mkoa mpya wa Simiyu leo.Rais Kikwete yupo katika Ziara ya Kikazi Mkoa mpya wa Simiyu(picha na Freddy Maro)

MPENZI WAKO YUPO MBALI NA UMEM-MISS?!JE, WAJUA MTARIDHISHANA VIPI KIDIGITALI....! (18+)SOMA HII

Image
Mapenzi ni k2 cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyng sana za kufanya mapenz na bila kuingiza uume wala mwanamke kuingiziwa uume katika nyeti zake na akaridhika kabisa,kwa mfano kuchezeana sehemu za siri mpaka wote mkakojoa kama vile kunyonyana,au mwanamke kuyabana maziwa yake na mwanaume kuingiza uume wake na kuanza kusugua mpaka akojoe,lkn hayo yote kwa leo hayatuhusu bali nataka tuangalie jinsi ya kufanya mapenzi kwa kutumia simu mpaka mkapizi wote. Ni rahisi sana kwa yule ambaye yuko serious na amedhamiria kufanya hii,unapotaka kufanya mapenzi kwa njia ya simu kwanza inatakiwa akili yako yako yote idhamirie kufanya hivyo na uwe unafuata masharti unayoambiwa na mpenz wako au m2 unayefanya naye mapenzi ya simu... Ili m2 ukojoe lazima kuwepo na kitu kinachokufanya ukojoe kwa mfano kwa wanaume lazima asuguliwe mb** na kitu laini na mwanamke hivyo hivyo lazima achezewe au aingiliwe na uume ndo akojoe,so fikra zako unatakiwa uzilete huku kwenye pen

Huyu ndio mrembo wa Kitanzania alietangazwa mshindi wa taji la “Miss Commonwealth Africa” huko London Uingereza.

Image
Mtanzania, Malkia Kassu ( wa tatu toka kushoto) akiwa na washindi wenzake – wote wamevalia taji na kubeba vikombe vya ushindi. Mashindano ya 2013 yalifanyika London Jumamosi Novemba 26 na kwa mara ya kwanza yalikuwa na mshiriki toka Tanzania. Malkia Kassu ( jina la kuzaliwa Mulki Kassu Miraj) alichaguliwa malkia wa Tanzania na bara zima la Afrika. Wateuzi wa ushindi huo hawakuangalia tu sura, bali tabia, fikra, hamasa na msimamo wa kimaendeleo wa mhusika ambapo washindani walitoka mataifa mbalimbali duniani. “Ninataka kuiwakilisha nchi yangu na kuwasaidia wenye maisha magumu, niifanye dunia iwe mahali pazuri zaidi. Nafahamu si kazi rahisi ila nina hakika kila mmoja wetu akijumuika na mwenzake mabadiliko mema zaidi yatafanyika. Tanzania ni nchi ya amani na ninaamini amani na mapenzi vyaweza kuongezeka katika jumuiya zetu.” – Kassu Kutoka kushoto ni mdhamini, Ali Sungura, Balozi wa Tanzania Uingereza , mheshimiwa Peter Kallaghe, Aisha Mohammed na Af

NDUGU WASOMAJI WANGU TUMASAIDIE HUYU DADA USHAURI, KANUNULIWA GARI, KASOMESHWA LAKINI HAMPENDI MWANAUME HUYO ALIYEMFANYIA YOTE HAYO..!

Image
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar Es Salaam nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana. Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha. Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo pia ni sharo sio mshamba kama huyu wa zamani. Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?

Tanzania kunufaika na mradi wa Mbogamboga mashuleni

Image
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo wakati wa hafla ya utambulisho wa Mradi wa Kupeleka Bustani za Mbogamboga na Matunda Shuleni leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja Mradi wa Kupeleka Bustani za Mbogamboga na Matunda Shuleni Dkt. Usha R. Palaniswamy. Meneja Mradi wa Kupeleka Bustani za Mbogamboga na Matunda Shuleni Dkt. Usha R. Palaniswamy akifafanua jambo wakati wa utambulisho wa Mradi huo, hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Katikati ni Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bi. Paulina Mkonongo na Mratibu wa Mradi Tanzania Bi. Joyce Sekimanga. Mkurugenzi wa Elimu ya Sekondari wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bi. Paulina Mkonongo akisisitiza jambo kwa watumishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi(hawapo pichani) wakati wa hafla ya utambulisho wa Mradi wa kupeleka Bustani ya Mbogamboga na Matunda shuleni leo jijini Dar es Salaam.Kus

IFAHAMU VYEMA BAJAJI INAYOZUNGUKA DUNIA NZIMA

Image
Watanzania wengi tunafahamu Bajaji ni usafiri wa hapa na pale tu, yani sio usafiri wa kubeba abiria kwenye masafa marefu lakini Walimu wawili raia wa Uingereza wamekipiga kibajaji gia na kupita nacho nchi mbalimbali duniani zinazofikia 37. Ni safari ambayo wameianza August 13 mwaka jana (2012) lakini haijafikia hapa bila matatizo, wanakwambia Bajaji imezingua sana kwenye baadhi ya nchi na kuna wakati injini ilisumbua wakajua ndio mwisho wa safari mpaka wakati mwingine wanalazimika kushuka na kuanza kuivuta wao wenyewe. Unaambiwa hii rekodi itaingia kwenye kitabu cha Guiness kama watamaliza safari yao ambayo wamepanga kuimalizia Brazil kabla ya December 23 2013 kisha kurudi zao nyumbani Uingereza. Wanasema wengine wameshindwa kuamini kama wanaizunguka dunia kwa ‘tuktuk’ a.k.a Bajaji ambapo kwenye mpaka wa Kenya na Uganda walisimamishwa na Polisi ambae aliwaambia haamini kuhusu urefu wa safari yao ila kama ni kweli, itakua ngumu wao kupata watoto wa kiume.. lab

Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto

Image
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua nyadhifa zote, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wenzake wawili."Bahati nzuri wamevuliwa uongozi siyo uanachama, binafsi nadhani viongozi wanatakiwa kutafakari na kudhibiti madhara zaidi kwa chama, wakishupaza shingo, lolote litakalotokea watakuwa ni sehemu ya lawama," Profesa Baregu alisema Dar es Salaam jana. Zitto, aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Arusha, Samson Mwigamba walivuliwa uongozi Novemba 22 mwaka huu, kwa tuhuma za kuandaa waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013, uliolenga kufanya mabadiliko makubwa ya kiuongozi wakati wa uchaguzi mkuu wa ndani wa chama hic

Tume ya Katiba yaongezewa wiki mbili

Image
Rais Jakaya Kikwete ameiongezea tena muda Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili kuiwezesha kumaliza kazi yake. Taarifa iliyotolewa na Ikulu juzi usiku, ilisema Rais Kikwete ameiongezea siku 14. Tume hiyo ambayo ilitakiwa kumaliza kazi yake, Desemba 15, mwaka huu itaendelea na kazi kuanzia Desemba 16 hadi Desemba 30, mwaka huu. Hii ni mara ya pili kwa Rais Kikwete kuiongezea Tume hiyo muda wa kufanya kazi yake. Baada ya maombi yake ya kwanza, Rais Kikwete aliiongezea Tume hiyo siku 45 kuanzia Novemba Mosi hadi Desemba 15, mwaka huu. Kabla ya kuomba kuongezewa muda, ilitakiwa kukamilisha kazi yake kesho. Rais Kikwete ameiongezea Tume hiyo muda zaidi kwa mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 8(3) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba inaelekeza Tume hiyo kufanya kazi kwa miezi 18 l

MEZA YA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 29.11.2013

Image
MAGAZETI YA UDAKU LEO . MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI