Posts

HUYU NDO MTANGAZAJI MAARUFU ALIYE FARIKI KATIKA SHAMBULIO LILILO TOKEA KENYA JANA

Image
It’s with a heavy heart and deep sadness that we announce the sudden demise of East FM Drive Presenter and Host of entertainment news on Kiss TV- E-News, Kiss 100 as well as X-FM, Ruhila Adatia – Sood. According to reports, Ruhila was rushed to Aga Khan University Hospital but succumbed to gunshot wounds that she sustained from the Westgate Shopping Mall attack. Various personalities who have been in communication with her family have confirmed the sad news; KAMA UMEGUSWA TOA MAONI NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU FACEBOOK

PICHA NNE ZA KWANZA NAMNA FIESTA INAVYOENDELEA MUDA HUU SHINYANGA

Image
Show ndio kwanza imeanza hapa kwenye uwanja wa Kambarage 87.5 Shinyanga mtu wangu ambapo wakali kama Ney wa Mitego, Juma Nature, Linah, Stamina, Young Killer, Dudubaya, Godzilla, Nikki wa II, Joh Makini na G Nako ni baadhi tu ya watakaoonekana kwenye stage usiku huu hapa Shy Town.

MTOTO WA DADA WA RAIS UHURU KENYATTA NAE AUWAWA KATIKA TUKIO LA MAUAJI WESTGATE AKIWA NA MCHUMBA AKE

Image
Kenya’s President Uhuru Kenyatta’s nephew Mbugua and his fiancée Wahito were both killed in Westgate Mall’s deadly terrorist attack Mbugua is a son to Catherine Mwangi, a sister to Beth Mugo who is a first cousin to Presidnet Uhuru, while elder sister, Christine Wambui Pratt, 61 years of age, is among those who were held hostage but got rescued. Al-Shabab claimed the responsibility of the attack which left at least 59 people dead and 170 others wounded.Uhuru Kenyatta who last night addressed to his nation said he can understand how it feels when a family member among those trapped, rescued, injured and even dead during the attack, confirming that he lost a close family member in the attack.“I ask God to give you comfort as you confront this tragedy, and I know what you feel having also lost very close family member in this deadly attack”, said Uhuru.Somalia’s government condemned the attack and showed a solidarity with fellow Kenyan government.

MAN CITY YAILAZA MAN U KWA GOLI 4-1

Image
At the double: Sergio Aguero scored twice as City romped to victory Opening up: Aguero scores the opening goal of the derby in the first half Doubling the advantage: Yaya Toure put City 2-0 up in first half stoppage time Derby delight: Yaya Toure celebrates putting City 2-0 up on the stroke of half time Not going to plan: Wayne Rooney, Danny Welbeck and Michael Carrick stand dejected after conceding another goal Crowded out: Marouane Fellain vies for the ball with Manchester City's Yaya Toure and Vincent Kompany Three and easy: Aguero scores his second and City's third in the derby It's getting better and better: Aguero celebrates with Alvaro Negredo and Samir Nasri Easy does it: Samir Nasri celebrates making it 4-0 Punch perfect: Nasri hits the corner flag in celebration

HIVI NDIO NAMNA DIAMOND ALIVYOFANYA KUFURU KWENYE SHOW YAKE MALAYSIA

Image

IZZO B ANUSURIKA KWENYE AJALI HII MBAYA MUDA HUU

Image
Dakika kadhaa kutoka kwenye Instagram ya Izzo B ameposti picha ya ajali mbaya waliyoipata wakati wakitokea Geita kwenye show akielekea Mwanza.

Familia ya Nditi yazidi kutesa England

Image
FAMILIA ya kiungo wa zamani wa Kikwajuni na timu ya taifa ya Zanzibar, Eric Nditi inaendelea kutesa katika soka la Ulaya baada ya watoto watatu wengine wa staa huyo kuibukia katika timu ya vijana ya Reading iliyo Ligi Daraja la Kwanza, England. Wakati kaka yao, Adam Nditi akiwa ameingia kikosi cha kwanza cha Chelsea, mdogo wake anayemfuatia, Roberto Nditi (13) yuko katika kikosi cha timu ya Reading chini ya miaka 14, na mapacha wawili (pichani) wanaofuatia, Zion na Paolo (8) wako katika kikosi cha Reading chini ya miaka 10. Akizungumza na Mwanaspoti kutoka Basingstoke, Uingereza, Nditi alisema kwamba watoto wake mapacha walitakiwa na Chelsea lakini akashindwa kuwapeleka kwa sababu ya kushindwa kugawanya muda. "Hawa Zion na Paolo walichukuliwa na Reading ingawa Chelsea iliwataka kwa sababu ningeshindwa kumudu kumpeleka kaka yao Reading kisha niwe nawapeleka wao London. Ndio maana nikaamua wote wakulie Reading," alisema Nditi. Chan

KINANA,NAPE WAZURU KABURI LA BABA WA TAIFA HAYATI JULIUS NYERERE

Image
Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hayati. Mwalimu Julius K. Nyerere huku Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akishuhudia tukio hilo. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiwa katika picha ya pamoja na Andrew Nyerere Mtoto wa Kwanza wa Baba wa taifa Mwalimu Julius K. Nyerere wakati alipozuru kaburi la Mwaasisi huyo wa taifa la Tanzania Mwitongo, Butiama Nyumbani kwa mwalimu Mkoani Mara jana, Kinana alifanyakazi na Andrew Nyerere wakati wakilitumikia Jeshi la Ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ), Katibu Mkuu huyo jana aliendelea na ziara yake katika wilaya ya Butiama katika kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, Kinana ataendelea na ziara yake katika Wilaya ya Serengeti leo. Kushoto ni Nape Nnayue Katibu wa (NEC) Itikadi Siasa na Uenezi.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-BUTIAMA MARA

WANAUME WAWILI WAKAMATWA NA KICHWA CHA MTOTO.

Image
Two men were on Friday in Ibadan paraded by the police for possessing a decomposing human head. One of the men, Seyi Akinola, was arrested in an ambush operation by the police while Ajitoni Ogundeji was named by Akinola as his accomplice in the crime. Ogundeji, who is a farmer and a hunter, was alleged to have instructed Akinola to bring a human head to prepare a charm that would protect him from gunshot. Akinola, who is also a hunter, had complained to Ogundeji that he experienced frequent robbery attacks on the road whenever he travelled. While on hunting expedition at night about two weeks ago, Akinola allegedly saw the corpse of a dead mad woman in a bush. He later cut off the head and hid it on a tree to decompose. Ten days later, he returned to pick the head at the place where he kept it but unknown to him, the community had alerted the police after discovering the head on the tree. After walking into the ambush,

VIOJA MAHAKAMANI MTUHUMIWA AJISAIDIA MBELE YA HAKIMU

Image
KIOJA cha mwaka kilitokea Jumatano wiki hii katika Mahakama ya Jiji ya Sokoine Drive jijini Dar es Salaam, baada ya mkazi mmoja wa Buguruni, Hassan Omary kujisaidia haja kubwa kizimbani wakati akisomewa shtaka lake la uzururaji.Mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo, Richard Magodi alikuwa akimsomea shtaka hilo, mbele ya Hakimu Mfawidhi, William Mutaki na alipotakiwa kukiri au kukanusha kosa lake, mtuhumiwa huyo alibaki kimya akiwa amemtumbulia macho hakimu. Katika hali isiyotarajiwa, mtuhumiwa huyo alionekana akijikamua kama anayejisaidia na ghafla, harufu kali ya kinyesi ikatanda mahakamani hapo.Hakimu alitahayari kufuatia tukio hilo, kwani aliziba pua yake kwa kutumia koti lake na kuuliza chanzo cha mtuhumiwa kufanya kitendo hicho kortini, lakini katika hali iliyoashiria kama ni kiburi, kijana huyo hakujibu chochote zaidi ya kutazama chini, licha ya swali hilo kurudiwa zaidi ya mar

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI KARATU

Image
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi  wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013.  Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo yaMkazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakitembelea maktaba yaShule ya Sekondari ya Banjika  ya wilayani Karatu ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji  katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na

HAPPINESS WATIMANYWA NDIYE MSHINDI WA REDD'S MISS TANZANIA 2013

Image
Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni mshindi wa tatu, Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa Onyesho la Taifa la Urembo linalofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakifungua shindano la mwaka huu kwa kuonyesha ufundi wao wa kucheza muziki. Shindano la mwaka huu ambalo limedhaminiwa na kampuni ya vinywaji Tanzania.Tanzania Breweries Limited kupitia kinywaji cha Redds limefanyikia katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar-es-salaam. Jumla ya warembo 30 kutoka mikoa mbalimbali,vyuo nk wameshiriki. Warembo walioingia hatua ya kumi na tano bora Jaji Mkuu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Dkt. Ramesh Shah akitangaza Warembo walioingia hatua ya tano bora. Warembo walioingia hatua ya tano bora