WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI KARATU

IMG_0052Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi  wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013.  Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)IMG_0105 1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo yaMkazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakitembelea maktaba yaShule ya Sekondari ya Banjika  ya wilayani Karatu ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0136Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji  katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0164Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu  (kushoto) wakipata maelezo  Kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji  Safi na Maji Taka wa Arusha, Bibi Ruth kuhusu  ujunzi wa tangi la Maji katika kijiji cha Gykrum Arusha wilayani Karatu baada ya kuweka jiwe la Msingi la mradi huo Septemba20, 2013.   Kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa, Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0177Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama uchimbaji wa kisima kirefu cha maji  unaofanywa na wakala serikali wa Uchimbaji visima katika eneo la Bwawani wilayani Karatu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0194Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa  Mbulumbulu baada ya   kuzindua  Kituo cha Afya cha Kambi ya Simba wilayani Karatu Septemba 20, 2013. Kulia ni mkewe Tunu na kulia kwake ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0249Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya wa Shule ya Sekondari ya Awet wilayani Karatu baada ya kuwahutubia wananchi katika mkutano  uliofanyika shuleni hapo Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Baadhi ya wananchi wa Karatu waliohudhuria mkutano wa hadhara  uliohutubiwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  mjini Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, wakati alipowahutubia Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

Popular posts from this blog