Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji waliwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Jeshi hilo mkoa wa Katavi, Mrakibu msaidizi, Mohamed Madulika, mara baada ya kifikishwa nyumbani kwake , Kijiji cha Mikongeni, Kata ya Mzumbe, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kwa ajili ya utaratibu wa mazishi , Madulika alifariki dunia kwa ajali ya gari Augoti 5, mwaka huu ,Wilayani Sumbawanga wakati akielekea mkoani Katavi akitokea Jijini Dar es Salaam na mazishi yake yamefanyika Augost 8, mwaka huu kijijini hapo. Kuswaliwa kwa Mwili kabla ya kwenda Mazikoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Faustine Shilongile akiweka udongo kaburini. Mazishi yakiendelea. Luteni Kanali , Lidwino Simion Mgumba, Naibu Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Augt 8, mwaka huu akiweka udogo...