BREAKING NEWZZZ :SHEIKH PONDA AJERUHIWA KWA RISASI MJINI MOROGORO
- Get link
- X
- Other Apps
Habari zilizotufikia muda huu Sheikh Ponda ajeruhiwa kwa risasi mjini morogoro katika Mkutano wa Muhadhara, Machafuko hayo yalitokea baada ya kuisha kwa Muhadhara huo wakati wakeielekea Katika Msikiti wa Mungu mmoja wakati wako njiani walipigwa mabomu ya machozi na Kupigwa Risasi na ndipo Sheikh Ponda alipo jeruhiwa…Hadi sasa Haijajulikana Wapi alipo.CHANZO CLOUDS
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment