Posts

ANGALIA PICHA ZA WEMA SEPETU NA MARTIN KADINDA WAKILA BATA HOTELINI

Image
Follow this blog

FEZA WA TANZANIA AGONGANISHA MABWANA BAADA YA KUINGIA KUOGA NA NJEMBA IKIWA UCHI BAFUNI

Image
Shemeji yetu Mbotswana, Oneal amechukizwa na kitendo cha Feza Kessy kwenda kuoga na mwanaume mwingine. Jana jioni, Feza ilimlazimu amuombe msamaha mpenzi wake huyo aliyeoneshwa kuumizwa roho na kitendo hicho. “Umefanya tena leo asubuhi. Umeniacha kitandani na kwenda kuoga na mwanaume aliye UCHI. I was so disappointed”, alisema Oneal ambaye hata hivyo hakumtaja mwanaume huyo. “What was wrong with this particular shower”, aliuliza Feza ambaye alijibiwa na Oneal,”He was naked”. Wasiwasi wa Oneal ni kama vyombo vya habari vya Tanzania vikipata picha hizo zinazomuonesha Feza akioga na mwanaume mwingine bafuni na kuzitumia, jambo ambalo linaweza kutia doa mapenzi yao. Mrembo huyo wa Tanzania alimuomba msamaha mpenzi wake na kisha kumkumbatia na kumbusu huku wakijifunika shuka gubigubi, kitu kilichomaliza hasira za Mtswana huyo
Image
LULU AONEKANA KUUHESHIMU MWEZI MTUKUFU LULU AKIWA KATIKA MUONEKANO TOFAUTI NA TULIVYOMZOEYA KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU AMBAPO NDUGU ZETU WAISLAMU WAPO KATIKA MFUNGO: JIUNGE NASI KWA KUBOFYA LIKE KUJIUNGA NASI ILI KUPATA HABARI MOTOMOTO

BABY MADAHA AOMBA PAMBANO WA NGUMI NA JACK WOLPER

Image
Na Gladness Mallya STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ ameomba pambano la ndondi dhidi ya Jacqueline Wolper ili waweze kumaliza ubishi wa bifu lao. Akipiga stori na paparazi wetu mapema wiki hii, Baby alisema amechoshwa kusikia tambo za mpinzani wake huyo hivyo kama kweli ni mwanamke, wakutane ulingoni ili amuoneshe cha mtema kuni. “Asiniambie mimi natafuta kiki, mimi ni msomi kuliko yeye, arudi shule au akauze vipodozi. Najua kuimba, kuigiza na ni msomi yeye anaweza hayo? Kimsingi naomba pambano nimtandike ulingoni,” alisema Baby Madaha.   Source:Global Publisher

WASTARA : SINA HARAKA YA KUOLEWA NAHITAJI MUME NA SI MTU WA KUPITA.

Image
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma amesema hana haraka ya kuolewa kwani anahitaji mume na si mtu wa kupita. Akizungumza hivi karibuni, Wastara alisema kwa sasa yupo huru kutoka na mtu yeyote ampendaye kutokana na sheria na dini inavyosema ila kwa sasa shughuli za kuigiza zimembana. Nahitaji mume na si mtu wa kupita awe mvumilivu, mchapakazi pia awe na hofu ya Mungu. Kwa sasa nafanya filamu zangu kama kumuenzi marehemu mume wangu,  alisema Wastara. 

HATIMAYE HISTORIA IMEANDIKWA NA WATAALAM WA IT TOKA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI

Image
Wataalamu wa IT toka chuo kikuu cha ushirika wakifanya Presentation Project wakiwa chini ya jop la waataalam toka chuo hicho kama vile Mr. Matto, Sizya, Dk. Mwende, Bi. Sarah Lema, Madam Nyanjara, Mr. Madila na wengine wengi.Jana katika ukumbi namba mbili wa Computer Labaratory Hili ni kundi la wataalam wa Voting online, akiwa ni Devotha na Godi na kwa mbali akionekana Mr. Madila na Bi. Sarah lema  Mr. Mshana akiwa on stage akipresent project yake iliyokuwa ikihusu mambo ya Voting Online  Mr. Wanzagi Nelson akimsikiliza kwa makini mtaalam wa IT toka NIGERIA wakati akimpa ushauri kwa kile alichokiwasilisha  Kundi la wataalam wa Voting Online wakiwa wamemaliza kuwasilisha na hapa wakiwa na Mchawi wa Trouble shooting Mr. Macco Chali maarufu kama MFAUME  Mr.PHARS Akiwa na waataalam mbalimbali wa IT toka chuo hicho, toka kulia ni Phars, Hajji,Boniface,Godi,Nelson,Steve na Lucas  WATAALAMU HAO WAKIENDELEA PATA UKUMBUSHO WA KILE KILICHOFANYIKA JANA  3-Brothers wakiwa wam

SEHEMU NYETI 12 ZINAZOMPA RAHA MWANAMKE

Image
Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa. Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili. Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu. 1. MIDOMO YAKE. Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa. Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.( usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu). << SEHEMU  NYINGINE  ZIKO  HUKU>>

DHAMBI KUBWA YA WANAWAKE WANAOJIFANANISHA KIUME NA WANAUME WANAOJIFANANISHA KIKE.

Image
Mwenyezi Mungu S.W.T. amewalani wanawake wanaojifananisha kiume na wanaume wanaojifananisha kike, na ndio maana ikawa ni katika madhambi makubwa sabini. Mfano wa kujifananisha ni kama vile: Kuzungumza, kutembea, kuvaa mavazi; na kwa wanawake, kumpenda mwanamke mwingine kama wanaume kwa ajili ya kusagana wanawake kwa wanawake (Lesbians), na kwa wanaume, ni kuingiliana wanaume kwa wanaume (Homosexuals). Kutokana na maumbile ya Mwenyezi Mungu S.W.T. ameumba wanaume na ameumba wanawake, na tabia zao na mavazi yao na msemo wao ni tofauti kabisa, lakini ikiwa mwanamume atajifananisha kuwa sawa na mwanamke au mwanamke kuwa sawa na mwanamume, basi watakuwa wamezibadili wao wenyewe taratibu walizopangiwa na kuwekewa na Mola wao, na kwahivyo watakuwa wametenda dhambi kubwa. Mtume S.A.W. kasema katika Hadithi iliyotolewa na L-Bukhari, “ ‘‘Ù„َعَÙ†َ الله الْÙ…ُتَØ´َبِّÙ‡َاتِ Ù…ِÙ†َ النِّسَاءِ بِالرِّجَالِ ÙˆَالْÙ…ُتَØ´َبِّÙ‡ِينَ Ù…ِÙ†َ الرِّجَالِ بِالنِّسَاءِ’’ Ma

CHADEMA KUZINDUA KANDA YA KUSINI SONGEA LEO

Image
Posted by Phars Nyanda at 08:50 AM Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LAAPISHWA MISRI

Image
Rais wa mpito wa Misri ameliapisha baraza lake jipya la mawaziri huku akiwapa nafasi viongozi wenye msimamo wa kati na pia akiwajumuisha wanawake wawili kwenye Serikali mpya. Serikali mpya inaongozwa na waziri mkuu, Hazem el-Beblawi ambaye kwa taaluma ni mchumi, Abdel-Fattah al-Asisi ambaye ataendelea kushikilia nafasi yake ya waziri wa ulinzi na pia Kama naibu waziri mkuu wa kwanza. Waziri wa masuala ya ndani ambaye aliteuliwa na rais aliyepinduliwa, Mohamed Ibrahim ataendelea kushikilia wadhifa wake, huku Nabil Fahmy ambaye aliwahi kuwa balozi wa Misri nchin Marekani, sasa atakuwa Kama waziri wa mambo ya nje. Akisisitiza kwanini baraza lake limejumuisha viongozi wenye msimamo wa Kati, rais wa mpito, Adly Mansour amesema amazingatia mahitaji ya nchi huku akitangaza nafasi tatu za wanawake kwenye baraza lake. Wizara walizopewa wanawake hao ni pamoja na wizara ya habari, wizara ya afya na wizara ya mazingira, uteuzi ambao unaonekana haukutar

Ujangili Tanzania! Tembo 475 wauwawa majangili 1215 wanaswa

Image
Na Suleiman Msuya WIZARA ya Maliasili  na Utalii kupitia Idara ya Wanyamapori imesema zaidi ya tembo 475 wameuwawa na majangili kwa kipindi cha mwaka 2012/13 ambapo watuhumiwa 1215 walikamatwa kwa makosa mbalimbali. Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songoro pamoja na watuhumiwa hao pia jumla ya bunduki 85 na risasi 215 za aina mbalimbali zilikamwata na kesi 670 zilifunguliwa katika mahakama za hapa nchini, ambapo kesi 272 zimekamilika kwa washitakiwa 247 kulipa faini ya jumla ya  Sh175,002,420 na washitakiwa 71 kupewa adhabu ya vifungo vya jumla ya miaka 99. Alisema kesi 398 zenye jumla ya washitakiwa 897 bado zinaendelea katika mahakama mbalimbali nchini ambapo wanaamini kuwa zitakamilika hivi karibuni. "Kimsingi ndugu zangu wanahabari hali ya ujangili ni kubwa sana kwani kwa kipindi cha mwaka jana zaidi ya tembo 475 waliuuwawa hali ambayo inahitaji juhudi zaidi ziongezeke ili kukabiliana na hali hiyo," alis

MAMA BAGHDAD AMUOMBEA MSAMAHA MWANAE KWA CHID BENZ...AOMBA WAKUTANE PAMOJA NA NA WA MITEGO

Image
Baada ya jana Chidi Benz kuweka wazi kuwa hategemei kumsamehe Baghdad kwa ‘blunder’ aliyoifanya ya kuwashirikisha yeye na Nay wa Mitego bila kuwaambia, mama mzazi wa Baghdad amekuja hadharani na kumuombea msamaha mwanae. Mama huyo ameongea leo kwenye segment ya 255 kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM kuhusu nia yake ya kutaka kumaliza tofauti zilizopo kati ya mwanae na Chidi. Mama Baghdad amekiri kuwa mwanae hakutumia akili kuchukua uamuzi huo wa kuwashirikisha wasanii wanaofahamika kuwa na uadui mkubwa kimuziki bila kufikiria madhara yake. Amesema mwanae hakufanya jambo la busara na ndio maana ameamua kumpigia magoti Chidi ili ampe ‘second chance’ mwanae ambaye amejaribu kuomba msamaha bila mafanikio. 255 pia imezungumza na Chidi Benz aliyepo nchini Kenya kwa sasa ambaye amesema hawezi kukataa wito wa mama yake na Baghdad kwakuwa ni kama mama yake pia na amekubali kuja kukutana naye akirejea nchini. Jana wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Mambo Mseto

MZEE MAGALI WA BONGO MOVIE AKIMBILIA BONGO FLAVA

Image
Mwaka 2013 utakuwa na surprise nyingi sana... So far tumeshapata surprise kibao ikiwemo ile ya jana ya promoter na Mkurugenzi wa Watanashati Entertainment, Ostaz Juma na Musoma kuingia kwenye hip hop na kurekodi wimbo mmoja aliomshirikisha Young Killa. Surprise zinaendelea na sasa inakuja bombshell nyingine. Kwa mujibu wa mtangazaji wa Take One ya Clouds TV, Zamaradi Mketema, muigizaji wa filamu nchini maarufu kama Mzee Magali ametupa karata yake kwenye muziki. “Mzee magali augeukia mziki wa bongo fleva now.. sikiliza movie Leo siku ya KESHO on CLOUDS FM Radio ili usikie wimbo wake mpya kabisa wa kwanza ambao ameufanya SAA NNE na Dk 45 asubuhi,” ameandika Zamaradi kwenye Instagram.

PICHA ZA BEVERLY AKIWA BAFUNI KATIKA JUMBA LA BIG BROTHER

Image

MWENYEKITI WA HALMASHAURI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA CHOONI

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Laurent Hoya, amefariki dunia ghafla jana alfajiri baada ya kuanguka chooni . Kifo hicho kimetokea nyumbani kwa marehemu Nkuhungu katika Manispaa ya Dodoma. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jana, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Fatma Ally alisema Hoya ambaye alikuwa na tatizo la ugonjwa wa moyo, alianguka chooni jana alfajiri na kukutwa na mauti. “Tuliachana juzi saa 7.30 mara baada ya kikao, taarifa ya kifo chake nilizipata saa 11 alfajiri jana, ni kifo cha ghafla sana na halmashauri imempoteza mtu ambaye alikuwa mfano kwa jamii,” alisema. Hoya ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Mpwayungu, anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Mpwayungu kesho. Mkuu huyo wa Wilaya alisema alikuwa akishirikiana kwa karibu na Mwenyekiti huyo, kwani alikuwa kiongozi mwenye ushirikiano mkubwa na hakuwa mtu wa kukwepa kuitikia mwito. Alisema alikuwa akilima mazao yanayohimizwa katika mkoa wa Dodoma na shamba la

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA ZIARA WIALAYANI TUNDURU

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Mkurugenzi wa  Kanisa la  Upendo wa Kristo Masihi  (KIUMA), Dr. Matomola Matola  (wapili kuli) baada ya kuwasili katika misheni hiyo kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Elimu cha Misheni hiyo, Julai 15, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza  kabla ya kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa Kristo Masi (KIUMA) wilayani Tunduru akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 15, 2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA) wilayani Tunduru akiwa katika iara ya mkoa wa Ruvuma Julai 15,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)   Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mkrugenzi wa Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi , Dr. Matomola Matomola kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Chuocha Elimu cha Kanisa hilo wilayni Tunduru akiwa katika ziara ya mkoa wa

CHEKA AONYWA KUCHEZA MECHI YA 'NDONDO'

Image
Bondia Francis Cheka OGANAIZESHENI ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO-Limited), imetahadharisha na kusisitiza kuwa bondia Francis Cheka 'SMG' hawezi kucheza pambano jingine lolote kabla ya kuvaana na Mmarekani Derrick Findley. Cheka na Mmarekani huyo wanatarajiwa kuvaana Agosti 30 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kuwania mkanda wa WBF katika mchezo wa raundi 12 uzito wa Super Middle (kilo 75). Hata hivyo, kuna taarifa kwamba Cheka anayeshikilia taji la Mabara la IBF atapanda ulingoni mwanzoni mwa Agosti dhidi ya Mmalawi Chimwemwe Chiotcha katika pambano lisilo la ubingwa. Hata hivyo, Rais wa TPBO, Yasin Abdallah 'Ustaadh', alisema kwa mujibu wa mkataba na taratibu za ngumi, Cheka hawezi kucheza mapambano mawili ndani ya mwezi mmoja na hivyo kutoa tahadhari mapema. Ustaadh alisema Cheka alishasaini mkataba wa pambano hilo dhidi ya Mmarekani tangu Mei mwaka huu na kwa taratibu ndani ya mwezi mmoja hawezi kupigana

Kauli ya Ban K-Moon juu ya mauaji ya askari wa JWTZ Darfur

Image
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNO), Ban K-Moon(pichani chini), amesema amesikitishwa na kuhuzunishwa na mauaji ya askari saba wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), lililofanywa na waa si wa Sudan Julai 13, mwaka huu. Askari hao wa JWTZ waliokuwa Darfur, Sudan ya Kusini kulinda amani kwa mujibu wa UNO, walishambuliwa na waasi hao karibu na kambi ya Manawashi eneo la Khor Abeche, mji wa Darfur Jimbo la Nyala ambapo pia askari wengine 17 walijeruhiwa baadhi yao vibaya. Katika salamu zake hizo kupitia kwa Msemaji wake, Katibu Mkuu huyo wa Uno, ameelezea masikitiko yake kuhusiana na vifo hivyo na kutoa pole kwa familia za marehemu waliokuwa wakilinda amani, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Vikosi vya Umoja wa Afrika kwa Umoja wa Mataifa vya Kulinda Amani (Unamid). Ban K-Moon amelaani shambulio hilo dhidi ya Unamid na kuelezea matumaini yake kwamba Serikali ya Sudan itachukua hatua zinazofaa kuhakikisha kwamba wahusika