WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA ZIARA WIALAYANI TUNDURU
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Mkurugenzi wa Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA), Dr. Matomola Matola (wapili kuli) baada ya kuwasili katika misheni hiyo kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Elimu cha Misheni hiyo, Julai 15, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa Kristo Masi (KIUMA) wilayani Tunduru akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 15, 2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Elimu cha Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi (KIUMA) wilayani Tunduru akiwa katika iara ya mkoa wa Ruvuma Julai 15,2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mkrugenzi wa Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi , Dr. Matomola Matomola kabla ya kuweka jiwe la Msingi la Chuocha Elimu cha Kanisa hilo wilayni Tunduru akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maswali kutoka kwa baadhi ya wananchi wa Tunduru katika mkutano wa hadhara aliohutubia kwenye uwanja wa michezo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 15, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mmoja wa wananchi wa Tunduru akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pindawakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Tunduaru akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 15, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wazee wa Tunduru kwenye Ikulu ndogo ya Tunduru akiwa katika ziara ya mkoa wa Ryvuma Julai 15, 2013. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Thabiti Mwambungu.(Picha naO fisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa machinjio ya kisasa katika mji mdogo wa Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizundua mitambo ya kuzalisha umeme katika mji mdogo wa Namtumbo akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 16, 2013. Kushoto ni Naibu Wairi wa Nishati na Madini Stephen Masele. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwashukuru wazee wa Mji Mdogo wa Namtumbo bada ya kutawazwa kuwa moja wa wazee wa mji huo katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo Julai 16, 2013. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mkulima stadi wa Namtumbo, Bosco Luambano ambaye alimzawadia Waziri Mkuu mikungu miwili ya ndizi katika mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Namtumbo. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment