ANGALIA PICHA ZA MAANDALIZI YA SWALA YA EID MOROGORO ASUBUHII HII

 Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakijipatia mahitaji muhimu kabla ya swala ya Eid Mkoani morogoro asubuhi

 Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa wamekusanyika tayari kuswali swala ya Eid katika viwanja vya Islamic Foundation Mjini Morogoro asubuhii hii


No comments:


Comments

Popular posts from this blog