TAZAMA PICHA 9 ZA UNYAMA WA SNURA KWENYE STAGE, NI MAJANGA KWELIKWELI
Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show
yake jumapili hii NEW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa
mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa na WEMA SEPETU atakata utepe
wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na
MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.
Comments
Post a Comment