WASHINDI WA TUZO ZA KILI TANZANIA 2013
HATIMAYE,ZILE TUZO
ZILIZOKUWA ZIKISUBIRIWA KWA HAMU NCHINI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI KWA
UJUMLA SASA WASHINDI WAMESHAPATIKANA NA KUGAWIWA TUZO ZAO.WAFUATAO
CHINI HAPO NI WASHIMDI WA TUZO HIZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS
2013.
WIMBO BORA WA RNB; RAMA DEE ft MAPACHA-KUWA NA SUBIRA
KIKUNDI BORA CHA TAARABU-JAHAZI MODERN TAARAB
MTUNZI BORA WA TAARABU-THABIT ABDUL
WIMBO BORA WA TAARABU;KHADIJA KOPA-MJINI CHUO KIKUU
MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA KWA TAARABU-ENRICO
MSANII BORA WA KIKE -TAARBU; ISHA MASHAUZI
WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI-MRISHO MPOTO ft DITTO-CHOCHEENI KUNI
MTUNZI BORA WA MASHAHIRI BONGO FLAVA-BEN POL
MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA; MAN WALTER
MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA-DIAMOND
MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA-RECHO
MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH
WIMBO BORA WA BONGO POP;OMMY DIMPOZ-ME AND YOU
MSANII BORA ANAYECHIPUKIA-ALLY NIPISHE
MSANII BORA WA KIUME-DIAMOND
KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA-JAMBO SQUAD
MTAYARISHAJI CHIPUKIZI WA MWAKA-MENSEN SELECTA
WIMBO BORA WA BENDI;MASHUJAA-RISASI KIDOLE
MTUNZI BORA WA MASHAHIRI -BENDI; CHARLS BABA
MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA-BENDI ;AMOROSSO
MSANII BORA WA KIKE-BENDI ;LUIZA MBUTU
MSANII BORA WA KIUME-BENDI ;CHARLS BABA
BENDI BORA YA MWAKA-MASHUJAA BAND
WIMBO BORA WA ZOUK; AMINI -NI WEWE
WIMBO BORA WA REGGAE;WARRIORS FROM THE EAST-KILIMANJARO
WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL; DABO-PREDATOR
MSANII BORA WA HIP HOP-KALA JEREMIAH
WIMBO BORA WA HIP HOP; NAY WA MITEGO-NASEMA NAO
WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI;JOSE CHAMELEONE-VALUVALU
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA;OMMY DIMPOZ ft VANESSA-ME AND YOU
WIMBO BORA WA MWAKA; KALA JEREMIAH-DEAR GOD
VIDEO BORA YA MWAKA;OMMY DIMPOZ-BAADAE
HALL OF FAME-KILIMANJARO BAND WANA NJENJE
HALL OF FAME-SALUM ABDALLAH YAZIDU
MSANII BORA WA KIKE-LADY JAY DEE
Comments
Post a Comment